Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 650
- 1,016
Kwani padre sio kiongozi wa dini? Hata hivyo walishamjua ssh misimamo na dharau yake kwa viongozi wa kikristoTarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya Kikao cha Mkuu wa Nchi. Mufti wa BAKWATA alikuwepo, Askofu Dkt Shoo wa KKKT alikuwepo. Kulikoni kanisani hata Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es Salaam alishindwa kwenda kuwakilisha na kumtuma Padri.
View attachment 2137007
Hukuona wengi walikuwa ni ati JPM wewe? Angalia Shoo, Bagonza etcTarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya Kikao cha Mkuu wa Nchi. Mufti wa BAKWATA alikuwepo, Askofu Dkt Shoo wa KKKT alikuwepo. Kulikoni kanisani hata Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es Salaam alishindwa kwenda kuwakilisha na kumtuma Padri.
View attachment 2137007
Labda wote wamepata vacine kwa hio hawana shida na covid ... so some believe by the way, time will tell 😷Halafu wamebanana bila kuvaa barakoa
Huyu mama ni mnafiki sana mbona hapo kwenye huu mkutano hajavaa barakoaTarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya Kikao cha Mkuu wa Nchi. Mufti wa BAKWATA alikuwepo, Askofu Dkt Shoo wa KKKT alikuwepo. Kulikoni kanisani hata Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es Salaam alishindwa kwenda kuwakilisha na kumtuma Padri.
View attachment 2137007