Inawezekana hajui anataka nini na kuna waliomsifia kuwa ni mrembo.Hongera Sana mdada.mwenyewe nimechukua mtu wa hivyo Mana pia unaendeleza watu wa karibu yako.atasoma mazingira mazuri ya kujisomea ni Tofauti akiwa huko makwetu...
So akisifiwa kuwa ni mzuri ndo anazidi kuwa msafi ili awavutie wale.Inawezekana hajui anataka nini na kuna waliomsifia kuwa ni mrembo.
Kaa anae umuelewesha kuwa huu ni muda mfupi unaojenga maisha yake ya muda mrefu. Kama hayuko tayari msiupoteze huu muda na pesa.So akisifiwa kuwa ni mzuri ndo anazidi kuwa msafi ili awavutie wale.
Yaani ego inazidi kujaa kichwani kwake. Ni kama wame induce so inafanya kazi saivi. Isn't it?
Hii imekaa vizuri, tatizo ni pale mnapowalalaUnakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya...
Maisha hayana formulae, yule kijana uliyemfundisha udereva anaweza kukuokoa wewe au mwanao siku moja. Jambo la muhimu ni kupunguziana umasikini.Naamini katika maisha yangu nilitimiza wajibu wangu kwenye hili... Nina amani na nina furaha kwa wale waliotimiza ndoto zao kupitia Mimi
Wa kwangu nikiondoka tu anaingiza vidume ndani. Hakuna kusafisha nyumba wala kuosha vyombo. Akila shuleni mchana ndo basi, jioni hapiki hadi nirudi. Mwanangu mdogo anateseka na njaa.So akisifiwa kuwa ni mzuri ndo anazidi kuwa msafi ili awavutie wale.
Yaani ego inazidi kujaa kichwani kwake.ni Kama wame induce so inafanya kazi saivi.isnt it?
Asili ya binadamu ni majungu na wengine wanasahau hali zao. Na yeye anataka aishi kama Junior, ale chocopops kwa breakfast. Mkishindwana unamridisha kwao salama.Uzoefu wangu: watoto wa ndugu (baadhi) ni shida sana. Akitumwa kazi hakawii kupiga simu kwao kusai anateswa sana
Bora umsaidie kivingine tu ila linapokuja suala la kazi/usaidizi kuwe na options nyingine
Malawi Ishakuwa official,sio Iringa tena?Ni jambo zuri sana ikiwa utapata watu wanaojitambua na kuelewa wajibu wao.
Kwa uzoefu wangu, ndugu au jamaa wanaweza kukupa kero na namna ya kushughulika na kesi zao inajumuisha watu wengi amvao inawezahatarisha mahusiano kwenye familia.
Ukipata anaejitambua, ni raha sana, lakini wengi wao wanakuja na mtazamo kwamba hapo wapo kwa ndugu yao na wao sio wafanyakazi, wanaweza kumvimbia wife ikawa tafran.
Nawasaidia lakini mmalawi lazima awepo kufanya wajibu ambao mahusiano yetu ni kazi na ujira.
Namm naona imekuwa officialMalawi Ishakuwa official,sio Iringa tena?
Wazo zuri hili ila sio kila mtu anaweza kuishi na mtoto wa mwenzie kwa usawa bila ubaguzi. Kuna wamama wengine mna ubaguzi wa dhahiri kabisa inapelekea kumtia mtu uchungu na kujuta hata kuwafahamu.Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya.
Akihitimu mafunzo unamuwezesha kujitegemea na unatafuta mwingine. Kama ndugu zako wote mambo safi unaweza kuchukua vijana wa kijijini kwenu. Hii ni njia ya kurudisha katika jamii na kukwamuana kimaisha.
Hii mkuu ni ukweli 200%,,Tatizo wanawake wengi wanapenda kuwapelekesha au kuwafanyisha kazi nyingi hao wadada wa kazi. Kwa hiyo kwa mtoto wa ndugu hutaweza kumfanyia hivyo kwa sababu ndugu lawama ataona unamnyanyasa atataka kurudi kwao. Pili kwa upande wa wanaume wengine wanapenda "kujisevia" kwa wadada wa kazi. Kwa hiyo housegirl akiwa ni ndugu atawezaje kumfanya?
Waeleze theoristsWa kwangu nikiondoka tu anaingiza vidume ndani. Hakuna kusafisha nyumba wala kuosha vyombo. Akila shuleni mchana ndo basi, jioni hapiki hadi nirudi. Mwanangu mdogo anateseka na njaa.
Fadhila afadiliwe mbuzi iko siku atanywewa mchuzi.
Achana na habari za kum control! Ukimsaidia mtu mwache free afanye anachopenda you guys mnafeli hapa...Unapomsaidia mtu usimuhenyeshe maana ile mantiki ya msaada inakuwa haipo kabisa na wala hizo thawabu unazozitaka hutazipata! Assist someone with a clean heart. Sio ndio umfanyishe makazi kama punda na kumkosesha amani!Hongera Sana mdada.mwenyewe nimechukua mtu wa hivyo Mana pia unaendeleza watu wa karibu yako.atasoma mazingira mazuri ya kujisomea ni Tofauti akiwa huko makwetu.
Sema naona hanipi morale Mana hakeshi Kama nilivyokuwa nakesha.anawaza kunyoosha nguo ya shule ili apendeze.mie namwambia ukifaulu ukipata hesabu A utakuwa unaonekana tu msafi na una nidhamu hata shati hujafua mwezi.
Mana binadamu bana hajui anachotaka ama akipendacho