Hahahaha sasa kama uko singo nifanyaje jamani
Nyie wanaume sawa ila mim nishazoea hiyo unabadilisha tu mapishi ili mradi bajeti ya kununua vitafunwa asubuh haipo
Anataka aje umfundishe kupika chapati madam
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilikuwa namuona maza kuanzia saa 10 mpaka saa 1 yeye yupo jikoni.hiko chakula sasa hatarii.ngoma mchuzi mzito mpaka tunauita mchudhi mdhittoo..ukibinua bakuli mchuzi haumwagiki umegandaa kwa futa la nazi.
kumbuka unapopika unaweza kupika chakula ukala zaidi ya mara moja mzee mfano maharage. au chai ukipika ukiweka kwa chupa inatumika mpaka hata kesho inategemea na uimara wa chupaKupika mwenyewe
Mana utataka mazaga kibao ukanunue upike uje uivishe msos yan pesa imeenda mgahawani unakuta tayar ready made hata hela unayotoa haifiki ile ambayo ungegharamia kupika mwenyewe sema nayo yategemea na mgahawa
Hahahaha mkuu nimecheka kwa sauti asante, kweli ulizidisha mbwembwe ila ndio kujifunza, hata sisi tunaopika mara kwa mara tunajifunza kila siku.Ni kweli kama niko home siendi kibaruani naandaa msosi wangu wa nguvu natia kila kiungo ili nione tofauti ya kula mgahawani na kupika mwenyewe.
Siku moja nimepika mboga nikatia mbwembwe kitunguu saumu kizima nikatia kwenye mboga.
Bwana bwana bwana daaaah
Hahahaha safiii hakuna kuleta mbwembwe maisha yakasonga.Ahahhaha we hatari mkuu.
Mimi kuna kipindi nilifulia fulia ikawa nikienda mgahawani naenda na mfuko,nikila ugali ukibaki nautia kwenye mfuko.usiku nataftia dagaa wa jero nalala.
kumbuka unapopika unaweza kupika chakula ukala zaidi ya mara moja mzee mfano maharage. au chai ukipika ukiweka kwa chupa inatumika mpaka hata kesho inategemea na uimara wa chupa
Daaaaah eti UPAWA LOH.LONG TIME SANAAA UPAWA WA ALUMINIUM UNA VIPELE VIPELE HIVI AISEEEEE.Hahahaha na kitu chochote ukipika kwa kutumia nazi na kikakolea nazi kinakua na kalekasukari ka nazi kwa mbaali na lile shata shata lake la nazi bas raha kuna siku najifunza kupika mchuzi wa nazi yan kipande cha papa hakionekani unakitafta na upawa umenikumbusha mbali sana
Mkuu mimi shida yangu nikikaanga samaki anaishia jikoni.Uzuri wa kujipikia unapata kiporo cha kula asubuhi,ila mi napenda zaidi kujipikia na siku nikishinda home hasa weekend napika msosi kama ifuatavyo
Asubuhi
Nanunua samaki wa elfu 3 sangara namkata vipande 4 vitatu nakaanga
Kichwa natengeneza mchemsho wa viazi na samaki for breakfast
Mchana
Napika wali ambao nakula mchana,usiku na kesho asubuhi
Mboga ni wale samaki niliokaanga
NB: Huwa ninanunua stock ya kutosha mchele,mafuta,viazi vitunguu mi nakua na gharama tu ya mboga mwezi nzima
Kupika unaenjoy na unakula msosi wa kushiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaah eti UPAWA LOH.LONG TIME SANAAA UPAWA WA ALUMINIUM UNA VIPELE VIPELE HIVI AISEEEEE.
Duuuuuhhhhhhhhh.
Ila upawa bwana naupenda sana ukiwa unachotewa barahoa. Ilikuwa siku ikipikwa barahoa nakimbilia kuosha vyombo ili nipate kulamba ule upawa....daah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ahahhaha we hatari mkuu.
Mimi kuna kipindi nilifulia fulia ikawa nikienda mgahawani naenda na mfuko,nikila ugali ukibaki nautia kwenye mfuko.usiku nataftia dagaa wa jero nalala.
Umenikumbusha mbali!Hahahaha sasa kama uko singo nifanyaje jamani
Nyie wanaume sawa ila mim nishazoea hiyo unabadilisha tu mapishi ili mradi bajeti ya kununua vitafunwa asubuh haipo
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]...ulikuwa unatengeneza mchuzi au dawa ya tumbo?Mkuu ilikuwa ni mchuzi wa samaki.
Siku hiyo nilisema nataka kufanya maajabu.
Mchuzi nilikuwa ulikuwa mzuri ila sasa uki mbaja harufu yake inakuwa ya shida sana,yani una mbaja alafu unajiuliza hakuna mwingine ananisaidia humu au ndo mimi tu?
Alafu nilichanganya na tangawizi ukubwa wa dole gumba.
Huwa wanatumia maviungo mengi sana sio vile common tulivyovizoea ndio maana huwa linawatokea wengi.Jamani mi nikila nje lazima tumbo lijibu, na ni sehemu classic tu, tumbo linavimba, minyoo kibao....sijui ni hamira zile
Ninakula tu basi na mara chache sana sana!
Labda kwa mwezi mara moja!
Sent using Jamii Forums mobile app