BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba moja.
Haiwezekani kwa akili ya kawaida nchi mpaka inaingia kwenye tension kiasi hiki halafu wenye mamlaka wamekomaa kutaka suala hilo lifanyike iwe jua iwe mvua. Kwa manufaa ya nani sasa kama wenye nchi wenyewe hawataki kwanini muwalazimishe waingie?