Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Umeelewa nilipokwambia linakuzwa kimkakati?? Ni kwamba sio kubwa ila ninyi mnaliona kama kubwa ndio mnatumika kulikuza ila ukilipuuza wala watu hawajua huyo shoga anafafanaje.
Mkuu mashoga wapo tangu enzi na enzi, hata hapa Tz kitambo tu kwenye hiyo miji uliyotaja wapo ila ndo vile media hazikuwapa airtime kama sasa hivi.

Anhaaa kumbe wewe tupo mitumbwi tofauti, wewe unaongelea kuitoa serikali madarakani?? Mimi naongelea kupata haki kwa njia ya maandamano, ama lah kufikisha ujumbe kwa njia hiyo ya maandamano.

Kuitoa madarakani ni kwa njia ya sanduku la kura mkuu au huujui utaratibu?? Labda kama unataka tuwe kama Somalia ndo uitoe serikali kwa hayo maandamano.

Labda utaratibu haukufuatwa ndio maana wamekatiliwa, ila inawezekana vizuri tu.
 
wabongo wanavyomwaga matusi huko kwenye acount ya DP world ni keyboard worriors
 
zamani mji kama wa Dar kulikua na mashoga wachache sana mmoja akiitwa Ant Mudi na bado jamii ilimtenga,tofauti na sasa hali ilivyo mashoga wanapewa mpaka mialiko kwenye vigodoro,harusi,kitchen party n,k.
kelele zinapigwa kwasababu hali ni mbaya,jamii ikikaa kimya vijana wengi watapotea ndio hizi kelele unaziona.

Ahaa kama kwa kura basi hivyo hata watawala watakuunga mkono,tusubiri uchaguzi ambao kwa miaka mitano ni maramoja tupige kura tuwatowe madarakani!
 
Yaani huo mti uache kuzalia Zanzibar hapo uje uzalie huku bara ambapo kuna ndege walao matunda..?.

This is 🚫!

Kinachosikitisha Tanzania bara, kumbuka kuwa yanayofanywa leo na mama Samia kupitia DP World, yangefanywa kiuaminifu na TICTS miaka zaidi ya 20 nyuma, leo hii Tanzania ingekuwa inafaidika na kwa andari zake kuchangia zaidi ya 100% ya bajeti ya sasa.

Pia Inasikitisha zaidi utapoelewa kuwa matatizo yetu tunayoyatuwa leo siyo ya leo, yalishaamuliwa yatatuliwe miaka zaidi ya 20 nyuma, lakini kwa bahati mbsya kabisa walioaminiwa kuyatatuwa hawajayatatuwa kwa uoroho wao tu. Inaumiza sana ukiwaelewa ni kina nani hao.

Leo mama kapigana ndani ya muda wake mchache aliokuwepo kuwang'oa TICTS ambao walishaota mizizi ambayo ilimshinda hata mwendazake kuwang'oa kibabe. Walikuwa watata kuondoka na wajanja sana na wana nguvu sana. Unagahamu juwa TICTS ilikuwa inamilikiwa na shurika kubwa lankuendesha bandari duniani?

Ukijuwa jinsi mama Samia alivyoweza kuwang'oa lazima utampa maua yake.

Mkipenda kuyajuwa mtaniuliza ntawapa japo kwa uchache ninavyojuwa vita hii ys kiuchumi imepiganwa vipi. Kwa Wsislam tunasema mama kafanya jihadi kuinusuru Tanzania jutoka tumboni mwa nyangumi, Mwenyezi Mungu kamsaidia kwa nia yake njema na ucha Mungu wake.

Kuhusu Zanzibar, Mwinyi anafanya vizuri sana na kisha saini mikataba na kampuni za kuwekeza kwenye Bandari, kama sikosei tayari bandari mbili za Zanzibar. Yeye alianza na Airport ya Unguja.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Dah aibu kabisa!, Sasa kama hawataki si waandamane
 
Wakionyesha hali ya kutokukubaliana na mkataba wa Kimangungo wa kugawa bandari yetu kiubwete. Watanzania wamepiga kambi kwenye account ya twitter ya DP world na kuwaambia kuwa, Wamehonga watawala wetu na wanasiasa wetu ili kuuza bandari. Watanzania wamesema hawakubaliani na mkataba huo. Baadhi ya comments zao huko Twitter katika page ya DP World ni kama hizi zifuatazo.

Attachments

  • Screenshot_20230619-131820.jpg
    146.7 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…