Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

May be there're bad signs that require beefing up security.
 
Unamkataa sasa kwa kuwa ameanza kuwapiga madongo siyo!
Mbona alipoanzisha huo wimbo nyie mkawa mnahanikiza kwenye chorus na kuubeba ukawa wenu?
Kigogo alikuwa na bifu na jiwe baada ya jiwe kupangiwa majukumu mengine amekosa followers
 
Derp state hii wakuu hata sijui wanamuogopa nani ulinzi mzito vile hao magaidi wa Nsumbiji? Daaa kazi ipoo
 
Unalalamikia nini? Andiko lako halina kichwa wala miguu!!

Kiwango kidogo cha ufahamu hupelekea kutaka kuambiwa kiti kama mtoto mdogo!! Misafara ya wakubwa wa nchi katika nchi masikini, je gharama zake zinaakisi ufahamu wa changamoto kwa raia katika viongozi wetu??

Ukitaka iwe hivo ili uweze kuelewa??
 
Ni ulimbukeni na ushamba ndani yake, kutokujiamini na kujihami, njia nyepesi ya wasaidizi kupiga mpunga kwani maduhuri yanakuwa mengi zaidi, ni kutokuwa sensitive na kujali maisha ya watanzania walio wengi ambao wako duni sana, mimi si mtumishi wenu bali ni mfalme wenu kwani mm ni kila kitu? Au yote hayo na mengineyo?
Hayo magari na chopa ni kauli ya raisi au usalama wanafanya kazi zawo.
Raisi au waziri mkuu hata mawaziri au wakuu wa mikoa wanapokua katika msafara kunakuwepo na mtiriri wawatu. Suali Jee nilazima au ndio kiumbelembele.

Jee raisi anaweza kukata ulinzi huo mkubwa?
 
Wa kumlaumu ni yule aliyekufa maana yeye ndio mwanzilishi wa yote hayo bahati mbaya mnataka mama awe kama yule lakini hili hamlipendi!
 
Baada ya Rais Samia SH kuonyesha nia ya kubadili agenda za siasa hapa Tanzania baada ya kukutana na TUNDU LISSU Basi hiki ni kipindi ambacho inabidi ulinzi wake uongezwe na kuimarishwa kwani kuna wale wanaonufaka ni hii chaos ya muda mrefu ndani ya nchi yetu wasingependa kuona tunakuwa katika mstari ulionyooka...
Labda kama amefanya hivyo kukutana na LISSU kupoza joto la Siasa nchini..

.....
 
Hatari sana
 
Hana makuu hofu ya nn,ulinzi pekee ni kuwatendea watu mema.
Mwingi na JK hata kariakoo wanaweza katiza salama kabisa bila hata mlinzi, sababu waliwekeza kwenye wema
Ukiwa rais ulinzi mkubwa ni wajibu hao uliowataja ni wastaafu. Wakiwa marais walilindwa kikamilifu.

Rais anafanya maamuzi yanayogusa maslahi ya watu wakubwa, hawezi kuachwa tu akadunda mtaani kama jamaa zangu waha wanaouza matunda kwa kutumia baiskeli.
 
Back
Top Bottom