Kama hakubaliani na aliowakuta kiustaarabu aanzishe chake, leo mimi nikihamia CCM siwezi kwenda na kuanza kuwapangia cha kufanya ndio hekima na busara inavyotaka.Aanzishe chama chake, kwani hiyo cdm kaanzisha Mbowe, au amekaa muda mrefu hadi unaamini ni chake?
kiona jitu linajibu hivyo ujue ni takataka za darasa la 7/12 failures.
Badala ya kujibuhoja analeta character assassination ujue ni taka
Acha uchawaKama hakubaliani na aliowakuta kiustaarabu aanzishe chake, leo mimi nikihamia CCM siwezi kwenda na kuanza kuwapangia cha kufanya ndio hekima na busara inavyotaka.
Your wishes!Acha uchawa
Nyie kazeni fuvu ila uchaguzi mkuu mwakani mtapata shida Sana kukitetea chama chenu.
Zamani ilikuwa ni ushujaa Kwa vijana hasa WA vyuo vikuu kujiita makamanda Kwa sasa huwezi kumwona kijana wa chuo anachabikia hicho chama chenu mfu.
Jibu n moja tu,huko CHADEMA akili kubwa hazihitajiki tena,yamebaki mazero brain km akina Yeriko,Sugu e.t.c ety ndo watetezi wa chama.
Sasa hicho ni chama au takataka tu? Mnachagua mtu kwa mitandao ya kununuana badala ya kuangalia ubora wa sera zakeUchaguzi ni namba, siyo kelele mtandaoni, Lisu hakujiandaa kumshinda Mbowe.
Turufu za kisiasa uchaguzi wa ndani unapoanza lazima uwe na mtandao wako wa kuja kukupigia kura, nilitamani sana Lisu ndio adeal na wahuni wa ccm lakini its too late, huu siyo uchaguzi wa TLS, Lisu hawezi kumshinda Mbowe, mwenzake alishaziandaa kura zake kwenye mikoa na kanda.
Acha tuendelee kuwa na zero brain kuliko kuwa na much know anayetaka kukiua chama.Acha uchawa
Nyie kazeni fuvu ila uchaguzi mkuu mwakani mtapata shida Sana kukitetea chama chenu.
Zamani ilikuwa ni ushujaa Kwa vijana hasa WA vyuo vikuu kujiita makamanda Kwa sasa huwezi kumwona kijana wa chuo anachabikia hicho chama chenu mfu.
Jibu n moja tu,huko CHADEMA akili kubwa hazihitajiki tena,yamebaki mazero brain km akina Yeriko,Sugu e.t.c ety ndo watetezi wa chama.
Mbowe siyo chake hata kidogo. Ni chama cha wanachama na wapEnzi and the rest you can include at your choice.Aanzishe chama chake, kwani hiyo cdm kaanzisha Mbowe, au amekaa muda mrefu hadi unaamini ni chake?
Huyu Yericko Nyerere amekuwa overrated sana lakini safari hii ndiyo amekuja kujifunua na kuwa prove wrong wale wote waliokuwa wanamu-overrate. Simulizi hii imemuacha uchi kabisa naona amekimbia moja kwa moja ameshindwa kabisa kuja kutetea andiko lake.Hii ni habari njema, chuchu ya mabadiliko haya ni TL!. FM hawezi kubadilisha chochote kwasababu amefikia optimum yake.
Asante kwa taarifa hii
CCM wanamtaka FM, TL akigombea, GenZii by saa 4:00 wako vile viwanja pale feri, hawana hata haja ya kusubiri matokeo!.
Muheshimu Mzee wetu huyu, huyu sio kichaa!. Ila nyinyi watu wa ajabu sana!, mtaji mnao Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ? sijui mnashindwa vipi kuutumia mtaji huu!.
Mabingwa wa siasa Afrika kiongozi miaka 20 mbunge 1!.
Kila la kheri
P
Baadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama hai wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao.
Sasa wamekuja kwa mlango wa nyuma wamevamia Uchaguzi wa Chadema, wakijiegemeza kwa Tundu Lissu na kufanikiwa kumjaza maneno na fitina kubwa nae akajaa kwenye 18 zao, nyuma yao kuna CCM chini ya Msigwa, na Systeam inayosukuma kete kwa mbali sana na kwa uangalifu mkubwa sana hadi uwe na jicho la tatu ndio utabaini hilo, pia na baadhi ya Wanachadema walioshindwa katika chaguzi za ndani ya chama kuanzia kanda, mikoa na Wilaya ambao kimsingi sio Wapiga Kura bali wapiga kelele. Lengo wakipore chama kwa wanadema na kukidhibiti mikononi mwa ccm na mfumo. Wanachadema msiruhusu chama chenu kiporwe kwa Twita/X na Wasap kisha kukiua chama hiki kwa faida ya ccm.
Tutawashinda, zimefanyika juhudi kadhaa za kumweleza ukweli Lissu kwamba kundi ulilonalo ni kundi linalokwenda kukuua kisiasa na kukupoteza kabisa, lakini ameshupaza shingo tukaamua ikiwa busara imefeli sasa ngoja demokrasia ikaamue, Lissu ataanguka vibaya katika uchaguzi huu yaani akipata kura 100 anatakiwa akafanye sherehe kubwa sana kwao Ikungi. Don't test your master!
Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo. Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao! Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu. Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.
Na Yericko Nyerere
Hiki chama kimekuwa kama maiti hakina amsha amsha kama zamani.Acha tuendelee kuwa na zero brain kuliko kuwa na much know anayetaka kukiua chama.
Lissu yupo Chadema muda mrefu kashindwa nini kuhamasisha amusha amusha hadi awe Mkiti.Hiki chama kimekuwa kama maiti hakina amsha amsha kama zamani.
Fanyeni tafiti za kutosha mjue wananchi wanataka nini kwa sasa sio kutuletea ngonjera na pigo za kunja ngumi,zunguuusha!
Mabadiliko hayaepukiki duniani kote
Nahodha wa chombo kaishiwa hoja,sera na mvuto Kwa wananchi.
Apishe akili nyingine kuja kuokoa jahazi.
Wewe ndo kikundi hi hicho cha Uvamizi, TAL is a Leader sio jingajingaBaadhi ya Wanachadema hawafahamu kuwa, Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi ndani ya @ChademaTz chini ya Kikundi kinachojiita Sauti ya Watanzania ambacho ndani yake kuna Wanaharakati wa ndani wakiongozwa na Dr Slaa mwanaccm ambae ndie alikuwa akiongoza mikutano ya hadhara, Mwabukusi ambae ni Mwanachama wa NCCR Mageuzi, mitandaoni yuko Maria Sarungi mwanachama hai wa CCM na baadhi ya Watz waishio nje (Diaspora) jaribio hilo lililotokea kipindi cha kupinga DP World, Bahati nzuri tulilizima jaribio hilo kwa nguvu kubwa na kuwazuia wasitumie jukwaa la Chadema kufanya mikutano yao.
Sasa wamekuja kwa mlango wa nyuma wamevamia Uchaguzi wa Chadema, wakijiegemeza kwa Tundu Lissu na kufanikiwa kumjaza maneno na fitina kubwa nae akajaa kwenye 18 zao, nyuma yao kuna CCM chini ya Msigwa, na Systeam inayosukuma kete kwa mbali sana na kwa uangalifu mkubwa sana hadi uwe na jicho la tatu ndio utabaini hilo, pia na baadhi ya Wanachadema walioshindwa katika chaguzi za ndani ya chama kuanzia kanda, mikoa na Wilaya ambao kimsingi sio Wapiga Kura bali wapiga kelele. Lengo wakipore chama kwa wanadema na kukidhibiti mikononi mwa ccm na mfumo. Wanachadema msiruhusu chama chenu kiporwe kwa Twita/X na Wasap kisha kukiua chama hiki kwa faida ya ccm.
Tutawashinda, zimefanyika juhudi kadhaa za kumweleza ukweli Lissu kwamba kundi ulilonalo ni kundi linalokwenda kukuua kisiasa na kukupoteza kabisa, lakini ameshupaza shingo tukaamua ikiwa busara imefeli sasa ngoja demokrasia ikaamue, Lissu ataanguka vibaya katika uchaguzi huu yaani akipata kura 100 anatakiwa akafanye sherehe kubwa sana kwao Ikungi. Don't test your master!
Na tutavuka chama kikiwa salama mikononi mwa wanachadema wenyewe! Lakini naomba niweke wazi jambo muhimu ambalo kila mwanachadema anatakiwa kufahamu ni kuwa baada ya uchaguzi huu, Chadema itabadilika na Siasa za nchi hii zitabadilika kwa 100%. Tuwe tayari kwa mabadiliko hayo. Hata ccm wanaoinjinia uchaguzi huu wafahamu kwamba wanaitengeneza Chadema mpya ambayo watakabiliana nayo ikiwa na nguvu ambayo hawatakuja kuiamini maishani mwao! Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu usikomaze fuvu. Zingatieni mnacheza na mabingwa wa karata za siasa Afrika, huu ndio utofauti wa harakati na siasa duniani.
Na Yericko Nyerere
Najua unanufaika na huo upande ulioamua kushabikia.Lissu yupo Chadema muda mrefu kashindwa nini kuhamasisha amusha amusha hadi awe Mkiti.