F16 Falcon
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 750
- 1,645
Hatujadili heading tunajadili contentNinaandika nilichokiona mpakani. Heading Iko wazi:
"Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?"
Kushindwa kwako kuelewa hakukufanyi utafute visingizio.
Uliyeshindwa ku-focus ni wewe.
Umeiremba remba sana kusema kuipumzisha CCM inabidi izikwe kabisa na watu wake watupwe kwenye AcidTuna muda wa kufanya mabadiliko na muda huo hauko mbali.. Ni wakati wa kuipumzisha CCM sasa
Ukiona serikali imeachia baadhi ya mianya sio kwamba haioni ila wamekupa fursa wewe itumie.Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo:
1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya.
2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani forodha, afya, polisi, immigration, usalama nk ni wazi na hakuna rushwa.
3. Waliopo kwenye eneo la serikali mpakani upande wa Rwanda ni wale tu wanaohusika kwa shughuli rasmi za hapo. Yaani wafanyakazi, mawakala wa forodha, mawakala wa bima za magari, wasafiri wavukao nk.
4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.
5. Upande wa Rwanda wafanyakazi maisha ni kula kwa viwango vya mishahara yao.
6. Kuhusiana na Tanzania itoshe kusema huku ndiko kwenye ulaji wa urefu wa zile kamba zetu. Yaone magari ya wafanyakazi huku. Ama Kwa hakika wanalamba asali kweli kweli.
7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?
Yapo mengi ya kushangaza ila itoshe kusema kwa hakika sisi ni shamba la bibi.
Tuendelee kulea hali hizi hadi lini?
Ulichoandika umesahau kitu.Rwanda toka Kagame kashika akatengemaa hajawahi zalisha mkimbizi hata mmoja wakati tawala zilizotangulia kutwa ilikuwa tunahaha kupokea wakimbizi wa RwandaZitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo:
1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya.
2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani forodha, afya, polisi, immigration, usalama nk ni wazi na hakuna rushwa.
3. Waliopo kwenye eneo la serikali mpakani upande wa Rwanda ni wale tu wanaohusika kwa shughuli rasmi za hapo. Yaani wafanyakazi, mawakala wa forodha, mawakala wa bima za magari, wasafiri wavukao nk.
4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.
5. Upande wa Rwanda wafanyakazi maisha ni kula kwa viwango vya mishahara yao.
6. Kuhusiana na Tanzania itoshe kusema huku ndiko kwenye ulaji wa urefu wa zile kamba zetu. Yaone magari ya wafanyakazi huku. Ama Kwa hakika wanalamba asali kweli kweli.
7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?
Yapo mengi ya kushangaza ila itoshe kusema kwa hakika sisi ni shamba la bibi.
Tuendelee kulea hali hizi hadi lini?
Hatujadili heading tunajadili content
Sasa hao ndo watanzania wenyewe sasa.Mada umeielewa lakini mkuu? Mada haihusu Tanzania wala Rwanda bali mpakani mwa Tanzania na Rwanda. Rejea kujiridhisha.
Ukiona serikali imeachia baadhi ya mianya sio kwamba haioni ila wamekupa fursa wewe itumie.
Nenda boda ya Tunduma ndio utashangaa watu wanavyojiachia sio wazambia sio watanzania..halafu angalia mzunguko wa fedha ulivyomkubwa...
Hii mipaka ya kikoloni isikutie upofu Sana...Mhimu usalama.
Sasa hao ndo watanzania wenyewe sasa.
Ndo maana mm naamini shida haipo upande wa viongozi pekee hata sisi raia huku ambako ndo viongozi wanatakiwa watoke hakuna brain za kutosha
Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app
Aisee nimekaa kule bhana! vile vibanda hasara vinaondolewa katikati ya kigali na kuwekwa uwanja wa fisi wa kule!Halafu anatokea Dogo mmoja kaishia Kigali tu analeta uzi, muulize ni mkoa/mji gani mwingine anaujua nje ya Kigali anaanza kugoogle π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mbina unachagua aya hizo π π πHeading na contents zote ni consistent. Hali hii haikufikirishi:
4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.
7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?
Au wewe ni hadi ufikiwe na ugeni usiostahili ndipo ufungike macho?
Aya ya kwanza mbona unairuka?π π πHeading na contents zote ni consistent. Hali hii haikufikirishi:
4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.
7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?
Au wewe ni hadi ufikiwe na ugeni usiostahili ndipo ufungike macho?
Mipaka yote isiyo na watu wakorofii raia wa nchi hizo Tanzania huwa hawawi wakali unless waone kuwa mipaka hiyo inatumika na mamluki wakorofiUkiona serikali imeachia baadhi ya mianya sio kwamba haioni ila wamekupa fursa wewe itumie.
Nenda boda ya Tunduma ndio utashangaa watu wanavyojiachia sio wazambia sio watanzania..halafu angalia mzunguko wa fedha ulivyomkubwa...
Hii mipaka ya kikoloni isikutie upofu Sana...Mhimu usalama.
He we mduruma ulikuwa wapi wakati PK analalama? Unajua alijenga vibanda vya wakimbizi kwa raia walio timuliwa?Maneno tu ya mitandaoni na chumvi nyingi! Mbona tulikuwepo na hatukuyaona.
Kwan opereshen ya kufukuza wahamiaj bongo ina athiri nn kagame
Mbina unachagua aya hizo π π π
Aya ya kwanza mbona unairuka?π π π
Nlienda namanga halafu nikachukua boda kanivusha upande wa kenya tukazurura weee baadae kanirudisha wala khakuna mbambamba sikua na gatepass wala paspot yaani unajiachia nia kama warombo wanavuka mpaka wakakula miraa/mirungi halafu wageuza tz wako tilalia na polisi wapo palee π π π πMipaka yote isiyo na watu wakorofii raia wa nchi hizo Tanzania huwa hawawi wakali unless waone kuwa mipaka hiyo inatumika na mamluki wakorofi
Mfano wazambia,wa Malawi na wa Msumbiji ni peaceful people tofauti na warundi ,wakenya ,wanyarwanda na wakongo ambao kufanya tukio baya ni dakika tu
Wahamiaji haramu Tanzania wako kibao nchi nyingi lakini ambao hawasumbuliwi sana ni wa msumbiji ,Malawi na Zambia
Hao hata wakishikwa huwa wanakuonyesha hadi ndugu zake wowote waliohamia kiharamu Tanzania na wakija hukiri kuwa wao sio raia
Nchi hizi zingine kumdaka uwe komandoo anakuua afisa uhamiaji ndio maana Tanzania wakali kama pilipili kuna baadhi ya mikoa hata wakuu wa mikoa au wilaya za mpakani na nchi zingine lazima wawe wanajeshi sababu watu wao hizo nchi ni washari sio watu wa Amani .Lugha pekee waelewayo ni vita tu
Jamaa poa unanimalizia π» kichwani leo ijumaa ujueπHapo ninakazia tu mkuu maana waonekana kipofu. Kuna jingine hili nalo:
2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani forodha, afya, polisi, immigration, usalama nk ni wazi na hakuna rushwa.
Sasa #1, #2, #4, na #7 nitakuwa nimeshakuwekea.
Kumbuka yote haya ni relevant boda Rusumo.
Zingatia scope.
Rwanda ni nchi ndogo Sana, Rwanda wakifungulia mpaka waKwanini kujiachia kuwe Tanzania tu? Zingatia:
4. Hakuna anayeweza kuvuka kuingia Rwanda pasipo sababu wala idhini ya idara zote husika za huko yaani immigration, usalama na polisi.
7. Eneo la serikali huku limesheni hadi wasiohusika. Kuvuka kuja Tanzania ni bwerere ambapo kama hata wapiga debe kutoka Rwanda wanajifanyia shughuli zao Tanzania kwa raha zao tumebakiza nini?
Huu siyo unaoitwa urafiki wenye mashaka?
Au kwetu ndiko nchi kufunguliwa kwenyewe?
Tanzania ni nchi ya kipuuzi sana mkuu. Wala usishangae kwanini watawala wameamua kuifanya nchi hii iwe shamba la bibi. Mitanzania ndivyo tulivyo.
Wanajua mtanzania hata avuke mpaka ni peace haendi kufanya ujambazi Kenya wa silaha anaenda tu kuburudisha nafsi na anarudi kwake Tanzania awe na passport au la sio kwamba immigration Kenya hawakuona huyo bodaboda waweza kuwa wanamjua vizuri Kenya wanamjua na aliwaonyesha sign kuwa nimebeba peaceful person ana yake ambayo sio illegal.in KenyaNlienda namanga halafu nikachukua boda kanivusha upande wa kenya tukazurura weee baadae kanirudisha wala khakuna mbambamba sikua na gatepass wala paspot yaani unajiachia nia kama warombo wanavuka mpaka wakakula miraa/mirungi halafu wageuza tz wako tilalia na polisi wapo palee π π π π
Rwanda ni nchi ndogo Sana, Rwanda wakifungulia mpaka wa
Tanzania walivyo na Vurugu so watajaa kwenye hako kanchi.