Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

TANROADS SYNDICATE
 
Good! Na baada ya 2025 tutakamata za Kikwete, Kinana, Mama, mmewe na mkwewe, Makamba na Makamba Mtoto ili pesa irudi ikawatumikie Watanzania Wanyonge kama ilivyokuwa inawatumikia wanyonge enzi za RAIS WA WANYONGE RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI!
Rais wa wanyonge au ni rais wa kundi la watu wasiojulikana? Umeambiwa 50b hazipo na mtambo hakuna, ww unaleta porojo za wanyonge badala ya kusema hela iko wapi! Wanyonge kwa Magufuli ni wajinga wote waliokuwa wanamuamini bila kuhoji.
 
Za Chadema unajua zinafanyaga nini wakati hata ofisi hamna?
 
Ofisi wanatumia wazee kufanyia Majungu, ushirikina na fitina, sasa hivi mambo ni digitali, umuhimu wa ofisi ni mdogo sana. Kama vipi kawadai cdm pesa zenu ili zinunulie huo Mtambo wa sukari.
 
hahahahahahahah!!!!
 
Hivi zaidi ya vyeti feki na kuwabana wapiga madeal Magufuli aliwakosea nini cha zaidi wahuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…