Tumewalipa wachina billions of money na vichwa vya treni havijafika...ni Ujuha tu wa Mzitto Mkabwela kuleta hoja za kitoto.Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupoView attachment 2188622
Wewe ndio umejificha. Angalia status yangu. Nkmeishatuma meseji zaidi ya mia ndani ya saa moja. Nakuhakikishia, hata Wayahudi walimpiga vita sana Yesu Kristu, lakini mpaka leo jina la Yesu Kristy linajulikana dunia nzima. Waliomuua hata majina yao hayajulikani. Hivyo, hivyo kwa Magufuli. Jina lake litavuma na kuvuma baada ya miaka 50 kupita.Tehetehe! Mmejificha mpaka nimewaibua, mbombo ngafu
Itabidi umwambie Mama amuondoe Waziri Bashe kwenye uwaziri kwani juzi akikabidhi pikipiki alimwambia ifikapo mwaka 2025 suala la uhaba wa sukari na kupanda bei ya sukari itakuwa historia kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya sukari uliofanywa na RAIS WA WANYONGE HAYATI JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI!Kuna wenzako wanazi wa JPM wanahoji bei ya sukari, hawajui fedha ya kununua mashine jamaa aliipiga,mnakesha ooohhh Samia, bei za bidhaa zinapandaaa
Kuna mwizi zaidi ya Kikwete? Kuna mwizi zaidi ya Kinana? Na Mama amewaleta karibu wezi maana yake na yeye ni MWIZI!Atavuma kwa wizi
Akaunti za Mfugale zote zimekamatwa na za huyo mwendazake, zinakaguliwa, Hela ya umma irudiItabidi umwambie Mama amuondoe Waziri Bashe kwenye uwaziri kwani juzi akikabidhi pikipiki alimwambia ifikapo mwaka 2025 suala la uhaba wa sukari na kupanda bei ya sukari itakuwa historian kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya sukari uliofanywa na RAIS WA WANYONGE HAYATI JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI!
Good! Na baada ya 2025 tutakamata za Kikwete, Kinana, Mama, mmewe na mkwewe, Makamba na Makamba Mtoto ili pesa irudi ikawatumikie Watanzania Wanyonge kama ilivyokuwa inawatumikia wanyonge enzi za RAIS WA WANYONGE RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI!Akaunti za Mfugale zote zimekamatwa na za huyo mwendazake, zinakaguliwa, Hela ya umma irudi
Pole sana unateseka ukiwa wapi chato au dodomaGood! Na baada ya 2025 tutakamata za Kikwete, Kinana, Mama, mmewe na mkwewe, Makamba na Makamba Mtoto ili pesa irudi ikawatumikie Watanzania Wanyonge kama ilivyokuwa inawatumikia wanyonge enzi za RAIS WA WANYONGE RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI!
Hata Hitler anavuma mkuu? What's new?Wewe ndio umejificha. Angalia status yangu. Nkmeishatuma meseji zaidi ya mia ndani ya saa moja. Nakuhakikishia, hata Wayahudi walimpiga vita sana Yesu Kristu, lakini mpaka leo jina la Yesu Kristy linajulikana dunia nzima. Waliomuua hata majina yao hayajulikani. Hivyo, hivyo kwa Magufuli. Jina lake litavuma na kuvuma baada ya miaka 50 kupita.
Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupoView attachment 2188622
Akaunti za Mfugale zote zimekamatwa na za huyo mwendazake, zinakaguliwa, Hela ya umma irudi