Kulikoni Kanisa Katoliki kukosa uwakilishi Mkutano wa Rais Samia na Viongozi wa dini?

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
650
Reaction score
1,016
Tarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya Kikao cha Mkuu wa Nchi.

Mufti wa BAKWATA alikuwepo, Askofu Dkt Shoo wa KKKT alikuwepo. Kulikoni kanisani hata Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es Salaam alishindwa kwenda kuwakilisha na kumtuma Padri?

IMG-20220303-WA0046.jpg
 
Nilidhani ni mimi peke yangu nimejiuliza swali hili.
 
Kwani
Tarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya Kikao cha Mkuu wa Nchi. Mufti wa BAKWATA alikuwepo, Askofu Dkt Shoo wa KKKT alikuwepo. Kulikoni kanisani hata Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es Salaam alishindwa kwenda kuwakilisha na kumtuma Padri.

View attachment 2137007
Kwani padre sio kiongozi wa dini? Hata hivyo walishamjua ssh misimamo na dharau yake kwa viongozi wa kikristo
 
Kwani yule mfupi kuliko wote pale ninani na kawakilisha dhehebu gani!
 
Tarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya Kikao cha Mkuu wa Nchi. Mufti wa BAKWATA alikuwepo, Askofu Dkt Shoo wa KKKT alikuwepo. Kulikoni kanisani hata Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es Salaam alishindwa kwenda kuwakilisha na kumtuma Padri.

View attachment 2137007
Hukuona wengi walikuwa ni ati JPM wewe? Angalia Shoo, Bagonza etc
 
Tarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya Kikao cha Mkuu wa Nchi. Mufti wa BAKWATA alikuwepo, Askofu Dkt Shoo wa KKKT alikuwepo. Kulikoni kanisani hata Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es Salaam alishindwa kwenda kuwakilisha na kumtuma Padri.

View attachment 2137007
Huyu mama ni mnafiki sana mbona hapo kwenye huu mkutano hajavaa barakoa
 
Back
Top Bottom