Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

Unavyotukanwa, huwezi jirekebisha na kurudi nyuma ukaachana na hoja zako za kipumbaf?

Unajenga hoja kwa kutuingizia maneno ya uongo uongo sisi ili iweje sasa!

Tangu lini Dr Slaa akatangaza na kurejea Ccm?

Hata kama mnalipwa kuchafua baadhi ya viongozi wa Cdm na wanaharakati wengineo walio mstari wa mbele kutetea maslahi ya taifa, jitahidi kujenga hoja zenye mantiki yenye ukweli ndani yake upate uungwaji mkono.

Hili la kujifanya kama mchambuzi, kumbe una ajenda zako zenye hila, unajipaka matope ambayo hautakuja kujisafisha na watu wameshakudharau sana.
 
Huu myukano, chawa wa Mbowe vs chawa wa Lissu anayepata ushindi ni CCM.
 

Mpeni Lisu kura za ndiyo,Mbona Mbowe alishatuuza kwa Lowasa au unajifanya ukumbuki.
 
Mshauri Lissu aanzishe chama chake Chadema ina wenyewe.
 
Mfano tu (si rasmi) nani ataamini 2025 akija kuona Jaji Joseph Warioba ndie Mgombea wa Chadema, nasema ni mfano tu
Ni mfano tu pia: kwa hiyo CHADEMA hakina watu makini wanaoweza kusimama na kuomba kura, badala yake zinaibuka ideas za kukodi mamluki kutoka CCM kuja kujaribu kupata kura ili RUZUKU iongezeke?

This one will not work this time around…
 
Use your head, neno mapinduzi huwezi kulitumia kienyeji hivyo
 
Mshauri Lissu aanzishe chama chake Chadema ina wenyewe.
Mimi siyo shabiki wa Mbowe ama Lissu.

Tunataka msigano uliopo, uwe kwa ajili ya maslahi ya nchi na si kwa ajili ya matumbo ya watu.

Na ndiyo maana hoja za mibaka uchumi na machawa tunazikemea kwa nguvu zote.
 
Usimchafue Mzee wetu aliyejijengea heshima kwenye Taifa hili, Jaji Warioba hawezi kugombea nafasi yoyote kwenye Chama cha Wafanyabiashara CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…