Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo.

====

[emoji3591]"TANROAD, watu ambao kazi yao ni madaraja na barabara wanapewa kazi ya kuleta mtambo wa kuzalisha sukari katika kiwanda cha kuzalisha sukari Mkulazi, halafu mtambo wenyewe haujaletwa na fedha zimeshalipwa zote zaidi ya dola milioni 50, hadi leo mtambo haupo" @zittokabwe
View attachment 2188622
TANROADS SYNDICATE
 
Good! Na baada ya 2025 tutakamata za Kikwete, Kinana, Mama, mmewe na mkwewe, Makamba na Makamba Mtoto ili pesa irudi ikawatumikie Watanzania Wanyonge kama ilivyokuwa inawatumikia wanyonge enzi za RAIS WA WANYONGE RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI!
Rais wa wanyonge au ni rais wa kundi la watu wasiojulikana? Umeambiwa 50b hazipo na mtambo hakuna, ww unaleta porojo za wanyonge badala ya kusema hela iko wapi! Wanyonge kwa Magufuli ni wajinga wote waliokuwa wanamuamini bila kuhoji.
 
Za Chadema unajua zinafanyaga nini wakati hata ofisi hamna?
 
Za Chadema unajua zinafanyaga nini wakati hata ofisi hamna?

Ofisi wanatumia wazee kufanyia Majungu, ushirikina na fitina, sasa hivi mambo ni digitali, umuhimu wa ofisi ni mdogo sana. Kama vipi kawadai cdm pesa zenu ili zinunulie huo Mtambo wa sukari.
 
Ofisi wanatumia wazee kufanyia Majungu, ushirikina na fitina, sasa hivi mambo ni digitali, umuhimu wa ofisi ni mdogo sana. Kama vipi kawadai cdm pesa zenu ili zinunulie huo Mtambo wa sukari.
hahahahahahahah!!!!
 
Hivi zaidi ya vyeti feki na kuwabana wapiga madeal Magufuli aliwakosea nini cha zaidi wahuni?
 
Back
Top Bottom