Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupoView attachment 2188622
Nchi hii ni kichwa cha hayawani kabisa
 
Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupoView attachment 2188622
Lile daraja la juu libadilishwe jina futa hiyo mfugale.
 
Legacy ya Mwendawazimu kwisha kabisa.
Ingekuwa imeisha usingepoteza muda wako kuandika, imeisha, imeisha. Ungeandika kuhusu mambo mengine, ila kwakuwa unajua ipo na inawatesa sana ndio maana kucha kutwa mnashupaza shingo, imeisha, imeisha!!!!!
 
Huu sio wakati wa kurudi nyuma tusonge mbele ndugu zangu 🐒
 
Hapa tunaongelea Rais wa nchi
Zitto alikuwa mnufaika sana na NSSF alipokuwepo Ramadhani Dau; mpaka akamfadhili hata wasanii wa kutoka Kigoma katika kutunga wimbo wao LEKA TUTEGITE!!! Hivyo mambo yote ambayo hayana maslahi kwake au yanampita kwa vile waliopo pale sasa hana uakaribu nao basi ni lazima atatia fitina ya aina fulani!!! Je hayo anayosema ni kweli mtambo huo wa kuzalisha sukari bado haujaletwa mpaka sasa au ulikuwa haujaletwa wakati report inaandikwa? Hayo ndio mambo anayotakiwa kuyahakiki kabla ya kutoa shutuma.
 
Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupoView attachment 2188622
Utawala wa maggufuli ulikuwa wa kifisadi haswaa
 
Hapana,tulitaka tumuache apumzike,hila kwakuwa wafuasi wake wanamtukana Mama,acha maovu na ufisadi aliofanya uonyeshwe
Hakuna anaemtukana Samia, watu wanaonesha mapungufu yake ya kumtegemea Kikwete katika kutimiza mjukumu yake!! Watu hawataki Samia aturudishe kwenye machungu ya ufisadi wa enzi ya utawala wa huyu mkwere, mpaka wana ccm wakawa wanaogopa kuvaa shati zao za kijani jinsi walivyo kichukia hicho chama!!
 
Magufuli ndio alikuwa fisadi mkubwa kuliko wote waliopita
 
#wazendo njooni hapa tujadili, nadhani hizi ni sehemu tu ya Hela ambazo Mfugale alimtunzia jamaa, alipohojiwa mara baada ya kifo Cha JPM hii Hela imetoka wapi, akakata moto, fungwa akaunti zote za Mfugale na genge lake, inawezekana alikuwa mtunza mipango ya dili ya meko
Mzee wangu alinambia mfugale ni upawa wa magu,sijiamini,niliona ni uhodari tu wa mfugale ndiyo maana kila Chaka anatimba
 
Zitto alikuwa mnufaika sana na NSSF alipokuwepo Ramadhani Dau; mpaka akamfadhili hata wasanii wa kutoka Kigoma katika kutunga wimbo wao LEKA TUTEGITE!!! Hivyo mambo yote ambayo hayana maslahi kwake au yanampita kwa vile waliopo pale sasa hana uakaribu nao basi ni lazima atatia fitina ya aina fulani!!! Je hayo anayosema ni kweli mtambo huo wa kuzalisha sukari bado haujaletwa mpaka sasa au ulikuwa haujaletwa wakati report inaandikwa? Hayo ndio mambo anayotakiwa kuyahakiki kabla ya kutoa shutuma.
Kipindi kile leka tutigite inatoka,biti ilikua laki 3 tu!!..zito alikosa hela mbuzi Hadi afadhiliwe na dau!!?
 
#wazendo njooni hapa tujadili, nadhani hizi ni sehemu tu ya Hela ambazo Mfugale alimtunzia jamaa, alipohojiwa mara baada ya kifo Cha JPM hii Hela imetoka wapi, akakata moto, fungwa akaunti zote za Mfugale na genge lake, inawezekana alikuwa mtunza mipango ya dili ya meko
Dowans , Escow na zingine hii nchi ina wezi Kila sehemu na hata pesa za tozo wanakula tu
 
Back
Top Bottom