Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

Vijana waliowengi wanaamini msafara wote wa raisi ni ulinzi mtupu, kwahiyo akiona magari 50 anadhani ya kuwa yote ni kwajili ya ulinzi wa Raisi.

Raisi anatembea na mawaziri, wakuu wawilaya mkoa husika ambako msafara unapita, mkuu wa mkoa husika na wakuu wa mikoa ya jirani, Viongozi wa chama ngazi ya mkoa na wilaya za mkoa husika, wakuu wa idara tofauti, ulinzi, kitengo cha dharula za kiafya na mambo mengine kama ajari n.k

Kabla hatujatoka hadharani kuuliza Au kukosoa Au kukashfu jambo, nivyema ukajiuliza maswali wewe mwenyewe kwanza pengine majibu unayo.
Nah bro, gari 60 it's too much, enhee na hizo chopa 3 zina kazi gani, elezea kila moja kazi yake
 
Kwani ulikuwa Pluto ndio umerudi??awamu ya 5 ilikuwaje au kisa ni mama mnataka kuleta vijembe vya vijiweni?!tambua Raisi ndio rai namba moja kwenye taifa sasa wewe ulitaka alindwe na masai, elewa uliza utaongezeka pale security services watapoona kuna aja hauelewi kama mipakani ni sehemu hatari zaidi ?unabidi uwe mpole ujifunze mambo kijana utakuta umesoma HKL na unataka kujibizana kuhusu security matters za raisi.
SIjasoma HKL na hata ningekuwa nimesoma hiyo course isingenizuia kuona kufuru zilizofanyika juzi. Acha kuhukumu watu kwa course walizosoma, one person once said ' when you lebal me you negate me'

Hakuna ulichojibu hapa kinachojustify yale yaliyofanyika kanda ya kaskazini juzi hata kwa kulazimisha vp bado vinagoma. Wakati wa kampeni Dr. Mpango alikiri wazi kwamba hakuwa anafahamu umaskini wa kutisha walionao watanzania. Ukiwa rais ambaye uko sensitive na hali walizonazo unaowaongoza huwezi kufanya yale ya juzi and with this I'm not saying Rais asilindwe mimi si kichaa niseme hivyo.
 
Nah bro, gari 60 it's too much, enhee na hizo chopa 3 zina kazi gani, elezea kila moja kazi yake
Ukiona kitu kinakutatiza pata muda wa kufatilia kwanza, na hayo ndo moja wapo ya matumizi sahihi ya akili.

Mimi nimefanya tu kutoa ufafanuzi mfupi na wewe unaweza ukaanzia hapo kwa kufatilia umuhimu wa izo chopa na vinginevyo vilivyopo kwenye msafara wa Raisi.

Narudia pata muda wa kulifatilia jambo kabla hujahukumu Au kulalamika
 
SIjasoma HKL na hata ningekuwa nimesoma hiyo course isingenizuia kuona kufuru zilizofanyika juzi. Acha kuhukumu watu kwa course walizosoma, one person once said ' when you lebal me you negate me'

Hakuna ulichojibu hapa kinachojustify yale yaliyofanyika kanda ya kaskazini juzi hata kwa kulazimisha vp bado vinagoma. Wakati wa kampeni Dr. Mpango alikiri wazi kwamba hakuwa anafahamu umaskini wa kutisha walionao watanzania. Ukiwa rais ambaye uko sensitive na hali walizonazo unaowaongoza huwezi kufanya yale ya juzi and with this I'm not saying Rais asilindwe mimi si kichaa niseme hivyo.
Kuna vitu vya kufikirisha sana,swali ni kwanini ulinzi uliongezwa vile kumbuka kuna intelligence imefanyika na ndio maana ikafanyika vile ukiambiwa kuna ambush ilitaka kutokea kule utabisha?narudia tena yule ni rai namba moja kitafanyika whatever kumlinda ,tusiwe na fikra za kimasikini kiasi hiki hii ndio tafsiri ya mtu akikwambia anashida ni mpaka amkute na nguo zilizochanika au pekupeku ndio imekisense kwako,what different would it make ata angekuwa na askari mmoja kwako na familia yako au taifa?
 
Msipende kucomment kila jambo la taifa specifically security matters,ukiulizwa unajua kuwa jinsi Raisa akienda mbali karibu na mipaka ulinzi unatakiwa kuongezeka bado utakuwa bado kwenye giza na kutaka kuleta ujuaji.
Hiyo ilikuwa enzi za ujima,sasa hivi watu wakidhamiria kukufanyizia ni popote tu.
 
Ni ulimbukeni na ushamba ndani yake, kutokujiamini na kujihami, njia nyepesi ya wasaidizi kupiga mpunga kwani maduhuri yanakuwa mengi zaidi, ni kutokuwa sensitive na kujali maisha ya watanzania walio wengi ambao wako duni sana, mimi si mtumishi wenu bali ni mfalme wenu kwani mm ni kila kitu? Au yote hayo na mengineyo?
Kumbuka hawa ni watawala hivyo wanayohaki kujilinda dhidi ya watanzania.
 
Wakati sisi walipaji tunatokwa jasho na damu wao ndiyo kwanza wanaagiza mapangaboi
Madereva 60 jiulize ni posho kiasi gani,mafuta ya being gani ,swali fikirishi e kila kuna watu wangapi
Mbona yalikuwepo ( tens zaidi ya hayo) kabla ya tozo za simu kuanza?
Kumbe kikosi Nazi kina matumizi mazuri ya fedha za umma 'in other words there not cist benefit conscious'
 
Ni ulimbukeni na ushamba ndani yake, kutokujiamini na kujihami, njia nyepesi ya wasaidizi kupiga mpunga kwani maduhuri yanakuwa mengi zaidi, ni kutokuwa sensitive na kujali maisha ya watanzania walio wengi ambao wako duni sana, mimi si mtumishi wenu bali ni mfalme wenu kwani mm ni kila kitu? Au yote hayo na mengineyo?
Sio kila ziara atakuwa na ulinzi wa hivyo..Japo ni sahihi kuwa na Ulinzi mkubwa maana magaidi wa Chadomo hamlali mkishirikiana na Chato gang..

Mama yetu lazima alindwe at any cost,wewe mtoa mada ni useless sperm huna hadhi ya kulindwa kwa hiyo endelea kuteseka hapo ulipo.
 
Huna faida kwa ndugu zako hata taifa
 
Back
Top Bottom