Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
We we watu wasaniii wako kwenye igizo lao halafu uwachukulie hatua? Hawa waigizaji wamesubiriwa wakipeleka nalalamiko yao mahakamaniii, ndiopo igizo lao litawekwa hadharani, na wataeleza aliewaambia kujichukulia sheria mkononi ya kuchoma nyaraka muhimu kama zile bila kuzifikisha kwenye vyombo vya dola.Vile vile, kujichukulia sheria mkononi ni kosa kisheria. Kwa nini hawakuchukuliwa hatua za kisheria?
Kuna wakati kukaa kimya ni bora zaidi.He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana.
Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa...
Mbona unang'ang'ania sana Wassira na Bulaya? Unaujua msingi wa hiyo kesi? Kesi za mwaka huu labda zilinganishwe na ile ya kiteto jambo ambalo kwa mahakama za sasa ni bure tu kupoteza muda kwenda huko. Sometimes njoo na vitu unavyovijua na sio uje kwasababu una hamu ya kuitaja ChademaMbona Ester Bulaya alimbwaga Wassira mahakamani?
Matusi hayaondoi nia ovuuu mliopanga. Mkizidiwa hoja mnakimbilia matusi.
Mkuu kwa Sasa hayo sio malengo,na hayakuwai kuwa malengo,na msicheze na wapinzani kwamba kukaa kwao kimia ni ujinga,yote yaliyotokea waliyajua mapema,na huo wenda ndo ulikua msimamo wao kabla hata ya kupiga kura, kwa nini kupoteza rasilimali mda,pesa, kwa Mambo ya ajabu.He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana....
Igizo lenuu limebumaa. Tumesubiri mtuleteee kula feki mlizozikamata mkijulisha na zile mlizo chomaa.Utukanwe na nani ww usiyejua hata kuandika kwa usahihi? Nasema hivi, rudi shule ukajifunze kuandika ndio uje ujadiliane na wanaume hapa jukwaani.
Kuna mahakama sahivi au kuna shina la CCM?He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana...
Well said kwanza hatuna mahakama tuna matawi ya CCMMkuu kwa Sasa hayo sio malengo,na hayakuwai kuwa malengo,na msicheze na wapinzani kwamba kukaa kwao kimia ni ujinga,yote yaliyotokea waliyajua mapema,na huo wenda ndo ulikua msimamo wao kabla hata ya kupiga kura, kwa nini kupoteza rasilimali mda,pesa, kwa Mambo ya ajabu...
Walizoea kuhalalisha wizi wao kupitia mahakama fake sasa imebumasi kwa utawala huu usiojua maana ya demokrasia
Na wewe kamshtaki Halima Mdee kwa kwa kuidhalilisha Tume ya TaifaHizo baadhi kwa nini msipeleke mahakamani?
Ahaaa,acha hasira kamanda.Utukanwe na nani ww usiyejua hata kuandika kwa usahihi? Nasema hivi, rudi shule ukajifunze kuandika ndio uje ujadiliane na wanaume hapa jukwaani.
Nimegundua lengo la mleta uzi si kuishambulia Chadema , bali kuiumbua ccm na Mahakama ya TanzaniaWell said kwanza hatuna mahakama tuna matawi ya CCM
Jitafakari kabla ya kutype.Nimegundua lengo la mleta uzi si kuishambulia Chadema , bali kuiumbua ccm na Mahakama ya Tanzania
Erythrocyte Amekupata vilivyo. Unataka wachangia mada waonyeshe namna Mahakama Kuu ilvyowekwa mfukoni na Magufuli.Jitafakari kabla ya kutype.
Nafikiri ujikite kwenye mada,maana ipo wazi kabisa,ushahidi wa wa kura za mabegi mlikamata,sasa kwa nini msifungue kesi?Erythrocyte Amekupata vilivyo. Unataka wachangia mada waonyeshe namna Mahakama Kuu ilvyowekwa mfukoni na Magufuli.
Sasa nyingine na wewe chagu wa malunde unatumia akili yako vibaya kwa makusudi. Majibu unayo Ile unataka uone raia wanavyo ng'aka
Tena nchi nzima zilipatikana karatasi tatu akapewa Lissu uzunguka nazo mitandaoni😂😂Una hakika zilichomwa zote? kura zimelipakaa nchi nzima kuna haja gani kuogopa kuzichoma baadhi?
Mpaka ushahidi wa video upo, bora ufunge mdomo wako.
Kesi ya mbuzi aamue,fisi kama sii kutafuta kuliwa mini zaidi.He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana.
Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa.
Mbona hamfungui kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge?
Mnadai hamna imani na mahakama za Tanzania. Mbona mahakama hii ambayo hamna imani nayo ilimpa ushindi Ester Bulaya dhidi ya wana CCM waliopinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge 2015 huko Bunda?
Kwa mantiki hii,kama muda wa kupinga matokeo bado. Kwa kuwa mnao ushahidi jinsi mlivyoibiwa kwenye mabegi. Fungueni kesi kupinga matokeo ya ubunge. Maana tutapata ukwli jinsi mlivyoibiwa.