Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Generation Z au Zoomers ni kizazi cha waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 hadi 2012. Umri wao ni kati ya miaka 9 hadi 24. Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha (Generation Alpha and the generations that will come thereafter will be more worse than Generation Z).

Kizazi hiki "Generation Z" kiliandaliwa (kilikuwa programmed) miaka mingi iliyopita na kikundi cha watu wanao itawala dunia.

Moja kati ya sifa za watu wa kizazi Z ni pamoja na:

1. They are 100% ruled and controlled by the internet and social media in general (they are the truly "Digital natives" and netizens of this planet.

2. Their behaviours and life style in general are easily and heavily influenced by celebrities (they don't like to do what their parents are teaching them, they don't like to do what their teachers are telling them, they don't like to do what their imams and pastors are preaching to them, ut they love to do what their favourite celebrities are doing or saying or preaching )

3. They are lenient to homosexuality and Lgbt life style in general.

4. Lack of fear of God.

5. They make very poor and dangerous decisions which are detrimental to their own lives.

6. Low IQs and EQs.

7. Poor health.

8. They are okay with drinking liquors and smoking ( both cigarettes and marijuana)

9. They are okay with drugs ( cocaine etc)

10. Life expectancy ( 40-45 years)

Mzazi chagua mwenyewe.

1. Mpeleke mtoto wako shule ya kayumba ajifunze uhalisia wa maisha kwa kuanza kuwa responsible kuanzia akiwa darasa la kwanza kama vile kufanya usafi shuleni, kujichanganya na watoto wenzake wengi aanze kupata changamoto mapema, kuadhibiwa na walimu anapokosea, kwenda na kurudi shuleni kwa miguu nk, (bado haitamzuia na athari za Generation Z but mzazi hutopata hasara mara mbili 1. Kulipa.mamilioni na mtoto kuathiriwa na gen z).

Au

2. Mlipie mamilioni akae sehemu ambayo anafanyiwa kila kitu (anapewa chakula, anapelekwa shule na gari na kurudishwa na gari, darasani anakuwa spoon fed, etc but mwisho wa siku upate hasara mara mbili (kulipa mamilioni + mtoto kuharibikiwa).
 
Bado tu hujamaliza hili mkuu, kwanini unaumia watu wakitumia hela zao na ambazo hujui wamezitafuta vipi??
Inatosha mwanao kusoma shule za kama so usi force tufanane. Mwisho wa yote hakuna atakae kuja kwako kuomba ada au hifazi siku mtoto akikwama
 
Bado tu hujamaliza hili mkuu, kwanini unaumia watu wakitumia hela zao na ambazo hujui wamezitafuta vipi??
Inatosha mwanao kusoma shule za kama so usi force tufanane. Mwisho wa yote hakuna atakae kuja kwako kuomba ada au hifazi siku mtoto akikwama
Kuna watu huu ushauri unawasaidia.. hakuna tangazo ambalo halina watu
 
Mengi uliyoandika yana ukweli kwa kiasi kikubwa, wanajua sana watu maarufu na mengi yasiyo ya maana na kutojua ya msingi hata yale yanayohitaji common sense.

Wengi wao wamemaliza shule mapema kutokana na kuanza shule mapema, hawafundishiki, they assume they know everything.

Wengi wao akili zao zimejaa anasa na starehe hawajali kuhusu kesho yao. They are totally driven by social media.

Kama wazazi tusiache ku play part yetu angalau wafahamu vitu vya msingi pamoja na mapungufu yaliyopo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom