Kulea ni kazi ya mwanamke, kutunza ni kazi ya mwanaume

Kulea ni kazi ya mwanamke, kutunza ni kazi ya mwanaume

Nomadix

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2025
Posts
2,411
Reaction score
6,646
"Kulea ni kazi ya mwanamke na kutunza ni kazi ya mwanaume. Ili mwanamke aweze kulea ni mwanaume anahusika kutoa matunzo.

Snapinst.app_482790287_18490731910022564_785893343502152926_n_1080.jpg


Kujiunga na chama hichi ni kuanzia miaka 18 ambapo tunatengeneza wanaume ambao hawakimbii familia. Waliojiandikisha mpaka sasa ni wanaume 31,000"

- Claude Benedict Kimu, Mwenyekiti wa umoja wa wanaume wanaojielewa Tanzania.

Source: Cloudsfmtz
 
Big NO 👎🏾
Ushawahi kuwa na mtoto mchanga anaelia usiku na halali,Kisha mama anamnyonyesha Baba anamcheulisha mtoto kwa kumuweka begani mpaka analala,hiyo ni alfajiri mzee katoto kangu kanalala mimi naoga naenda kazini.

Money can’t buy such a thing mzee.
 
Nakataa hoja yako wazazi wote wanaweza kulea kwa pamoja na kutunza pia ni mpangilio tu wamaisha baina ya watu wawili.
 
Nakataa hoja yako wazazi wote wanaweza kulea kwa pamoja na kutunza pia ni mpangilio tu wamaisha baina ya watu wawili.
Ni kweli kabisa mkuu huwa nikisikia neno chama siwaamini sana wanayyasema kama vyama vyetu hivi vya kina Lucas
 
Kama mwenyekiti wao ndio huyo, basi minaona hicho chama kimejaa wanaume wasio jielewa kabisa....
Yaani mwanaume haujui tofauti kati ya malezi na matunzo
 
Mwambie aongeze sauti sababu wanaume hawatasiki...

NB: Alisikika mama ambaye amebebeshwa majukumu ya mwanaume akiongea...
 
Back
Top Bottom