kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

kule Kenya,Vijana leo wameanzisha maandamano ya kupinga kutekwa kwa kijana mwezao. Tanzania hii haiwezekani tunataka mtu atuandamanie.

tundu-lissu-the-presidential-candidate-of-tanzanias-main-opposition-chadema-party-speaks-to.jpg


GenZ Tanzania niyeye twendeni na Lissu.
 
Tusianze kulaumu ambapo lawama hazifai kwa Tanzania (sio wananchi wenye makosa) ni wachahe wa huko juu sio Upinzani wala Chama Tawala wote hawaeleweki (Na hili naweza kusema kwa Politicians kila Mahali) Hivi Kenya tangia kina Kairuki wameuwawa na hayo maandamano yanayoanza na kuzimwa since back then ni nini huwa kinaendelea mwisho wa siku ?

Maybe just Maybe its time to rethink our strategies and not only Kenyans or Tanzanians but Africans and Globally as a whole..., as what is currently happening is not fit for purpose....
 
Back
Top Bottom