Kuling'ang'ania suala DP World kuchukua Bandari ni dhahiri kuna Viongozi wamelipwa Fedha


Onesha hiyo rushwa
 
Ni mlo wao
 
Uliwahi kuuliza ushindani wa wazi kwenye Bwawa la Nyerere? Ujenzi wa SGR Dar to Moro?

Mwekezaji kapatikanaje kwa mazingira ya Rushwa? Thibitisha?
Hivi kosa la kwanza, la pili, hata kosa la tatu husahihishwa na kosa lingine kubwa zaidi? Mpaka hoja unaiandika huoni mantiki ya hoja yako inavyopingana?
 
Hivi kosa la kwanza, la pili, hata kosa la tatu husahihishwa na kosa lingine kubwa zaidi? Mpaka hoja unaiandika huoni mantiki ya hoja yako inavyopingana?
Sasa hoja ni Je Uliwahi kusikia tamko la TEC kwenye hayo?
 
Sababu yao ya kusema kwamba wizi umezidi bandarini ndio maana wameleta hao jamaa haina mashiko hata kidogo,
kwa sababu kama hiyo ndio sababu inabidi tujiulize ni sekta gani hapa tozonia ambayo hakuna wizi 🤔🤔 kwa nini na huko kwingineko ambako kuna wizi pia hawajaleta muwekezaji 🤔🤔
Alafu hao wezi pale bandarini kwani wamewekwa na nani kama sio wao wenyewe 😡😡 kwa hiyo wanatishwa na kinyago walicho chonga wenyewe 😡😡wana waogopa wezi hadi wameenda kuleta watu kutoka mbali huko waje kuwatolea wezi kwenye nyumba yao
hili jambo linazidi kuwavua nguo Kila siku badala ya kuchutama wameendelea kusimama nyeti ziko wazi Kila mmoja anaona sasa
 
Ndio maana kesi walitaka wapeleke afrika kusini kama tukishindwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…