Kama ni hiyvo, basi rais wetu alitakiwa apokelewa na rais wa ADB!Dr. Patricia Laverley amekwenda kumpokea Rais kule kama representative wa African development Bank Tanzania; kumbuka hao African Development Bank ndio walimualika kwenda Ghana kumpatia tunzo!
Kwani lazima aende yete tu??Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.
Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama tulivyokwishazowea. kumuona.
Mara ya mwisho hadharani, kama sikosei ilikuwa ni kwenye ziara ya Rais Samia kwenda kuhutubia Baraza la umoja wa Mataifa nchini Marekani.
Huyu ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania.
Kidiplomasia anawajibika kuwepo kwenye shughuli zote za Kiserikali, zinazohusiana na Diplomasia na mahusiano ya kimataifa. Pale anapokuwepo Rais kwenye ziara za nje ya nchi.
Hata huyo JK...kilichompatia uzoefu na hadi kuwaaminisha watanzania kwamba angeweza kuongoza nchi hii.
Alianzia huko huko kwenye ziara za Mzee Mkapa (R.I.P).
Liberata Mulamula alianza kwa kasi na kuwa na vyombo vya habari mara nyingi,akiitolea taarifa mbalimbali Serikali kupitia Wizara yake na matukio husika.
Lakini kuanzia kwenye Royal Tour, hatukumuona tena na badala yake tulimuona Bwana Hassan Abbas na wengineo akiwemo Zuhura Yunus.
Hali imeendelea hivyo na hata ziara zilizofuatia hivi karibuni.
ikiwemo ya Uganda na sasa huko Ghana.
Tunaomba mwenye kujua nini kilichomsibu waziri wetu.
Atuwekee hadharani, kwa sababu huyu ni kiongozi wa umma na anapaswa kuwepo kwenye eneo lake la kazi kwa mujibu wa sheria na katiba.
EeeHeee, kwani ni wewe peke yako mnufaika na mambo ya ainahiyo mkuu?ARL huwa inafanya research kwa kushirikiana na Universities mbalimbali.
Nakomelea msumari, upo sahihi kabisa, sijawahi kumuelewa kabisa ...chekacheka nyingi hata kwa mambo yasiyojulikanaUongeaji wake yule mama haueleweki anacheka cheka tu hovyo.
Kama wewe ulifanya na ARL na huyasemi hata kama context ya mjadala inayahitaji basi ni vizuri sana, lakini yasingekushangaza. Kuonyesha kuyashangaa mwanzoni ni wazi kuwa ulikuwa huyajui ila sasa unataka kujipandisha kuwa na wewe ni mmoja wa wanaofanya research na Pentagon kupitia Labs zao. Nadhani wewe una tatizo fulani na Kichuguu tu, na niliwahi kukuambia kuwa utapata tabu sana kama hiyo ndiyo ajenda yako.EeeHeee, kwani ni wewe peke yako mnufaika na mambo ya ainahiyo mkuu?
Wengine hayo mambo hatuyasemi.
Hili tuliachie hapa, linatosha.
Sasa lawama anabebeshwa Kabudi?Ni kweli; wakati Covid inaanza, kulikuwa na mkanganyiko sana, na hivyo Kabudi akafanya hayo makosa ya kuamini shortcut. Hilo ni kosa lake moja tu kati ya mengi mazuri aliyofanya katika kuproject interests za Tanzania.
Kilichonichekesha ni jinsi ulivyoyawasilisha. Hapana, sikufanya na ARL, kuna taasisi nyingi nyingine huko huko zinazofanya tafiti za kisayansi hasa!Kama wewe ulifanya na ARL na huyasemi hata kama context ya mjadala inayahitaji basi ni vizuri sana, lakini yasingekushangaza. Kuonyesha kuyashangaa mwanzoni ni wazi kuwa ulikuwa huyajui ila sasa unataka kujipandisha kuwa na wewe ni mmoja wa wanaofanya research na Pentagon kupitia Labs zao. Nadhani wewe una tatizo fulani na Kichuguu tu, na niliwahi kukuambia kuwa utapata tabu sana kama hiyo ndiyo ajenda yako.
Ndiyo maana nimesema una matatizo kwani hata huangalii kuwa post hiyo ilikuwa inajibu nini na hujui kuwa niliandika nini jinsi Magufuli alivyosimamia ugonjwa huo. Habu some thread hii ujue watu wasiokuwa biased wanavyoangalia mambo.Sasa lawama anabebeshwa Kabudi?
Haya si ndiyo maajabu ya nchi yetu? Kuna watu hata ukiwaambia hili ni koreo, wao hawakubali, watasema ni kijiko kikubwa!
Mtu utaanzia wapi kujustify upumbavu mkubwa uliokuwa unafanyika Tanzania kuhusu ugonjwa huo!
Halafu katika pumzi hiyo hiyo, leo hapa, kwenye mada hii hii, tunadai tumefanya "Research" na ARL? Ni utafiti wa namna gani huo, unaofanywa na watu wanaoonekana kuamini matendo ya viongozi ambao walikuwa wakienda kinyume kabisa na 'facets' zote za kitafiti?
Au ini aina ya utafiti wa kukusanya taarifa zilizochapishwa magazetini? Lakini ninaamini hata huo unahitaji kuwa na taratibu za kisayansi juu yake.
Injinia aliyeng'ang'ania uwanja wa ndege wa Chato, anaweza kufanya lolote.Ndiyo maana nimesema una matatizo kwani hata huangalii kuwa post hiyo ilikuwa inajibu nini na hujui kuwa niliandika nini jinsi Magufuli alivyosimamia ugonjwa huo. Habu some thread hii ujue watu wasiokuwa biased wanavyoangalia mambo.
Adui wa legacy ya Rais Magufuli: Kuminya Demokrasi au kushindwa kudhibiti maambukizi ya Corona?
Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia haiana maana kuwa upinzani ndio ushinde tu. Viongozi huwa hawapimwi kwa mambo ya kawaida bali yale...www.jamiiforums.com
Mimi professionally ni injinia, sasa sijui unategema ni injinia gani anaweza kuaminiwa na ARL kufanya research ya kukusanya ripoti za magazeti.
Unazidi kuonyesha weakenesses zako kwenye mijadala hapa.Injinia aliyeng'ang'ania uwanja wa ndege wa Chato, anaweza kufanya lolote.
Unaweza kuwa injinia ukawa mtafiti wa kukusanya taarifa tu zilizochapishwa, kwani hilo nalo ni la ajabu?
Zako vipi?Unazidi kuonyesha weakenesses zako kwenye mijadala hapa.
Nadhani ni Mgalatia nafasi yake yaweza kuchukuliwa muda wowote.Nataka nijue dini yake Kwanza huyo Waziri halafu nitie neno
Hawana hata chembe. Wangekuwa na integrity angalau kidogo tungesikia angalau mmoja wao anatubu au kuomba radhi kwa ule uongo wa wazi.Marekani alipoivamia Iraq kwa kuzusha uongo wa silaha za maangamizi hatukusikia diplomat yeyote akijiuzulu.
Diplomats wa marekani hawana integrity?!
Hata mwanzoni nilidhani mama kadharauliwa mpaka kupokelewa na MADIWANI Ghana ila baadae nikagundua hakua only head of State alieenda kwenye mkutano ule. Rais mwenyeji hawezi kwenda kupokea wageni wote.Saivi ziara za mama anapokelewa na MADIWANI wa nchi anapoenda, so Balozi Mulamula kaona akaushe tu maana atashusha heshima yake amemuacha maza apuyange mwenyewe, yeye kama ni ng'ambo kakaa saana, wakati huo maza akiwa home.
nchi maskini zote Mazee huwa hayana akili yanaogopa maisha kuliko hata sisi vijana wakati muda wao umeisha kwa mujibu wa biblia 70 au 80 tu mtu kwishney !!Kama kagonga 60 si apumzike ale pensheni
Unajua unaongelea wanawake wenye umri gani? SSH ana 62 na Balozi Mulamula yuko 66. Uwe na adabu kidogo basi dogo!!!Kwanza yeye havai shuka kichwani, pili sio rahisi kwa wanawake kukaa pamoja bila kusiutana au hata kuoneana wivu ikiwa ni pamoja na kunyang'anyana mabwana
Maadili ya mtu hayategemei umri wakeUnajua unaongelea wanawake wenye umri gani? SSH ana 62 na Balozi Mulamula yuko zaidi ya 67. Uwe na adabu kidogo basi dogo!!!
usiwe na akili za kijinga za kurudi nyuma za kimaskini kama wazee wetu za kuficha ficha na kufunika funika uchafu ndo maana wamezeekea nchi maskini ili kijana akili zako ziwe sharp kama kisu kikali nakushauri uwe unakubali ukweli na kunyoosha! iko hivi Bimkubwa wamemdharau wakaleta VICOBA kumpokea FULL STOP! kama alikuwa muhimu kwanini Rais wa Ghana akapokee wengine? ina maana waliopokelewa na Rais ndo wa maana kwake!!Hata mwanzoni nilidhani mama kadharauliwa mpaka kupokelewa na MADIWANI Ghana ila baadae nikagundua hakua only head of State alieenda kwenye mkutano ule. Rais mwenyeji hawezi kwenda kupokea wageni wote.
Unaanzaje kumgomea Mama!?Balozi Mulamula kaona akaushe tu maana
Ulimteua wewe?Ni kitambo sasa tangu tumuone akiwa bega kwa bega na Rais Samia kwenye ziara za kimataifa, kama inavyopaswa kuwa.
Na Pia katika shughuli zingine za kidiplomasia, ndani ya nchi kama tulivyokwishazowea. kumuona.
Mara ya mwisho hadharani, kama sikosei ilikuwa ni kwenye ziara ya Rais Samia kwenda kuhutubia Baraza la umoja wa Mataifa nchini Marekani.
Huyu ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa nchini Tanzania.
Kidiplomasia anawajibika kuwepo kwenye shughuli zote za Kiserikali, zinazohusiana na Diplomasia na mahusiano ya kimataifa. Pale anapokuwepo Rais kwenye ziara za nje ya nchi.
Hata huyo JK...kilichompatia uzoefu na hadi kuwaaminisha watanzania kwamba angeweza kuongoza nchi hii.
Alianzia huko huko kwenye ziara za Mzee Mkapa (R.I.P).
Liberata Mulamula alianza kwa kasi na kuwa na vyombo vya habari mara nyingi,akiitolea taarifa mbalimbali Serikali kupitia Wizara yake na matukio husika.
Lakini kuanzia kwenye Royal Tour, hatukumuona tena na badala yake tulimuona Bwana Hassan Abbas na wengineo akiwemo Zuhura Yunus.
Hali imeendelea hivyo na hata ziara zilizofuatia hivi karibuni.
ikiwemo ya Uganda na sasa huko Ghana.
Tunaomba mwenye kujua nini kilichomsibu waziri wetu.
Atuwekee hadharani, kwa sababu huyu ni kiongozi wa umma na anapaswa kuwepo kwenye eneo lake la kazi kwa mujibu wa sheria na katiba.