Kulikoni Waziri Liberata Mulamula! Au Ameparura Mahali?

Saivi ziara za mama anapokelewa na MADIWANI wa nchi anapoenda, so Balozi Mulamula kaona akaushe tu maana atashusha heshima yake amemuacha maza apuyange mwenyewe, yeye kama ni ng'ambo kakaa saana, wakati huo maza akiwa home.
Anajipangia yeye au aliyemteua hiyo kazi?

Unafahamu maana ya balozi? Unafahamu boss wa waziri yeyote yule ni nani na kazi za uwaziri ni zipi?

Unataka Rais afatane hata na msaidizi wake aliye mgonjwa?
 
Pengine ana bifu na mama, wanawake wale.
 
Check ur source,Uganda alikuwepo,it's on public records
 
Wewe una shida mahali kweli,Uganda alikuwepo na US alikuwepo..

Kazi ya Foreign Minister sio sawa na Kazi ya hao secretaries wa kubeba mafaili uliowataja.
 
Rubbish kabisa umeandika
 
Hao wajinga wanashindwa kufahamu kwamba sio kazi ya Foreign Minister kujizungusha na kubeba mafaili ya Rais..

Waziri wa mambo ya Nje ndio anaandaa mazingira mapema Sana ya Rais kwenda sehemu na kufanya shughuli zake..

Tena Mulamula anazunguka Sana na anawarahisishia Rais na timu yake ya kutafuta pesa kufanya Kazi kuwa nyepesi..

Sijawahi ona Mulamula amekaa Tanzania zaidi ya mwezi na akikaa ofisini kila siku anapokea wageni..
 
Rubbish 🚮🚮🚮🚮
 
Kwanza yeye havai shuka kichwani, pili sio rahisi kwa wanawake kukaa pamoja bila kusiutana au hata kuoneana wivu ikiwa ni pamoja na kunyang'anyana mabwana

ndalichako anavaa shuka kichwani? mbona yupo, na waziri muhagama nae anavaa shuka? mbona bado yupo serikalini. masista kanisani mbona wana vaa shuka husemi, mama yako havai chupi sisi hatusemi
 
Marekani alipoivamia Iraq kwa kuzusha uongo wa silaha za maangamizi hatukusikia diplomat yeyote akijiuzulu.

Diplomats wa marekani hawana integrity?!
Somebody Collin Powell kama sijakosea...baadae aliachia ngazi, alikuwa waziri flani hivi
 
Collin Powell pia aliachia ngazi baada ya Bush kuchaguliwa kwa mara ya pili kwa madai kuwa vita ya Iraq ilikuwa ni makosa
 
🚮🚮🚮🚮
 
Anajipangia yeye au aliyemteua hiyo kazi?

Unafahamu maana ya balozi? Unafahamu boss wa waziri yeyote yule ni nani na kazi za uwaziri ni zipi?

Unataka Rais afatane hata na msaidizi wake aliye mgonjwa?
Wakati anaambatana nae huko nyuma hapakuwa na mabalozo alikokwenda? Royal Tour waziri wa afya alienda kufanya nini, kuwapima watalii wataokuja afya?
 
Alikuwa amekwishastaafu.
Mimi nilishangaa siku alipostaafishwa Anna Mughwira R'C Kilimanjaro kwa kigezo cha umri lakini hapohapo akateuliwa huyu mama Liberata na Makongoro Nyerere.
Tanzania ni zaidi ya unavyoielewa wewe! Ina maajabu yake mengi sana.
 
Alikuwa amekwishastaafu.
Mimi nilishangaa siku alipostaafishwa Anna Mughwira R'C Kilimanjaro kwa kigezo cha umri lakini hapohapo akateuliwa huyu mama Liberata na Makongoro Nyerere.
Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo kitu chochote cha kushangaza na kustaajabisha kinaweza kutokea wakati wowote.
 
Kivipi wakati wote elimu yao ni kiwango cha shahada ya uzamili!
Umeandika "elimu yao ni kiwango cha shahada ya uzamili", hiyo ni tofauti na kuelimika "kizamili".
Mmoja ana elimu,mwingine ameelimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…