Kulalamika tumeibiwa kura za kwenye mabegi huku hamuendi Mahakamani, tuwaeleweje?

Ushaambiwa mara tatu, sasa uchaguzi umekwisha... sasa uchaguzi umekishwa... sasa uchaguzi umekwisha...
Ukienda kushtaki utasikilizwa na nani, wakati maagizo yashatolewa...?




Cc: mahondaw
 
Unaposema nafuu kidogo unamaanisha nini?
Nafuu maanake kulikuwa na Rais kikwete mtoto wa hapa hapa Dar, kwa sasa yupo Rais kutoka Bwiza pande za Burundi unategemea nini acheni kujitoa ufahamu, number tutazisoma na bado.
 
Kesi inamhusu nyani unampelekea judge ambaye ni nyani. Unategemea maamuzi gani?

Kama mlipata ushindi wa kishindo mbona nafsi zenu hazina amani?

Jiwe alikuwa hatakiwi hata na mkewe.
Hayo ya mkewe umeyajuaje? Kwani wewe nyumba Yake ndogo?
 
Kwani walioiba sio watanzania wao hawaathiriki na upumbavu huo,makama ya nini tulipe kodi,anaye taabika taabika tu kilamtu namaujanja yake
 
Mbona unapanic mkuu.
Watanzania wewe huwajui?
Ni business as usual, kwani siasa inaliwa?
Tatizo mfungaji kajifunga goli!
 
Msitutoe fahamu,Bulaya na makamanda mlipokuwa mnashind kesi hazikuwa hizi mahakama?
Kubishana au kujenga hoja na wewe ni sawa na kubishana na yule raisi kichaa kichaa wa Magomeni. Yeye anatangazia umma kwamba alikesha akikagua mafaili ya MADED Kumbe katema makuzi yanayopora ardhi za watu.
Yeye alikuwa hakauki kwenye corridor za mabibo hostel kwa kina kabula lakini anasumbua watu kwa kugombea na wake za watu ( case ya Das kisarawe )
Anajidai mzalendo wakati yye alinunua nyumba na magorofa ya NIC Kwa laki 6 huko dodoma
Anaita watengeneza ndege na kukaa nao chumbani akiagiza ndege azitakazo huku sheria ya manunuzi ameikalia matakoni? Unajua 10% ya ndege moja wewe?
 
Mahakama zilikuwepo siku za nyuma lakini sasa kila hukumu hupangwa na yule aliye juu.Kwa hiyo kufungua kesi ni kupoteza muda.
 
Achana Na wapinzani uchwara Tanzania.
Wote wasanii tu, watanzania walishawashtukia. Na kiuhalisia ni wao wenyewe ndiyo wamejimaliza kwa kukosa sera Na kuchagua uhuni kama dhiaka na matusi dhidi ya viongozi walio serious.
Wanaigiza kukamata kura za wizi wakati wamezichapa wenyewe! Wanazionyesha juu juu kwenye camera kisha wanaenda kuzichoma kufuta ushahidi!
Alafu wanaanza kupiga kelele kwenye mitandao eti wameibiwa!
 

Ukiwa mjinga basi Kama kimya inasadia. Hakuna wakati watu wamepata Haki zao iwe mahakamani au maofisini kama kipindi cha JPM. Huhitaji kuitwa mbowe ndo upewe haki. JPM Ni kiongozi mzuri ingawa sio mwanasiasa wa ile sense ya usanii.
 
Hiyo mahakama utakayoenda ni ipi wakati bado ni yaohao hao wahalifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…