Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ule wa kimkakati unakuwepo,siunaona mmeshasajili kupitia dirisha kubwa .Msitutoe fahamu,Bulaya na makamanda mlipokuwa mnashind kesi hazikuwa hizi mahakama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule wa kimkakati unakuwepo,siunaona mmeshasajili kupitia dirisha kubwa .Msitutoe fahamu,Bulaya na makamanda mlipokuwa mnashind kesi hazikuwa hizi mahakama?
Nafuu maanake kulikuwa na Rais kikwete mtoto wa hapa hapa Dar, kwa sasa yupo Rais kutoka Bwiza pande za Burundi unategemea nini acheni kujitoa ufahamu, number tutazisoma na bado.Unaposema nafuu kidogo unamaanisha nini?
Jaji gani au Hakimu gani hajipendi atoe hukumu dhidi ya CCM?Nafikiri ujikite kwenye mada,maana ipo wazi kabisa,ushahidi wa wa kura za mabegi mlikamata,sasa kwa nini msifungue kesi?
Kwani wakati Ester Bulaya anambwaga Wassira hawakuwa hawa majaji?Jaji gani au Hakimu gani hajipendi atoe hukumu dhidi ya CCM?
Hayo ya mkewe umeyajuaje? Kwani wewe nyumba Yake ndogo?Kesi inamhusu nyani unampelekea judge ambaye ni nyani. Unategemea maamuzi gani?
Kama mlipata ushindi wa kishindo mbona nafsi zenu hazina amani?
Jiwe alikuwa hatakiwi hata na mkewe.
Mbona unapanic mkuu.He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana.
Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa.
Mbona hamfungui kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubunge?
Mnadai hamna imani na mahakama za Tanzania. Mbona mahakama hii ambayo hamna imani nayo ilimpa ushindi Ester Bulaya dhidi ya wana CCM waliopinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge 2015 huko Bunda?
Kwa mantiki hii,kama muda wa kupinga matokeo bado. Kwa kuwa mnao ushahidi jinsi mlivyoibiwa kwenye mabegi. Fungueni kesi kupinga matokeo ya ubunge. Maana tutapata ukwli jinsi mlivyoibiwa.
We ni mpumbavu halafu unajitutumua kutaka uonekane mwerevu mbele ya wenye akili.Acha kukurupuka.
Kubishana au kujenga hoja na wewe ni sawa na kubishana na yule raisi kichaa kichaa wa Magomeni. Yeye anatangazia umma kwamba alikesha akikagua mafaili ya MADED Kumbe katema makuzi yanayopora ardhi za watu.Msitutoe fahamu,Bulaya na makamanda mlipokuwa mnashind kesi hazikuwa hizi mahakama?
Aibu kubwa kwa mahakamaNimegundua lengo la mleta uzi si kuishambulia Chadema , bali kuiumbua ccm na Mahakama ya Tanzania
Alikuwa bado hajawaweka mfukoni kwa vitishoKwani wakati Ester Bulaya anambwaga Wassira hawakuwa hawa majaji?
Kwani wakati Ester Bulaya anambwaga Wassira hawakuwa hawa majaji
Achana Na wapinzani uchwara Tanzania.He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana.
Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa.
Mbona hamfungui kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubunge?
Mnadai hamna imani na mahakama za Tanzania. Mbona mahakama hii ambayo hamna imani nayo ilimpa ushindi Ester Bulaya dhidi ya wana CCM waliopinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge 2015 huko Bunda?
Kwa mantiki hii,kama muda wa kupinga matokeo bado. Kwa kuwa mnao ushahidi jinsi mlivyoibiwa kwenye mabegi. Fungueni kesi kupinga matokeo ya ubunge. Maana tutapata ukwli jinsi mlivyoibiwa.
Kwa nini?Hebu kaa kimya tu.
Wakati ule mahakama ilikuwa bado ina majaji wenye taaluma walioteuliwa na Kikwete na Mkaoa. Huyu wa sasa anawateua makada wa CCM kuwa majaji. Anawateua makada wa CCM kuwa wakurugenzi. Kila mahali anawajaza makada, tena wale makada wenye akili ndogo, ambao wana uwezo wa kusifia kila jambo analolifanya yeye.
Hakuna mwenye akili anayeweza kupoteza muda kufungua kesi ya uchaguzi kwenye hizi mahakama bandia zinazosimamiwa na Juma ambaye anapokea maagizo toka kwa Bashiru na Polepole.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo mahakama utakayoenda ni ipi wakati bado ni yaohao hao wahalifuHe who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana.
Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa.
Mbona hamfungui kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Ubunge?
Mnadai hamna imani na mahakama za Tanzania. Mbona mahakama hii ambayo hamna imani nayo ilimpa ushindi Ester Bulaya dhidi ya wana CCM waliopinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge 2015 huko Bunda?
Kwa mantiki hii,kama muda wa kupinga matokeo bado. Kwa kuwa mnao ushahidi jinsi mlivyoibiwa kwenye mabegi. Fungueni kesi kupinga matokeo ya ubunge. Maana tutapata ukwli jinsi mlivyoibiwa.
Arusha Kawa v Dk Wilbroad Slaa.Hiyo mahakama utakayoenda ni ipi wakati bado ni yaohao hao wahalifu