Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

Aanzishe chama chake, kwani hiyo cdm kaanzisha Mbowe, au amekaa muda mrefu hadi unaamini ni chake?
Kama hakubaliani na aliowakuta kiustaarabu aanzishe chake, leo mimi nikihamia CCM siwezi kwenda na kuanza kuwapangia cha kufanya ndio hekima na busara inavyotaka.
 
kiona jitu linajibu hivyo ujue ni takataka za darasa la 7/12 failures.
Badala ya kujibuhoja analeta character assassination ujue ni taka

Kama hakubaliani na aliowakuta kiustaarabu aanzishe chake, leo mimi nikihamia CCM siwezi kwenda na kuanza kuwapangia cha kufanya ndio hekima na busara inavyotaka.
Acha uchawa
Nyie kazeni fuvu ila uchaguzi mkuu mwakani mtapata shida Sana kukitetea chama chenu.
Zamani ilikuwa ni ushujaa Kwa vijana hasa WA vyuo vikuu kujiita makamanda Kwa sasa huwezi kumwona kijana wa chuo anachabikia hicho chama chenu mfu.

Jibu n moja tu,huko CHADEMA akili kubwa hazihitajiki tena,yamebaki mazero brain km akina Yeriko,Sugu e.t.c ety ndo watetezi wa chama.
 
Your wishes!
 
Uchaguzi ni namba, siyo kelele mtandaoni, Lisu hakujiandaa kumshinda Mbowe.

Turufu za kisiasa uchaguzi wa ndani unapoanza lazima uwe na mtandao wako wa kuja kukupigia kura, nilitamani sana Lisu ndio adeal na wahuni wa ccm lakini its too late, huu siyo uchaguzi wa TLS, Lisu hawezi kumshinda Mbowe, mwenzake alishaziandaa kura zake kwenye mikoa na kanda.
Sasa hicho ni chama au takataka tu? Mnachagua mtu kwa mitandao ya kununuana badala ya kuangalia ubora wa sera zake
 
Acha uchawa
Nyie kazeni fuvu ila uchaguzi mkuu mwakani mtapata shida Sana kukitetea chama chenu.
Zamani ilikuwa ni ushujaa Kwa vijana hasa WA vyuo vikuu kujiita makamanda Kwa sasa huwezi kumwona kijana wa chuo anachabikia hicho chama chenu mfu.

Jibu n moja tu,huko CHADEMA akili kubwa hazihitajiki tena,yamebaki mazero brain km akina Yeriko,Sugu e.t.c ety ndo watetezi wa chama.
Acha tuendelee kuwa na zero brain kuliko kuwa na much know anayetaka kukiua chama.
 
Aanzishe chama chake, kwani hiyo cdm kaanzisha Mbowe, au amekaa muda mrefu hadi unaamini ni chake?
Mbowe siyo chake hata kidogo. Ni chama cha wanachama na wapEnzi and the rest you can include at your choice.
Mnashindwa kuona concern yangu na wengine wa hivyo.

APPROACH YA LISU KATIKA KERO ANAZOZITAJA NDANI YA CHADEMA, MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZI KUIKUBALI. LISU HAFAI KABISA KWA HILO......

MFANO, UNAMTANGAZIA SAMIA CONFRONTATION, SHE WILL ALSO ALERT HER ARSENAL TO CONFRONT YOU! HIYO NI AKILI MATOPE, UTAWEA KUPAMBANA NA MAJESHI YA SAMIA TAKING INTO CONSIDERATION KUWA HAKUNA MTANZANIA ANAYEWEZA KUHIMILI RISASI INCLUDING YOU.......................
 
Hii ni habari njema, chuchu ya mabadiliko haya ni TL!. FM hawezi kubadilisha chochote kwasababu amefikia optimum yake.

Asante kwa taarifa hii

CCM wanamtaka FM, TL akigombea, GenZii by saa 4:00 wako vile viwanja pale feri, hawana hata haja ya kusubiri matokeo!.

Muheshimu Mzee wetu huyu, huyu sio kichaa!. Ila nyinyi watu wa ajabu sana!, mtaji mnao Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ? sijui mnashindwa vipi kuutumia mtaji huu!.

Mabingwa wa siasa Afrika kiongozi miaka 20 mbunge 1!.
Kila la kheri
P
Huyu Yericko Nyerere amekuwa overrated sana lakini safari hii ndiyo amekuja kujifunua na kuwa prove wrong wale wote waliokuwa wanamu-overrate. Simulizi hii imemuacha uchi kabisa naona amekimbia moja kwa moja ameshindwa kabisa kuja kutetea andiko lake.
 
Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama hai wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao.

Sasa wamekuja kwa mlango wa nyuma wamevamia Uchaguzi wa Chadema, wakijiegemeza kwa Tundu Lissu na kufanikiwa kumjaza maneno na fitina kubwa nae akajaa kwenye 18 zao, nyuma yao kuna CCM chini ya Msigwa, na Systeam inayosukuma kete kwa mbali sana na kwa uangalifu mkubwa sana hadi uwe na jicho la tatu ndio utabaini hilo, pia na baadhi ya Wanachadema walioshindwa katika chaguzi za ndani ya chama kuanzia kanda, mikoa na Wilaya ambao kimsingi sio Wapiga Kura bali wapiga kelele. Lengo wakipore chama kwa wanadema na kukidhibiti mikononi mwa ccm na mfumo. Wanachadema msiruhusu chama chenu kiporwe kwa Twita/X na Wasap kisha kukiua chama hiki kwa faida ya ccm.

Tutawashinda, zimefanyika juhudi kadhaa za kumweleza ukweli Lissu kwamba kundi ulilonalo ni kundi linalokwenda kukuua kisiasa na kukupoteza kabisa, lakini ameshupaza shingo tukaamua ikiwa busara imefeli sasa ngoja demokrasia ikaamue, Lissu ataanguka vibaya katika uchaguzi huu yaani akipata kura 100 anatakiwa akafanye sherehe kubwa sana kwao Ikungi. Don't test your master!

Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo. Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao! Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu. Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.

Na Yericko Nyerere

Acha watu washindane!!
 
Acha tuendelee kuwa na zero brain kuliko kuwa na much know anayetaka kukiua chama.
Hiki chama kimekuwa kama maiti hakina amsha amsha kama zamani.

Fanyeni tafiti za kutosha mjue wananchi wanataka nini kwa sasa sio kutuletea ngonjera na pigo za kunja ngumi,zunguuusha!
Mabadiliko hayaepukiki duniani kote
Nahodha wa chombo kaishiwa hoja,sera na mvuto Kwa wananchi.
Apishe akili nyingine kuja kuokoa jahazi.
 
Lissu yupo Chadema muda mrefu kashindwa nini kuhamasisha amusha amusha hadi awe Mkiti.
 
Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama hai wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao.

Sasa wamekuja kwa mlango wa nyuma wamevamia Uchaguzi wa Chadema, wakijiegemeza kwa Tundu Lissu na kufanikiwa kumjaza maneno na fitina kubwa nae akajaa kwenye 18 zao, nyuma yao kuna CCM chini ya Msigwa, na Systeam inayosukuma kete kwa mbali sana na kwa uangalifu mkubwa sana hadi uwe na jicho la tatu ndio utabaini hilo, pia na baadhi ya Wanachadema walioshindwa katika chaguzi za ndani ya chama kuanzia kanda, mikoa na Wilaya ambao kimsingi sio Wapiga Kura bali wapiga kelele. Lengo wakipore chama kwa wanadema na kukidhibiti mikononi mwa ccm na mfumo. Wanachadema msiruhusu chama chenu kiporwe kwa Twita/X na Wasap kisha kukiua chama hiki kwa faida ya ccm.

Tutawashinda, zimefanyika juhudi kadhaa za kumweleza ukweli Lissu kwamba kundi ulilonalo ni kundi linalokwenda kukuua kisiasa na kukupoteza kabisa, lakini ameshupaza shingo tukaamua ikiwa busara imefeli sasa ngoja demokrasia ikaamue, Lissu ataanguka vibaya katika uchaguzi huu yaani akipata kura 100 anatakiwa akafanye sherehe kubwa sana kwao Ikungi. Don't test your master!

Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo. Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao! Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu. Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.

Na Yericko Nyerere
Wewe ndo kikundi hi hicho cha Uvamizi, TAL is a Leader sio jingajinga
 
Yericko mbona umekuja na andiko linachekesha sana, ni wewe kweli au ni mwingine? Inajulikana we ni team mbowe inayosemwa inapata backup na ccm, iweje uisukumie ccm kwa team lissu? Umeandika kinyonge sana! Sasa hapa mwanaccm na mpiga debe wa mbowe Lukas Mwashambwa ata comment vipi? Maana kabondewa na team anayoipigia debe
 
Tatizo ni Mbowe kuendelea kung'ang'ania nafasi ya uenyekiti na kukifanya chama kama KAMPUNI YAKE, wanachadema wamemchoka, hana jipya huyo.
Tusitafute mchawi, mchawi ni mwenyekiti.
Lisu ndio tumaini jipya la wanachama. Mbowe must gooooo
 
Lissu yupo Chadema muda mrefu kashindwa nini kuhamasisha amusha amusha hadi awe Mkiti.
Najua unanufaika na huo upande ulioamua kushabikia.
Lissu ana mapungufu kama walivyo binadamu wengine.

Lkn mimi binafsi ninamuappreciate jinsi alivyofaulu kutoa somo la civic education kwa vitendo kwa wananchi vile vile kujua haki zao na kuwa na uthubutu wa kuzitetea haki zao.
Kwangu hilo tu linatosha kumwona Lissu n mtu muhimu sana asiyestahili kubezwa na kutukanwa na nyie chawa pro max wa Mbowe.
 
Mzee warioba sina shaka naye kama atagombea kupitia chadema ya mbowe, hamuoni ccm itazidisha mbwembwe kununua vifaa vya kampeni mapema ili tu kuwaathiri wapinzani wake na wapiga kura kisaikolojia waone tayari ccm imeshinda? Tayari wana pikipiki zipo mitaani na mabasi hayo hapo humu yameletwa. Wale hata mabango na bendera zao itakuwa tayari ziko stoo zinasubiri muda muafaka. Ccm imeishaanza kampeni chini kwa chini, shughuli pevu ni kuishughulikia chadema kwenye uchaguzi wao wa mwenyekiti wamalize kazi ili huko mbeleni kwenye kampeni waserereke kupata ushindi wa mafuriko hata kwa kura za wanachama wao inatosha kuwapa ushindi. Mbinu kali sana hizi kummaliza mpinzani mwenye nguvu kabla hajakaribia kwenye kumi na nane zao
 
Jasusi HEWA kabisa hili.Kumbe akili kisoda

Limeshindwa kung'amua kumbe wao sasa hv ndio wameingia kwenye mfumo wa CCM.

Pumbafu kabisa.
 
sipendagi kuwapa watu sifa ya upumbavu (upumbavu sio tusi) ila ningekupea hiyo sifa. Wewe ni Nyerere ama Nyenyere?
 
Andiko la kitoto kabisa hili.
Nijibu maswali haya mawili
(i)Is CHADEMA shrinking or thriving?
(ii)Who else is an enemy of the people btn Mbowe and Lissu?
 
Chadema Kuna uchawa mbaya kuliko hata uliopo ndani ya CCM, akina yeriko mnaiua chadema kwa kuendekeza uchawa mkidhani mnakisaidia chama,hayo mapinduzi unafanyaje na watu ambao si wanachama wa chama chako!tambueni kils jqmbo lina mwanzo na mwisho, jifunzeni kusoma Alama za nyakati Mbowe akae pembeni kwa maslahi mapana ya chama chenu!
 
Badala ya kujibu tuhuma za rushwa za kina abduli mnakuja na hoja dhaifu, mnqabudu marishiano huku bado wanachama wanauwawa sasa mnauhalali gani wa kuendeleq kuongoza chama? Au mnahusika na mauaji ya kina soka, kibao na wengineo.?
 
Back
Top Bottom