Kulikoni? Msafara wa Rais Samia kuwa na magari yote haya, pia ulinzi wake umeongezeka maradufu

Nah bro, gari 60 it's too much, enhee na hizo chopa 3 zina kazi gani, elezea kila moja kazi yake
 
SIjasoma HKL na hata ningekuwa nimesoma hiyo course isingenizuia kuona kufuru zilizofanyika juzi. Acha kuhukumu watu kwa course walizosoma, one person once said ' when you lebal me you negate me'

Hakuna ulichojibu hapa kinachojustify yale yaliyofanyika kanda ya kaskazini juzi hata kwa kulazimisha vp bado vinagoma. Wakati wa kampeni Dr. Mpango alikiri wazi kwamba hakuwa anafahamu umaskini wa kutisha walionao watanzania. Ukiwa rais ambaye uko sensitive na hali walizonazo unaowaongoza huwezi kufanya yale ya juzi and with this I'm not saying Rais asilindwe mimi si kichaa niseme hivyo.
 
Nah bro, gari 60 it's too much, enhee na hizo chopa 3 zina kazi gani, elezea kila moja kazi yake
Ukiona kitu kinakutatiza pata muda wa kufatilia kwanza, na hayo ndo moja wapo ya matumizi sahihi ya akili.

Mimi nimefanya tu kutoa ufafanuzi mfupi na wewe unaweza ukaanzia hapo kwa kufatilia umuhimu wa izo chopa na vinginevyo vilivyopo kwenye msafara wa Raisi.

Narudia pata muda wa kulifatilia jambo kabla hujahukumu Au kulalamika
 
Kuna vitu vya kufikirisha sana,swali ni kwanini ulinzi uliongezwa vile kumbuka kuna intelligence imefanyika na ndio maana ikafanyika vile ukiambiwa kuna ambush ilitaka kutokea kule utabisha?narudia tena yule ni rai namba moja kitafanyika whatever kumlinda ,tusiwe na fikra za kimasikini kiasi hiki hii ndio tafsiri ya mtu akikwambia anashida ni mpaka amkute na nguo zilizochanika au pekupeku ndio imekisense kwako,what different would it make ata angekuwa na askari mmoja kwako na familia yako au taifa?
 
Msipende kucomment kila jambo la taifa specifically security matters,ukiulizwa unajua kuwa jinsi Raisa akienda mbali karibu na mipaka ulinzi unatakiwa kuongezeka bado utakuwa bado kwenye giza na kutaka kuleta ujuaji.
Hiyo ilikuwa enzi za ujima,sasa hivi watu wakidhamiria kukufanyizia ni popote tu.
 
Kumbuka hawa ni watawala hivyo wanayohaki kujilinda dhidi ya watanzania.
 
Wakati sisi walipaji tunatokwa jasho na damu wao ndiyo kwanza wanaagiza mapangaboi
Madereva 60 jiulize ni posho kiasi gani,mafuta ya being gani ,swali fikirishi e kila kuna watu wangapi
Mbona yalikuwepo ( tens zaidi ya hayo) kabla ya tozo za simu kuanza?
Kumbe kikosi Nazi kina matumizi mazuri ya fedha za umma 'in other words there not cist benefit conscious'
 
Sio kila ziara atakuwa na ulinzi wa hivyo..Japo ni sahihi kuwa na Ulinzi mkubwa maana magaidi wa Chadomo hamlali mkishirikiana na Chato gang..

Mama yetu lazima alindwe at any cost,wewe mtoa mada ni useless sperm huna hadhi ya kulindwa kwa hiyo endelea kuteseka hapo ulipo.
 
Huna faida kwa ndugu zako hata taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…