secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Yaana namemwonea huruma yule dogo aliemwagiwa uwongo grade one na bwana Yeriko.Eti kaacha tundevu kama mwalimu Nyerere. Aisee matapeli wana mbinu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaana namemwonea huruma yule dogo aliemwagiwa uwongo grade one na bwana Yeriko.Eti kaacha tundevu kama mwalimu Nyerere. Aisee matapeli wana mbinu
Kabisa, hawa wapambe wamempoteza Mbowe kwa maslahi yao na watakiua chama sababu ya matumbo.Mkuu, tulia tu yetu macho, jamaa alijifanya kuomba 48hours ili aje na maamuzi sahihi ila akakaza fuvu kwa msaada wa mamluki na wapambe kama hawa, hili lichama litamfia
Jasusi gani huyo Chawa huyo wa Mbowe."Jasusi"
Haoni upepo unavumia wapi na haoni hakuna uchaguzi ambao Mbowe ameonyesha kutokubalika kama huu.Jasusi gani huyo Chawa huyo wa Mbowe.
Uchaguzi ni namba, siyo kelele mtandaoni, Lisu hakujiandaa kumshinda Mbowe.Kabisa, hawa wapambe wamempoteza Mbowe kwa maslahi yao na watakiua chama sababu ya matumbo.
Haihitaji nguvu ukipita tu mtandaoni unaona upepo unavumia wapi.
Sasa wamerudi kule kwenye njia za CCM kwamba mitandaoni hakuna wapiga kura na mara wa mitandaoni hawatopiga kura kumchagua Lissu huku hongo zimesambazwa na Abduli na imethibitika.
Halafu analeta undezi wa kuishambulia Platform ya Sauti ya Watanzania ati inataka kumpindua Sultani Mbowe huyu jamaa nilikuwaga namuonaga mtu wa maana kumbe ndezi tu.Haoni upepo unavumia wapi na haoni hakuna uchaguzi ambao Mbowe ameonyesha kutokubalika kama huu.
Namba hizo hizo ndio Chadema wamekuwa wakiibiwa na majizi ya CCM miaka yote ?Uchaguzi ni namba, siyo kelele mtandaoni, Lisu hakujiandaa kumshinda Mbowe.
Mtandao huu kwa sasa utampa ushindi Mbowe ni wa pesa za Abdul ndio maana nimesema sitoshangaa Lissu akishindwa ushawishi aliobaki nao Mbowe ni wa kifedha ila ile organic haipo tena pitia mitandao tu utaona .Turufu za kisiasa uchaguzi wa ndani unapoanza lazima uwe na mtandao wako wa kuja kukupigia kura, nilitamani sana Lisu ndio adeal na wahuni wa ccm lakini its too late, huu siyo uchaguzi wa TLS, Lisu hawezi kumshinda Mbowe, mwenzake alishaziandaa kura zake kwenye mikoa na kanda.
Wasalimie huko mkuu! 😄Nipo na Mbowe hapa Kimashuku kasema utume lipa namba yako ya Voda
Chief huyu jamaa kama si mamluki basi kuna namna push up na pump za mbowe zinamuhusu, maana anayoyasema hayaaksi uhalisia wake kabla TAL hajachukua formUmeandika mambo mengi ila ni vague. Halafu punguza kimbelembele kwa Mbowe.
kwani ni chama kile ama ni SACCOSS?Huna akili Chawa Promax.!
Tatizo hamjui vipaumbele vyenu kama chama.
Huyu jamaa ni shaba linalovuma patupu, hamna kitu humoHalafu analeta undezi wa kuishambulia Platform ya Sauti ya Watanzania ati inataka kumpindua Sultani Mbowe huyu jamaa nilikuwaga namuonaga mtu wa maana kumbe ndezi tu.
Kiongozi, wewe mbona, unajitoa ufahamu, unakuja na Maandiko ya kishamba yaliyojaa propaganda nyepesi.Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama hai wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao.
Sasa wamekuja kwa mlango wa nyuma wamevamia Uchaguzi wa Chadema, wakijiegemeza kwa Tundu Lissu na kufanikiwa kumjaza maneno na fitina kubwa nae akajaa kwenye 18 zao, nyuma yao kuna CCM chini ya Msigwa, na Systeam inayosukuma kete kwa mbali sana na kwa uangalifu mkubwa sana hadi uwe na jicho la tatu ndio utabaini hilo, pia na baadhi ya Wanachadema walioshindwa katika chaguzi za ndani ya chama kuanzia kanda, mikoa na Wilaya ambao kimsingi sio Wapiga Kura bali wapiga kelele. Lengo wakipore chama kwa wanadema na kukidhibiti mikononi mwa ccm na mfumo. Wanachadema msiruhusu chama chenu kiporwe kwa Twita/X na Wasap kisha kukiua chama hiki kwa faida ya ccm.
Tutawashinda, zimefanyika juhudi kadhaa za kumweleza ukweli Lissu kwamba kundi ulilonalo ni kundi linalokwenda kukuua kisiasa na kukupoteza kabisa, lakini ameshupaza shingo tukaamua ikiwa busara imefeli sasa ngoja demokrasia ikaamue, Lissu ataanguka vibaya katika uchaguzi huu yaani akipata kura 100 anatakiwa akafanye sherehe kubwa sana kwao Ikungi. Don't test your master!
Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo. Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao! Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu. Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.
Na Yericko Nyerere
Ya kumtoa Mbowe uenyekiti nayaunga mkono na miguu!!.Unaunga mkono mapinduzi?
CCM wamewekeza bilioni kadhaa kuhakikisha kuwa Mbowe anaendelea kuwa Sultan ndiyo hizo wamegawiwa kima Yericko Nyerere na chawa wengine huoni kutwa kucha wako mitandaoni kumsifia Sultan na kumbagaza Lissu. Mbowe amekuwa chombo kiteule cha CCM kupoozesha mageuzi ya kisiasa nchini.Inaonekana yeriko nyerere hajawahi kuwa na akili kama alivyodhaniwa na wengi au alivyowaaminisha wengi, sema tu alijua kupangilia story zake zikaonekana kama facts kumbe sio.
Hoja ya kusema Lissu anatumika na CCM ni hoja dhaifu sana kupata kutokea.
Mtu ambae alikua katika mstari mwembamba sana wa kati ya kifo na uhai wake baada ya kupigwa risasi, ni ngumu sana kumnunua mtu huyo maana hmna kinachomuogopesha tena.
Mbowe ndiye anayetumiwa na CCM. Maana hata hoja zake za kuendelea kutaka kua mwenyekiti ni dhaifu sana na hazina mashiko.
Kitendo cha yeye kuitisha press conference na kupata coverage ya media zote pia kinatia mashaka, maana inaonekana kuna nguvu nyuma ya hili sakata ambayo inamsapoti Mbowe, Either kwa kujua au kwa yeye kutokujua.
CHADEMA wenyewe hua wanasema ukiona kiongozi wa upinzani anapendwa na CCM jua huyo sio mpinzani wa kweli, kuna namna anakua anawapa manufaa CCM kuliko upinzani wake anaounyesha.
Na kwa hili inaonekana wazi kabisa kua mbowe amewafurahisha wana CCM wengi kwa kuendelea kutaka kubaki kua mwenyekiti, Tofauti na Lissu ambaye wana CCM wengi wanaonekana kumchukia.
Mimi nimekuelewa kuwa mbowe anang'ang'ania Chama ili aje aiuze CHADEMA ama tuseme AIAZIME kwa wana chama wa kuleee... mfano wa Lowassa come 2025. Ili apate pesa as usual maana anajua TAL hawezi fanya hivyo kamweBaadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama hai wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao.