Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

Kwa hiyo tuamini izo ramli zako? Wamepewa shilingi ngapi? Wapi? Lini? Kwa mfumo upi?

Yaaani Serikali iache kufanya na kutekeleza mipango yake ya maendeleo kwa ajili ya nyie wapuuzi mnaotaka tuendelee kuwa nyuma kiufanisi na Serikali isipate fedha za maendeleo ili kesho mje kuisema haijafanya kitu??

Nakwambiaje. Mkataba unatekelezwa na hakuna atakayezuia na fedha zitakazopatikana zitakusaidia wewe na uzao wako wote
Duh
 
HATARI SANA.. 😁

Tanzania kuilipa AED 20M yaan TZShTrillion 12 Dipii Wedi Kama fidia ya hongo mbali mbali walizopewa viongozi kuandaa mazingira ya kupewa Tenda bila kufuata utaratibu

Msemaji makini anasema
1. Mkubwa kabisa kalamba zaidi ya 4,000,000AED
2. Waandishi wa Habari na station za TV wamepewa 2,000,000AED na kuwezesha safari zao
3. Wanene wa mjengoni 37 wamepewa zaidi ya 7,500,000 AED na vitu vya thamani ya 4,200,000AED
4. Wanasheria walio facilitates mkataba wamepewa 1,000,000AED
5. Washenga (watu kati) 5,600,000 kuna Dubei holdings and Agencies

Hii inalazimika waliokula Pesa hii kuirejesha au ama Dipi wed imekula kwao au Waliokula Hiyo hela walipe
.
.
Sasa Niendelee na ⚽
 
Wewe Ni kielelezo Cha matumizi mabaya ya shahawa. Tunamlaumu babako kukojoa ndani Halafu ikazaliwa takataka!
Nakwambiaje mzazi wangu anamshukuru Mungu kila siku kwa kuwa na mtoto mwenye akili na successful ambaye ni mimi. I don't brag ila kweli I'm blessed ndugu
 
Tumia japo akiki zako kufikiri vizuri.
Ipo hivi
Ta zanzania imezungukwa na nchi 6
Malawi,Zambia Congo,Burundi,Rwanda na Uganda.

Nchi hizo zinaingiza tani mil 60 kwa mwaka za mizigo kutoka ulaya ,Amerika na China.

Nchi hizo zimatumia Bandari nne kuingiza mizigo.

Badari hizo ni Darban ya Afrika kusini.

Beira ya msumbiji
Dar es salaam ya Tz na
Mombasa ya kenya.

Mwaka jana Mzigo wa hizo nchi ukiopita Bandari yetu ya Dar es Salaam ni tani mil 8 tu kati ya tani Mil 60.

Maana yake tani mil 52 Zilipita Mombasa,Beira na Darban.

Hapa tulikosa fedha nyingi kwa kukosa huo mzigo,ndipo tumeamua kuongeza ufanisi kwa kutafuta kampuni kubwa yenye uzoefu wa uedeshaji wa bandari.

Ziliomba kazi kampuni kumi.

Dp ikaonekana ndio kampuni inayolipa vizuri na tayari ina uwekezaji mwenye hizo nchi.

Dp wana yard kubwa Rwanda na Kongo kwaajili ya mupokelea mizigo.

Kwani DP anamiliki meli kubwa zaidi mia nne(400).

Kenya wanautaka mzigo,Sisi tunautaka mzigo ili tutoze kodi na forodha.

Hapo ndipo ujasusi wa kiuchumi unapoanza.

Majasusi huoenda kutumia vibaraka kukwamisha.

Tunapambana kupata mzigo,anakuja Askofu alieshiba pombe anasema hataki uwekezaji,kwamba bandari waendelee kuendesha wazawa.

Sasa katikati ya vita yakugombania Mzigo anaibuka Askaofu,unafikiri ni sawa kumvulia,unajuaje kama hajahongwa na washindani wetu wa uchumi.
 
Dp World ni ya msouth Africa na mtu wa familia ya kiarabu na sio state entity ndio maana kesi ziende south Africa tukishindwana
 
Kila nikifikiria suala hili la bandari naumia sana roho au labda sina elim ya kutosha kuhusu uwekezaji au vip. Sina amani kabsa nahis one day tutakuwa watumwa ndani ya ardhi yetu
Huo ndio ukweli
 
Tumia japo akiki zako kufikiri vizuri.
Ipo hivi
Ta zanzania imezungukwa na nchi 6
Malawi,Zambia Congo,Burundi,Rwanda na Uganda.

Nchi hizo zinaingiza tani mil 60 kwa mwaka za mizigo kutoka ulaya ,Amerika na China.

Nchi hizo zimatumia Bandari nne kuingiza mizigo.

Badari hizo ni Darban ya Afrika kusini.

Beira ya msumbiji
Dar es salaam ya Tz na
Mombasa ya kenya.

Mwaka jana Mzigo wa hizo nchi ukiopita Bandari yetu ya Dar es Salaam ni tani mil 8 tu kati ya tani Mil 60.

Maana yake tani mil 52 Zilipita Mombasa,Beira na Darban.

Hapa tulikosa fedha nyingi kwa kukosa huo mzigo,ndipo tumeamua kuongeza ufanisi kwa kutafuta kampuni kubwa yenye uzoefu wa uedeshaji wa bandari.

Ziliomba kazi kampuni kumi.

Dp ikaonekana ndio kampuni inayolipa vizuri na tayari ina uwekezaji mwenye hizo nchi.

Dp wana yard kubwa Rwanda na Kongo kwaajili ya mupokelea mizigo.

Kwani DP anamiliki meli kubwa zaidi mia nne(400).

Kenya wanautaka mzigo,Sisi tunautaka mzigo ili tutoze kodi na forodha.

Hapo ndipo ujasusi wa kiuchumi unapoanza.

Majasusi huoenda kutumia vibaraka kukwamisha.

Tunapambana kupata mzigo,anakuja Askofu alieshiba pombe anasema hataki uwekezaji,kwamba bandari waendelee kuendesha wazawa.

Sasa katikati ya vita yakugombania Mzigo anaibuka Askaofu,unafikiri ni sawa kumvulia,unajuaje kama hajahongwa na washindani wetu wa uchumi.
Uongo mtupu. Pesa mnaiba wenyewe sio sababu ya kuleta Mwarabu
 
HATARI SANA.. 😁

Tanzania kuilipa AED 20M yaan TZShTrillion 12 Dipii Wedi Kama fidia ya hongo mbali mbali walizopewa viongozi kuandaa mazingira ya kupewa Tenda bila kufuata utaratibu

Msemaji makini anasema
1. Mkubwa kabisa kalamba zaidi ya 4,000,000AED
2. Waandishi wa Habari na station za TV wamepewa 2,000,000AED na kuwezesha safari zao
3. Wanene wa mjengoni 37 wamepewa zaidi ya 7,500,000 AED na vitu vya thamani ya 4,200,000AED
4. Wanasheria walio facilitates mkataba wamepewa 1,000,000AED
5. Washenga (watu kati) 5,600,000 kuna Dubei holdings and Agencies

Hii inalazimika waliokula Pesa hii kuirejesha au ama Dipi wed imekula kwao au Waliokula Hiyo hela walipe
.
.
Sasa Niendelee na ⚽
Na DP WORLD sio state entity, inamilikiwa mwanafamilia ya mfalme na mfanyabiashara wa afrika ya kusini, sasa serikali walitudanganya au kuna DP world mbili?
 
Attachments

  • IMG_20230820_010441.jpg
    IMG_20230820_010441.jpg
    119 KB · Views: 1
  • IMG_20230820_010541.jpg
    IMG_20230820_010541.jpg
    127.1 KB · Views: 1
  • IMG_20230820_010624.jpg
    IMG_20230820_010624.jpg
    136.8 KB · Views: 1
Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba moja.

Haiwezekani kwa akili ya kawaida nchi mpaka inaingia kwenye tension kiasi hiki halafu wenye mamlaka wamekomaa kutaka suala hilo lifanyike iwe jua iwe mvua. Kwa manufaa ya nani sasa kama wenye nchi wenyewe hawataki kwanini muwalazimishe waingie?
Mama Abdul amekula MLUNGULA na kuiuza nchi kupitia mkataba wa hovyo, uzuri ni kwamba haya mambo hayana muda mrefu kila kitu kitakua wazi
 
Hawa wapuuzi wakimaliza Bandari watakuja kumpa Mwarabu Barbara zote kuu hapo utumwa kamili utatimia
 
Tumia japo akiki zako kufikiri vizuri.
Ipo hivi
Ta zanzania imezungukwa na nchi 6
Malawi,Zambia Congo,Burundi,Rwanda na Uganda.

Nchi hizo zinaingiza tani mil 60 kwa mwaka za mizigo kutoka ulaya ,Amerika na China.

Nchi hizo zimatumia Bandari nne kuingiza mizigo.

Badari hizo ni Darban ya Afrika kusini.

Beira ya msumbiji
Dar es salaam ya Tz na
Mombasa ya kenya.

Mwaka jana Mzigo wa hizo nchi ukiopita Bandari yetu ya Dar es Salaam ni tani mil 8 tu kati ya tani Mil 60.

Maana yake tani mil 52 Zilipita Mombasa,Beira na Darban.

Hapa tulikosa fedha nyingi kwa kukosa huo mzigo,ndipo tumeamua kuongeza ufanisi kwa kutafuta kampuni kubwa yenye uzoefu wa uedeshaji wa bandari.

Ziliomba kazi kampuni kumi.

Dp ikaonekana ndio kampuni inayolipa vizuri na tayari ina uwekezaji mwenye hizo nchi.

Dp wana yard kubwa Rwanda na Kongo kwaajili ya mupokelea mizigo.

Kwani DP anamiliki meli kubwa zaidi mia nne(400).

Kenya wanautaka mzigo,Sisi tunautaka mzigo ili tutoze kodi na forodha.

Hapo ndipo ujasusi wa kiuchumi unapoanza.

Majasusi huoenda kutumia vibaraka kukwamisha.

Tunapambana kupata mzigo,anakuja Askofu alieshiba pombe anasema hataki uwekezaji,kwamba bandari waendelee kuendesha wazawa.

Sasa katikati ya vita yakugombania Mzigo anaibuka Askaofu,unafikiri ni sawa kumvulia,unajuaje kama hajahongwa na washindani wetu wa uchumi.
Umeandika maelezo mengi lakini hayana ushahidi.

Unasema Kampuni 10 ziliomba mbona kauli yako inapingana na waziri mwenyewe anaesema DP alipewa na hakuomba. Kama una ushahidi wa tenda tuwekee hapa hayo makampuni tuyajue

Unasema DP ndio waliweka fedha nyingi kwanini hazikuandikwa kokote kwenye mkaaba?

Unasema tutapitisha mizigo mingi, kama tumeweza kuweka 26 trillion kwenyw reli tunashindwa nini kuweke uwekezaji mkubwa kwenye bandari na kuajiri wataalam kuendesha bandari. Sio lazima tuwape DP tunaweza kuajiri sisi tukawa tunawalipa wataalam. Kama tulilipa wataalam kuandaa Royal Tour na tunalipa wakandarasi kila siku kwanini tushindwe kulipa wafanyakazi wataalam kuendesha bandari.

Pia hamjibu hoja za maana Kama muda wa mkataba, maslahi ya Tanzania katika mkataba na jinsi ya kuvunja mkataba.
 
Uliwahi kuuliza ushindani wa wazi kwenye Bwawa la Nyerere? Ujenzi wa SGR Dar to Moro?

Mwekezaji kapatikanaje kwa mazingira ya Rushwa? Thibitisha?
Kilichofanyika ni sahihi kwa utekelezaji wa miradi hiyo (Single Source) lakini si kwa hili la uwekezaji wa kutoa bandari zote tena za Tanzania Bara kwa mwekezaji mmoja. By the way miradi yote miwili inaenda kukamilika kwa wakati. Hata Serikali na CCM wanajisifu kupitia miradi hiyo.
 
Kwa hiyo tuamini izo ramli zako? Wamepewa shilingi ngapi? Wapi? Lini? Kwa mfumo upi?

Yaaani Serikali iache kufanya na kutekeleza mipango yake ya maendeleo kwa ajili ya nyie wapuuzi mnaotaka tuendelee kuwa nyuma kiufanisi na Serikali isipate fedha za maendeleo ili kesho mje kuisema haijafanya kitu??

Nakwambiaje. Mkataba unatekelezwa na hakuna atakayezuia na fedha zitakazopatikana zitakusaidia wewe na uzao wako wote
Baki na ubwege wako! Unadhani Kitenge ana uwezo wa kununua V8 Kwa fedha yake? Kwa mshahara upi?

Unafikiri kwanini ndege ya Rais inashikiliwa Dubai? Wanataka Mkataba au fedha zso zirufishwe zaidi ya trilioni 5

Kwanini wanataka kutufanya wajinga wote? Kuna watu serikalini wameichoka CCM na ndio maana hakuna Siri inayo Baki kuwa Siri.
 
Mim kama mmoja ya wenyenchi nabariki uwekezaji wa DP WORLD nchini.

Kuna kingine labda?
Wewe si Mbumbumbu mzungu wa reli unajua nini kuhusu Bandari hata logo ya Bandari huijui, policy ya Bandari ni ipi hujui, Mission & Vision ya Bandari ni ipi hujui, Managerial Structure ya Bandari ni ipi hujui, ukiambiwa Bandari ni nini hujui 👉🚮
 
Na DP WORLD sio state entity, inamilikiwa mwanafamilia ya mfalme na mfanyabiashara wa afrika ya kusini, sasa serikali walitudanganya au kuna DP world mbili?
Dunia ya utandawazi hoi hii ni aibu kama Ile Kabudi alipotuletea wanunua Korosho kutoka Kenya
Sababu tu walikuja na private jet

Mama Kwa hili siko upande wako kumbe jamaa ni wahalo sauzi mnatupiga kamba Dubei

Kwanini msingesema kweli tangu mwanzo!!!!
 
Nakwambiaje mzazi wangu anamshukuru Mungu kila siku kwa kuwa na mtoto mwenye akili na successful ambaye ni mimi. I don't brag ila kweli I'm blessed ndugu
Wewe ni bao ambalo Baba yako ilipaswa apige NYETO unachofanya ni matumizi mabaya ya bao la Baba yako hakukuzaa uwe kiazi mvuringo Mbumbumbu
 
Tumia japo akiki zako kufikiri vizuri.
Ipo hivi
Ta zanzania imezungukwa na nchi 6
Malawi,Zambia Congo,Burundi,Rwanda na Uganda.

Nchi hizo zinaingiza tani mil 60 kwa mwaka za mizigo kutoka ulaya ,Amerika na China.

Nchi hizo zimatumia Bandari nne kuingiza mizigo.

Badari hizo ni Darban ya Afrika kusini.

Beira ya msumbiji
Dar es salaam ya Tz na
Mombasa ya kenya.

Mwaka jana Mzigo wa hizo nchi ukiopita Bandari yetu ya Dar es Salaam ni tani mil 8 tu kati ya tani Mil 60.

Maana yake tani mil 52 Zilipita Mombasa,Beira na Darban.

Hapa tulikosa fedha nyingi kwa kukosa huo mzigo,ndipo tumeamua kuongeza ufanisi kwa kutafuta kampuni kubwa yenye uzoefu wa uedeshaji wa bandari.

Ziliomba kazi kampuni kumi.

Dp ikaonekana ndio kampuni inayolipa vizuri na tayari ina uwekezaji mwenye hizo nchi.

Dp wana yard kubwa Rwanda na Kongo kwaajili ya mupokelea mizigo.

Kwani DP anamiliki meli kubwa zaidi mia nne(400).

Kenya wanautaka mzigo,Sisi tunautaka mzigo ili tutoze kodi na forodha.

Hapo ndipo ujasusi wa kiuchumi unapoanza.

Majasusi huoenda kutumia vibaraka kukwamisha.

Tunapambana kupata mzigo,anakuja Askofu alieshiba pombe anasema hataki uwekezaji,kwamba bandari waendelee kuendesha wazawa.

Sasa katikati ya vita yakugombania Mzigo anaibuka Askaofu,unafikiri ni sawa kumvulia,unajuaje kama hajahongwa na washindani wetu wa uchumi.
Ushapewa AED zako au bado?
 
Uliwahi kuuliza ushindani wa wazi kwenye Bwawa la Nyerere? Ujenzi wa SGR Dar to Moro?

Mwekezaji kapatikanaje kwa mazingira ya Rushwa? Thibitisha?
Nakuheshimu Sana ngoja niishie tu kukuambia kitu kimoja wananchi hawakatai uwekezaji wa DPW tatizo hapa ni aina ya mkataba walioingia ni WA kipumbavu, mradi wa SGR/BWAWA uliambiwa na Nani kuwa wakimaliza kujenga wataimiliki?. Sisi tumewekeza zaidi trillion moja kupanua bandari bado hata hatujamaliza kulipa,wanampa DPW kwa bwelele kabisa tunawajibishwa kwa mashariti ya kichaa tu anaeweza kuyakubali,watz si wajinga Tena.
 
"watz si wajinga Tena"

Bila wananchi kuingilia kati hawa viongozi watauza kila kitu kwa wageni.

Hoja sio kukataa wawekezaji.
Hoja ni aina ya Mkataba.

Unaipaje kampuni moja ya Dubai kumiliki Bandari zote milele?

Mbona Wingereza anaendesha Bandari moja tu?

Kwanini hamtaki kumpa Bandari moja kwanza ili kuona ufanisi wake kwanza, akifanya vizuri apewe na nyingine kutokana na mahitaji ya uwekezaji.

Nashangaa Msomi kama Lord, anashindwa kabisa kuelewa hili jambo rahisi tu.

Shura ya Maimamu wameona huu udhalilishaji na wameshauri mkataba urekebishwe tu maeneo yenye udhalili a hila na DPW iendelee na kazi.

Hivi hawa viongozi wanajiona wao tu ndio wenye akili au.

Kwani viongozi mpo kwa ajiri ya kuwanufaisha Wageni au Watanzania?

Mbona mmefumba macho na masikio yenu kuna nini hapa?
Rekebisheni mkataba hamtaki mnataka nini?
Hii nchi sio yenu peke yenu, nyie mpo kwa ajiri ya wananchi na sio wageni.

Haya Muwape sasa kama mnavyotaka halafu tukae tuone ni nini mtapata.
 
Back
Top Bottom