Kulikuwa na jaribio la Mapinduzi Chadema, Sasa wavamia Uchaguzi!

Uchafu mtupu
Hii shudu uliiandika ukiwa umelewa au umevuta bangi?
Ni shudu ya kiwango cha SGR.
 
Sauti ya Watanzania si ni miongoni mwa jumuia zilizopiga kelele sana kumtetea Mbowe alipokuwa jela kwa kesi ya ugaidi?.

Watu wa Mbowe leteni sera zenu acheni propaganda.
Chawa wa Mbowe ni vilaza elimu zao za hapa na pale janja janja nyingi hawana kazi wanaishi kutegemea kutupiwa makombo na Sultan Mbowe.
 
Huyu naye eti ni kichwa pale CHADEMA. Kama mnataka kufika mbali CHADEMA tafuteni vijana wenye akili kama ilivyo kuwa zamani. Mtu mwenye akili na elimu ya kunyooka hawezi leta kwenye public uchafu kama huu alio leta Yericko.
 
Uchawa ni kaz kwa kwel
 
Huyu naye eti ni kichwa pale CHADEMA. Kama mnataka kufika mbali CHADEMA tafuteni vijana wenye akili kama ilivyo kuwa zamani. Mtu mwenye akili na elimu ya kunyooka hawezi leta kwenye public uchafu kama huu alio leta Yericko.
Nenda wewe ukawe kichwa sasa kama akili ipo,sio kujifungia ndani na kucomment tu nyuma ya keyboard
 
Mambo ya uchaguzi wa kisiasa Huwa haueleweki. Weka akiba ya maneno maana huwezi kujua your next boss. Otherwise mirija ikixiba uwe na alternative. Sio vivuri ku expose upande kwenye issue kama hizi, meza inaweza kupinduka ukose shimo la kukimbilia
 
Asiye Kujua Atakuona Bonge la Mtu la maana Kumbe Mpuuzi mmoja Mchumia Tumbo
Hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…