Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 2,582
- 4,554
Wangeacha tu kama ilivyo watu washaomba masomo mawili tayari then wangewasaili kwa paper moja wote then watakaopita oral wangepangiwa kulingana na masomo walioombaHiyo ya teaching methodology naethi
Hiyo ya teaching methodology and ethics...n.k ndio iliyokuwa inatarajiwa..lakini masomo mawili sasa. Na kumbuka kila somo limeombwa tofauti.
Wakati ule kupitia Tamisemi..mfumo ulimpa mwalimu fursa kuchagua masomo mawili, yaani major na minor. Ila huu ni moja moja.
Kinachowachanganya ni namna ya kusaili...lakini kwa hili inaonekana hawakujiandaa.
Zile 170000s sio idadi ya walimu...bali ni idadi za interviews.
Tuwape muda. Watakuja na suluhisho.