Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

Wangepokelewa Uingereza na kupewa bandari waiendeshe huko?

Usiseme uongo, siku hizi dunia kiganjani, Watanzania wana habari zote za duniani kuliko wewe.

Wewe beba maboksi huko, wachana na kudanganya, wengine tumeishi nje ya Tanzania kabla gujazaliwa.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Tatizo Sio mwarabu au mngereza!
Tatizo ni mkataba!
Huoni au Mapenzi??
 
Ukiona mti unapopolewa ujuwe una matunda.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Ukiwa na akili kisoda, unaweza kujifariji kwa statements za kijinga kama hizi.

Kwa akili za kipuuzi kama hizi za Faizafox, ikitokea jitu likawa jizi, likiambiwa wewe ni jizi, linaambiwa hivyo kwa sababu lina matunda.

Kwa sababu mkataba wa kishenzi wa DP umeonekana ni mzuri sana kwa watu wa kutoka Zanzibar, pelekeni kwa ndugu zenu kule Zanzibar. Kwani Zanzibar hawataki maendeleo?
 
We punguani, kawatishe Wazanzibari wenzako. Hakuna mtu ambaye Samia atamtisha huku Tanganyika. Ajaribu aone. Yeye siyo Magufuli. Mtu ni rahisi sana kuuvumilia ubaya wa ndugu zake lakini siyo ubaya wa mtu mgeni.
Duh
 
Saa mia moja na ushenzi ondoka na watu wako hatuwataki.

Kwani ni lazima??
 
Mawadiliano [emoji777]. dana [emoji777]
Mawasiliano [emoji736]. Sana. [emoji736]

Hivi bibi faiza hizo shule ulienda kusomea ujinga [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
kwa ushahidi upi?bro hebu fanya utafiti utaona ukweli wa dpworld ni kampuni yenye uwezo mkubwa mno
DPW Ina kesi za kitapeli duniani kote,
mnadhani kote huko walikopigwa hawana akili?
Nyinyi ndio mnazo nyingi!
Siku akili ikiwarudia na kukataa huo mkataba wa kitapeli ndio siku mtakapojua down ni Nani.
 
kwa ushahidi upi?bro hebu fanya utafiti utaona ukweli wa dpworld ni kampuni yenye uwezo mkubwa mno
DPW Ina kesi za kitapeli duniani kote,
mnadhani kote huko walikopigwa hawana akili?
Nyinyi ndio mnazo nyingi!
Siku akili ikiwarudia na kukataa huo mkataba wa kitapeli ndio siku mtakapojua dpw ni nani
 
Back
Top Bottom