Weee sehemu gani?....thou K' mboni sinaga mzux kiviile[emoji57]Wale jamaa ni wataalam wa mapishi hakuna maji ya K pale ningekuambia. Si unaiyonaga ile nyomi ya kufa mtu? this weekend nitakupeleka K mboni kuna chimbo la hatari lazima udate.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ilikuwa ni mchuzi wa samaki.
Siku hiyo nilisema nataka kufanya maajabu.
Mchuzi nilikuwa ulikuwa mzuri ila sasa uki mbaja harufu yake inakuwa ya shida sana,yani una mbaja alafu unajiuliza hakuna mwingine ananisaidia humu au ndo mimi tu?
Alafu nilichanganya na tangawizi ukubwa wa dole gumba.
Mkuu kama una smart phone na unatafuta kituo cha kujifunzia basi uza tu simu.haikusaidiiNapenda kujifunza/kujua kupika
Hivi wapi kuna kituo cha kufundisha kupika kwa masomo ya jioni kwa hapa dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok thanks.Mkuu kama una smart phone na unatafuta kituo cha kujifunzia basi uza tu simu.haikusaidii
Hahaha kumbe jf kuna mambo hiviUnanijua?
Halafu we vipi kila comment yangu oooh kitimoto kitimoto za dar zinakukoma.....kitimoto ulinilisha wewe????
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah tambi [emoji13][emoji20] chakula hii sipendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah sisi home nazi ndio kila kitu,nazi tamu bwana halafu nazi haikarahishi na kila unavyoiweka nyingi ndio utamu unazidi
Of coz kama sikosei ni tanga huko
Umenikumbusha mbali!
Hapo kwenu hakuna hata mdogo wako aliyebaki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mkombozi wa wanaume ni RICE COOKER.Kuna siku nilisema ngoja nipike mwenyewe ubwabwa. Nilijuta.
Haujaivaa, umekuwa kama ugali, na nikaungua vidole nikaumwaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mkuu mimi niulize kitu,na hicho ndo ilikuwa mantiki ya kuandika mada yangu.Ndio mkuu
Eti mkuu mimi niulize kitu,na hicho ndo ilikuwa mantiki ya kuandika mada yangu.
Nasave pesa kwa kuwa nakula nyumbani badala ya mgahawani sawaaa.
Lakini sasa hiki chakula cha nyumbani nakihifadhi kwenye friji mwezi mzima friji sizimi ili vyakula visiharibike.
Swali langu ni hivi " hapa kama tunaokoa pesa upande wa chakula kwa maana tunasave jee hixi tunazosave si ndo hizo zinatumika kununulia umeme kwa ajili ya kufanya friji iwake mwezi mzima ili vyakuls visiharibike?
Chakula gan unapika unahifadhi mwezi kwenye friji?? Hqkipotezi tasye kweli?? Pika size yako uweze bana matumozi ya friji pia yan unapika size kikibaki unahifadhi kesho unamalizia sio mwez mzima jaman
Kama nakula nyumbani kila siku maana yake nyanya ziwepo kwenye friji,kama samaki au nyama iwepo kwenye friji,mboga kama nikipika naihifadhi kwenye friji. Sasa madame hii si itakuwa taratibu ya kila siku au?
Manake hata kama nyama imeisha leo kwenye friji bado nyanya zipo na hivyo friji litawaka.kwa hyo manake bado friji litakuwa On full time. Au hujaafiki bado madame?