Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha

Akili yako fupi kama ya kenge anayekimbia mvua na kuingia majini!
Mitanzania mingine ni mijinga mijinga sana hata uyaambie logic hayaelewi!
Hakuna mtu ambaye anapinga uwekezaji lakini Mwekezaji apatikane kwa njia za ushindani na wazi na Kwa masharti Bora kwa maslahi ya Taifa!
Siyo hii yenu ya kupata Mwekezaji kwa hila na Mazingira ya RUSHWA!

Onesha hiyo rushwa
 
Licha ya makelele yote haya kwa Wananchi, Mashinikizo ya Wanasiasa na sasa Matamko ya Viongozi wa Dini kupinga suala la Dubai kuwekeza kwenye Bandari zetu inaonesha kabisa Kuna watu wamelipwa fedha nyingi wameahidiwa mgawo mkubwa sana endapo jambo hili litaanza utekelezaji nchini including namba moja.

Haiwezekani kwa akili ya kawaida nchi mpaka inaingia kwenye tension kiasi hiki halafu wenye mamlaka wamekomaa kutaka suala hilo lifanyike iwe jua iwe mvua. Kwa manufaa ya nani sasa kama wenye nchi wenyewe hawataki kwanini muwalazimishe waingie?
Ni mlo wao
 
Uliwahi kuuliza ushindani wa wazi kwenye Bwawa la Nyerere? Ujenzi wa SGR Dar to Moro?

Mwekezaji kapatikanaje kwa mazingira ya Rushwa? Thibitisha?
Hivi kosa la kwanza, la pili, hata kosa la tatu husahihishwa na kosa lingine kubwa zaidi? Mpaka hoja unaiandika huoni mantiki ya hoja yako inavyopingana?
 
Sababu yao ya kusema kwamba wizi umezidi bandarini ndio maana wameleta hao jamaa haina mashiko hata kidogo,
kwa sababu kama hiyo ndio sababu inabidi tujiulize ni sekta gani hapa tozonia ambayo hakuna wizi 🤔🤔 kwa nini na huko kwingineko ambako kuna wizi pia hawajaleta muwekezaji 🤔🤔
Alafu hao wezi pale bandarini kwani wamewekwa na nani kama sio wao wenyewe 😡😡 kwa hiyo wanatishwa na kinyago walicho chonga wenyewe 😡😡wana waogopa wezi hadi wameenda kuleta watu kutoka mbali huko waje kuwatolea wezi kwenye nyumba yao
hili jambo linazidi kuwavua nguo Kila siku badala ya kuchutama wameendelea kusimama nyeti ziko wazi Kila mmoja anaona sasa
 
Dunia ya utandawazi hoi hii ni aibu kama Ile Kabudi alipotuletea wanunua Korosho kutoka Kenya
Sababu tu walikuja na private jet

Mama Kwa hili siko upande wako kumbe jamaa ni wahalo sauzi mnatupiga kamba Dubei

Kwanini msingesema kweli tangu mwanzo!!!!
Ndio maana kesi walitaka wapeleke afrika kusini kama tukishindwana
 
Back
Top Bottom