Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

Generation Z au Zoomers ni kizazi cha waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 hadi 2012. Umri wao ni kati ya miaka 9 hadi 24. Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha (Generation Alpha and the generations that will come thereafter will be more worse than Generation Z).

Kizazi hiki "Generation Z" kiliandaliwa (kilikuwa programmed) miaka mingi iliyopita na kikundi cha watu wanao itawala dunia.

Moja kati ya sifa za watu wa kizazi Z ni pamoja na:

1. They are 100% ruled and controlled by the internet and social media in general (they are the truly "Digital natives" and netizens of this planet.

2. Their behaviours and life style in general are easily and heavily influenced by celebrities (they don't like to do what their parents are teaching them, they don't like to do what their teachers are telling them, they don't like to do what their imams and pastors are preaching to them, ut they love to do what their favourite celebrities are doing or saying or preaching )

3. They are lenient to homosexuality and Lgbt life style in general.

4. Lack of fear of God.

5. They make very poor and dangerous decisions which are detrimental to their own lives.

6. Low IQs and EQs.

7. Poor health.

8. They are okay with drinking liquors and smoking ( both cigarettes and marijuana)

9. They are okay with drugs ( cocaine etc)

10. Life expectancy ( 40-45 years)

Mzazi chagua mwenyewe.

1. Mpeleke mtoto wako shule ya kayumba ajifunze uhalisia wa maisha kwa kuanza kuwa responsible kuanzia akiwa darasa la kwanza kama vile kufanya usafi shuleni, kujichanganya na watoto wenzake wengi aanze kupata changamoto mapema, kuadhibiwa na walimu anapokosea, kwenda na kurudi shuleni kwa miguu nk, (bado haitamzuia na athari za Generation Z but mzazi hutopata hasara mara mbili 1. Kulipa.mamilioni na mtoto kuathiriwa na gen z).

Au

2. Mlipie mamilioni akae sehemu ambayo anafanyiwa kila kitu (anapewa chakula, anapelekwa shule na gari na kurudishwa na gari, darasani anakuwa spoon fed, etc but mwisho wa siku upate hasara mara mbili (kulipa mamilioni + mtoto kuharibikiwa).
Acha ushamba na umaskini ucharaza ujinga hapo kumbe unajifariji mwanao anasoma kajamba nani darasa linawatoto 90 usiteseke wazazi wakipeleka watoto wao shule nzuri malezi hayafundishwi shuleni malezi ni kazi ya wazazi shule watafundishwa kuchangamana na jamii. Umaskini wako usifanye kila unaloshindwa ww basi na wengine washindwe
 
Kuna wengne tumezaliwa generelation z but tunajitambua hatupelekeshwi na hayo ulosema tumekulia kwenye mazingira ambayo yanakufundisha maisha automatically kwa waliolelewa na bibi zao hawawez pagawa kwa issues hizo ila uloyasema yana ukweli ndani kizazi hiki hakijitambui
 
Acha ushamba na umaskini ucharaza ujinga hapo kumbe unajifariji mwanao anasoma kajamba nani darasa linawatoto 90 usiteseke wazazi wakipeleka watoto wao shule nzuri malezi hayafundishwi shuleni malezi ni kazi ya wazazi shule watafundishwa kuchangamana na jamii. Umaskini wako usifanye kila unaloshindwa ww basi na wengine washindwe
Una uwezo mdogo wa kufikiri, endelea kula samaki.
 
Unatumia milioni 50 kumsomesha mtoto mpaka anamaliza chuo alafu akigraduate analipwa laki tatu. Huo si wehu huo?
Kiukweli jamani "Kila mtu na uwezo wake yaani mtu akiwa na pesa ni ngumu kusomesha mtoto wake saint kayumba hilo halipo kabisa",Hivyo cha muhimu nikuhakikisha malezi bora yanaanzia nyumbani na pia kufuatilia malezi ya shuleni kwa ukaribu ili kuokoa kizazi hiki kwa kweli for now it is very scary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heshima yako mkubwa.

First off I'd like to acknowledge that most of what you said is almost too correct, but what you've failed to point out is the influence millenials have in this mess.

Me ni Gen-Z pia na ninatambua kuwa sifa moja wapo ya mtu asiejielewa ni kulaumu watu wengine kwa matatizo yake mwenyewe lakini frankly speaking, makosa na matatizo yetu mengi yamesababishwa na millenials. As a matter of fact, kila kizazi kina mchango mkubwa katika kurithisha mabaya ama/na mazuri kwa kizazi kinachofuatia.

Nitajitahidi kujibu kwa mifano kwa kila point iliyopo kwenye orodha yako kama ifuatavyo;

1. Kuwa the so called "digital natives" and "netizens" has more pros than cons. Sidhani kama kuna haja ya kuziainisha faida za internet.

2. Yes, our behaviours and life styles are utterly influenced by celebrities but who is to blame? Kila mwanadamu anatamani kuishi vizuri, I stand to be corrected, na tunaowaona wakiishi vizuri ni hao celebrities. Najua wapo watu kutoka professions zingine wenye pesa na maisha mazuri zaidi ya celebrities na socialites lakini tunashindwa kuwa'idolize kwakua jitihada ya jamii kuwapa hadhi hiyo ni ndogo sana.

Nikiwasha TV content nyingi ni za celebrities na socialites ambao nawaona wamevaa wamependeza, wanaendesha magari mazuri, wanasafiri sana, kazi yao inawapa freedom ya kufanya biashara zingine, wanathaminiwa na jamii, yaani they are living the dream. Inaweza kuwa wana'fake lakini as long as the media only shows us the good sides, kwanini tusishawishike?

Nime'graduate last year na bachelor's degree yangu, nimefaulu vizuri, nina akili timamu, naongea lugha 3 fluently, yaani qualities zote kasoro working experience ila hata an internship vacancy sasa inakaribia mwaka napambana kutafuta ila sipati. Nimetulia ndani nashinda na kulala njaa ila namuona Baba Levo anajaza tu pages kwenye passport. Nafukuzwa kodi ninapokaa ila namuona Rayvanny yupo zake Dubai ana enjoy. Tell me why shouldn't I look up to them?

3. Homosexuality and all the other forms of modern sexual tendencies are not actually modern. Sexual deviance has been there for ages ila imekua amplified zaidi kwenye generation yetu and you're out here blaming us? In fact ukiangalia kiundani utagundua prominent figures wanao'lobby hii kitu ni Gen-X na millenials, Gen-Z are mere victims.

4. Suala ya Mungu naomba nisiliongelee kabisa mkuu, nisije kuibua hisia kali za wanajukwaa lakini binafsi imani yangu imeteteleka kwasababu ya mengi mno ambayo hayana uhusiano na third party yoyote.

5. Kuhusu bad decisions, everyone makes their own sio tu Gen-Z, it's part of being human. Ila ukija kwenye kizazi chetu, most of us make reckless decisions kutokana na umasikini brother. Nimeshawahi kukaa siku mbili na masaa matano (53 hours) nakunywa maji tu, maji tu bro. Sitaki hata kueleza all the nasty ideas I had that day.

6. Kuhusu IQ ya Gen-Z kuwa ndogo nadhani hapa umekua biased mkubwa. Nijuavyo, IQ ya mwanadamu ina'evolve with time kwahiyo kwa mantiki hii, umekosea.

Kuhusu EQ hapa naungana na wewe kabisa bila pingamizi. EQs zetu ziko chini na ndio maana matukio ya kujinyonga, kujiliza, kulalamika, kutukanana, kukata tamaa na mengineyo yamekuwa mengi tofauti na kipindi cha nyuma. Hata hivyo, yote haya yanatokana na ugumu wa maisha na mmomonyoko wa maadili ambao pia umechangiwa na nyie wa vizazi vya nyuma.

7. Kuhusu sisi kuwa na poor health sitaki kukubali wala kukataa kwakua sina elimu wala takwimu sahihi kuhusu hili ila nina mashaka sana na hili.

8. Kuhusu matumizi ya sigara, ulevi na madawa ya kulevya me nadhani hii inahusiana na mtu kukosa elimu ama kupuuzia tu na wala haina uhusiano na umri, period.

9. Life expectancy kuwa ndogo ni matokeo ya umasikini. Zitaainishwa sababu zingine zote ila lazima zita'lead kwenye umasikini. Tunashambuliwa sana jamani. Advancement ya science na technology imesababisha kwa kiasi chake pia.

Lakini katika hili naomba kuuliza, LIFE EXPECTANCY INAKADIRIWA KWA VIZAZI?

Ushauri wangu kwa wazazi: Jitahidi sana kuwekeza katika elimu ya mwanao. Katika dunia hii yenye ushindani mkubwa katika soko la ajira, andaa mazingira mazuri ya mwanao kuwa na vitu vya ziada kama vile kujuana na marafiki kutoka familia nzuri ambao wengi atawapata kwenye shule nzuri, kujua lugha na kuwa na uwezo wa kujieleza (nawajua wenzangu wengi wenye elimu ila wakiongea ni aibu), akutane na watoto wa rika lake wanaotoka kwenye familia nzuri ambayo hii itamsaidia ku'set higher standards na kupambana kuzifikia, miongoni mwa faida zingine nyingi.

HAKUNA TUZO YA MTESEKAJI BORA. MATESO NA MATATIZO ULIYOYAPITIA WEWE, MWANAO HATAKIWI KUYAPITIA. BINAFSI NAONA HII NDIYO MAANA YA KUWA MZAZI.
 
Bado tu hujamaliza hili mkuu, kwanini unaumia watu wakitumia hela zao na ambazo hujui wamezitafuta vipi??
Inatosha mwanao kusoma shule za kama so usi force tufanane. Mwisho wa yote hakuna atakae kuja kwako kuomba ada au hifazi siku mtoto akikwama
Mbona ameongea kwa kunyoosha maelezo vema kabisa labda kama umemuelewa kwa mtazamo wako. Ameongea kuwa watoto waliozaliwa kuanzia mwakan1997 mazingira wanayokulia yanakuwa influenced sana na mitandaoni na yanawatoa katika uhalisia wa maisha yetu ya kiafrika na kitanzania.

Sasa ili kuwalinda kashauri uchague wewe kama mzazi umpeleke shule za English medium ambapo atakutana na mazingira ya malezi ya mifumo ya kimagharibi au umpeleke shule za st kayumba ambapo atakutana na watoto wa kienyeji wenzake na walimu wa kienyeji ambao watamlea na kumkuza kwa muktadha wa mazingira ya hapa hapa afrika.
 
Ila mleta mada upo sahihi kabisa. Kizazi cha hili kundi si mabinti si vijana ni weupe sana kichwani aisee.

Yaani unaweza zungumza kwa kukemea ushoga unakuta wanabishana na wewe na kukushangaa kwann unaona mashoga watu wa ajabu mbona ni watu poa kabisa. Wanamalizia kwa kukwambia kila mtu ana haki ya kufanya mambo yake ili mradi havunji sheria.
 
Back
Top Bottom