Wakati wa mwendazake hawakuwa wanafiki? Mtu anaua watu alafu Jumapili anapewa viti vya mbele kanisani tena na mic ahubiri neno? Udhaifu wa hili kanisa wakati wa mwendazake hautakaa usahaulike. Aibu ya wakati ule inawasumbua hata sasa.
Mbona huulizi madhehebu ya kiislam kukosekana hapo? Au hujui kuwa waislam wana madhehebu mengi na wana viongozi wao ambao pia wanastahiki kutambulika na kualikwa if it's all about madhehebu ya dini