chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo.
====
➡️"TANROAD, watu ambao kazi yao ni madaraja na barabara wanapewa kazi ya kuleta mtambo wa kuzalisha sukari katika kiwanda cha kuzalisha sukari Mkulazi, halafu mtambo wenyewe haujaletwa na fedha zimeshalipwa zote zaidi ya dola milioni 50, hadi leo mtambo haupo" @zittokabwe