Iruru
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 1,471
- 2,891
Wakati wa mwendazake hawakuwa wanafiki? Mtu anaua watu alafu Jumapili anapewa viti vya mbele kanisani tena na mic ahubiri neno? Udhaifu wa hili kanisa wakati wa mwendazake hautakaa usahaulike. Aibu ya wakati ule inawasumbua hata sasa.
Kikubwa mi naona hawataki unafiki. Unahubiri upendo na amani lakini wakati huo huo unaumiza watu kwa kesi za kubumba na kulea wabunge fake