Kulikoni Kanisa Katoliki kukosa uwakilishi Mkutano wa Rais Samia na Viongozi wa dini?

Kanisa Katoliki watata hivi mara nyingi huona kwenye miito kama hii humpeleka padre mwenye mapihedii yake. Kumbe wanasiasa hupenda kwenye picha awepo Askofu au Cardinal kabisa.

Nakumbuka kuna kiongozi mzito alienda kusali kanisa la jimbo kuu huko mikoani. Pamoja na umaarufu wote, Askofu Mkuu hakuonekana mazima.

Na juzi hapa Mhe Rais alikutana nao kule Chato/Mwanza around na Askofu akasema mengi mazito akikumvushwa asiombee kufananishwa na Mungu.

Pia atende haki
 
Wewe haujamuona askofu bagonza hapo? Unaongea ongea tu haujui kitu we! Idiot
 
Kiuhalisia jana ilikuwa jumatano ya majivu isingekuwa busara kiongozi kuacha shughuli takatifu ya kidini kwa jambo lisilo la kidini, kwa kujua hilo nadhani ingekuwa busara kama ratiba ya kukutana na mkuu wa nchi ingepangwa tarehe nyingine.

Sidhani kama jambo hili linahusiana na siasa
 
[emoji817][emoji817][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani walikuwa kwenye J5 ya majivu, by the way tusaidie kuwaorodhesha waliopo maana wengine hatuwajui wote hapo
 
Huwa wanawakilisha na yule katibu wa TEC padri Charles Kitima,,,,,,,,,,,huenda naye alimtuma mwakilishi kwa kuwa mnajua jana walikuwa wanaandaa ibada ya jumatano ya majivu.
 
Kwani RC wamelalamika?
 
Eti Korona imeisha?
 
Kwa sababu huyo SSH hana hata hadhi ya padri katika ubongo wake!
 
Jana ilikuwa ni jumatano ya majivu. Ni siku maalum sana kwa wakatoliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…