Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi hii ni kichwa cha hayawani kabisaHuyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupoView attachment 2188622
Lile daraja la juu libadilishwe jina futa hiyo mfugale.Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupoView attachment 2188622
Ingekuwa imeisha usingepoteza muda wako kuandika, imeisha, imeisha. Ungeandika kuhusu mambo mengine, ila kwakuwa unajua ipo na inawatesa sana ndio maana kucha kutwa mnashupaza shingo, imeisha, imeisha!!!!!Legacy ya Mwendawazimu kwisha kabisa.
Nipo Kijijini Rubambangwe, Chato, Mkoa mpya tarajiwa.Pole sana unateseka ukiwa wapi chato au dodoma
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
What's new ni kwa mtu ambaye hajapigiwa kura anadai anaongoza kidemokrasia! That's new isn't it?Hata Hitler anavuma mkuu? What's new?
Zitto alikuwa mnufaika sana na NSSF alipokuwepo Ramadhani Dau; mpaka akamfadhili hata wasanii wa kutoka Kigoma katika kutunga wimbo wao LEKA TUTEGITE!!! Hivyo mambo yote ambayo hayana maslahi kwake au yanampita kwa vile waliopo pale sasa hana uakaribu nao basi ni lazima atatia fitina ya aina fulani!!! Je hayo anayosema ni kweli mtambo huo wa kuzalisha sukari bado haujaletwa mpaka sasa au ulikuwa haujaletwa wakati report inaandikwa? Hayo ndio mambo anayotakiwa kuyahakiki kabla ya kutoa shutuma.
Utawala wa maggufuli ulikuwa wa kifisadi haswaaHuyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupoView attachment 2188622
Hapana,tulitaka tumuache apumzike,hila kwakuwa wafuasi wake wanamtukana Mama,acha maovu na ufisadi aliofanya uonyeshweMwacheni Magufuli.apumzike kwa amani.
Hakuna anaemtukana Samia, watu wanaonesha mapungufu yake ya kumtegemea Kikwete katika kutimiza mjukumu yake!! Watu hawataki Samia aturudishe kwenye machungu ya ufisadi wa enzi ya utawala wa huyu mkwere, mpaka wana ccm wakawa wanaogopa kuvaa shati zao za kijani jinsi walivyo kichukia hicho chama!!Hapana,tulitaka tumuache apumzike,hila kwakuwa wafuasi wake wanamtukana Mama,acha maovu na ufisadi aliofanya uonyeshwe
Magufuli ndio alikuwa fisadi mkubwa kuliko wote waliopitaHakuna anaemtukana Samia, watu wanaonesha mapungufu yake ya kumtegemea Kikwete katika kutimiza mjukumu yake!! Watu hawataki Samia aturudishe kwenye machungu ya ufisadi wa enzi ya utawala wa huyu mkwere, mpaka wana ccm wakawa wanaogopa kuvaa shati zao za kijani jinsi walivyo kichukia hicho chama!!
Mzee wangu alinambia mfugale ni upawa wa magu,sijiamini,niliona ni uhodari tu wa mfugale ndiyo maana kila Chaka anatimba#wazendo njooni hapa tujadili, nadhani hizi ni sehemu tu ya Hela ambazo Mfugale alimtunzia jamaa, alipohojiwa mara baada ya kifo Cha JPM hii Hela imetoka wapi, akakata moto, fungwa akaunti zote za Mfugale na genge lake, inawezekana alikuwa mtunza mipango ya dili ya meko
Kipindi kile leka tutigite inatoka,biti ilikua laki 3 tu!!..zito alikosa hela mbuzi Hadi afadhiliwe na dau!!?Zitto alikuwa mnufaika sana na NSSF alipokuwepo Ramadhani Dau; mpaka akamfadhili hata wasanii wa kutoka Kigoma katika kutunga wimbo wao LEKA TUTEGITE!!! Hivyo mambo yote ambayo hayana maslahi kwake au yanampita kwa vile waliopo pale sasa hana uakaribu nao basi ni lazima atatia fitina ya aina fulani!!! Je hayo anayosema ni kweli mtambo huo wa kuzalisha sukari bado haujaletwa mpaka sasa au ulikuwa haujaletwa wakati report inaandikwa? Hayo ndio mambo anayotakiwa kuyahakiki kabla ya kutoa shutuma.
Mfugale alikuwa Biwott wa TanzaniaHuyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupoView attachment 2188622
Noma sana!Legasi iko msalabani, CAG amejiachia, angekuwepo mwenyewe hii habari isingetoka, yule jamaa alikuwa hatari sana, Mungu ni mwema kafanya yake
Dowans , Escow na zingine hii nchi ina wezi Kila sehemu na hata pesa za tozo wanakula tu#wazendo njooni hapa tujadili, nadhani hizi ni sehemu tu ya Hela ambazo Mfugale alimtunzia jamaa, alipohojiwa mara baada ya kifo Cha JPM hii Hela imetoka wapi, akakata moto, fungwa akaunti zote za Mfugale na genge lake, inawezekana alikuwa mtunza mipango ya dili ya meko
Kipindi kile leka tutigite inatoka,biti ilikua laki 3 tu!!..zito alikosa hela mbuzi Hadi afadhiliwe na dau!!?