Kulikoni ziara za Freeman Mbowe?

Wewe mbwiga si ndiyo ulikuwa umejipa kazi ya kumtukana Samia hadi ukapigwa ban humu.
 
Kweli kabisa
 
Yaani utaambulia matusi hadi ukome. Ukimtaja kipala vijana wa town wanakuona miyayusho!
 
Chadema Kama wanataka kurudi kwenye mioyo ya watu lazima watumie falsafa za Magufuli au wampate mtu mwenye hulka Kama za Magufuli

Kwa kuwa hawana akili hawajui kwamba kadiri wanavyotoa kauli mbaya dhidi ya Magufuli ndiyo wanajiharibia taswira

Natamani ningekuwa mshauri wao
 
Mkuu Magufuli ndo kawanyima kula yao saivi wanatapatapa mtaani bila dira yoyote ndo maana wanalia nae Kila uchao ,, noma Sana kupokonywa tonge mdomoni ..
 
TUACHE KUENDELEZA UHASAMA....WE NEED RECONCILATION.....
WATU WAMEUMIA SAANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…