Kulipa mamilioni kusomesha 'Generation Z' ni kama kucheza kamari!

Heshima yako mkubwa.

First off I'd like to acknowledge that most of what you said is about too correct, but what you've failed to point out is the influence millenials have in this mess.

Me ni Gen-Z pia na ninatambua kuwa sifa moja wapo ya mtu asiejielewa ni kulaumu watu wengine kwa matatizo yake mwenyewe lakini frankly speaking, makosa na matatizo yetu mengi yamesababishwa na millenials. As a matter of fact, kila kizazi kina mchango mkubwa katika kurithisha mabaya ama/na mazuri kwa kizazi kinachofuatia.

Nitajitahidi kujibu kwa mifano kwa kila point iliyopo kwenye orodha yako kama ifuatavyo;

1. Kuwa the so called "digital natives" and "netizens" has more pros than cons. Sidhani kama kuna haja ya kuzianisha faida za internet.

2. Yes, our behaviours and life styles are utterly influenced by celebrities but who is to blame? Kila mwanadamu anatamani kuishi vizuri, I stand to be corrected, na tunaowaona wakiishi vizuri ni hao celebrities. Najua wapo watu kutoka profession zingine wenye pesa na maisha mazuri zaidi ya celebrities na socialites lakini tunashindwa kuwa'idolize kwakua jitihada ya jamii kuwapa hadhi hiyo ni ndogo sana.

Nikiwasha TV content nyingi ni za celebrities na socialites ambao nawaona wamevaa wamependeza, wanaendesha magari mazuri, wanasafiri sana, kazi yao inawapa freedom ya kufanya biashara zingine, wanathaminiwa na jamii, yaani they are living the dream. Inaweza kuwa wana'fake lakini as long as the media only shows us the good sides, kwanini tusishawishike?

Nimegraduate last year na bachelor's degree yangu, nimefaulu vizuri, nina akili timamu, naongea lugha 3 fluently, yaani qualities zote kasoro working experience ila hata internship vacancies sasa inakaribia mwaka toka nihitimu napambana kutafuta ila sipati. Nimetulia ndani nalala njaa ghafla namuona Baba Levo anajaza pages kwenye passport tu. Nafukuzwa kodi ninapokaa mara namuona Rayvanny yupo zake Dubai ana enjoy. Tell me why shouldn't I look up to them?

3. Homosexuality and all the other forms of modern sexual tendencies are not actually modern. Sexual deviance has been there for ages ila inakua amplified zaidi kwenye generation yetu and you're out here blaming us? In fact ukiangalia kiundani utagundua prominent figures wanao'lobby hii kitu ni Gen-X na millenials, Gen-Z are mere victims.

4. Suala ya Mungu naomba nisiliongelee kabisa brother nisije kuibua hisia kali za wanajukwaa lakini binafsi imani yangu imeteteleka kwasababu ya mengi mno ambayo hayana uhusiano na third party yoyote.

5. Kuhusu bad decisions, everyone makes their own sio tu Gen-Z, it's part of being human. Ila ukija kwenye kizazi chetu, most of us make reckless decisions kutokana na umasikini brother. Nimeshawahi kukaa siku mbili na masaa matano (53 hours) nakunywa maji tu, maji tu bro. Sitaki hata kueleza all the nasty ideas I had that day.

6. Kuhusu kusema IQ ya Gen-Z kuwa ndogo nadhani hapa umekua biased mkubwa. Nijuavyo, IQ ya mwanadamu inakua with time kwahiyo kwa mantiki hii, umekosea.

Kuhusu EQ hapa naungana na wewe. EQs zetu ziko chini na ndio maana matukio ya kujinyonga, kujiliza, kulalamika, kutukanana, kukata tamaa na mengineyo yamekuwa mengi tofauti na kipindi cha nyuma. Hata hivyo, yote haya yanatokana na ugumu wa maisha na mmomonyoko wa maadili ambao pia umechangiwa na nyie wa vizazi vya nyuma.

7. Kuhusu sisi kuwa na poor health sitaki kukubali wala kukataa kwakua sina elimu wala takwimu sahihi kuhusu hili ila nina mashaka sana na hili.

8. Kuhusu matumizi ya sigara, ulevi na madawa ya kulevya me nadhani hii inahusiana na mtu kukosa elimu tu na wala haina uhusiano na umri, period.

9. Life expectancy kuwa ndogo ni matokeo ya umasikini. Zitaainishwa sababu zingine zote ila lazima zita'lead kwenye umasikini. Tunashambuliwa sana jamani. Advancement ya science na technology imesababisha kwa kiasi chake pia.

Lakini katika hili naomba kuuliza, LIFE EXPECTANCY INAKADIRIWA KWA VIZAZI?

Ushauri wangu kwa wazazi: Jitahidi sana kuwekeza katika elimu ya mwanao. Katika dunia hii yenye ushindani mkubwa katika soko la ajira, andaa mazingira mazuri ya mwanao kuwa na vitu vya ziada kama vile kujuana na marafiki kutoka familia nzuri ambao wengi atawapata kwenye shule nzuri, kujua lugha na kuwa na uwezo wa kujieleza (nawajua wenzangu wengi wenye elimu ila wakiongea ni aibu), akutane na watoto wa rika lake wanaotoka kwenye familia nzuri ambayo hii itamsaidia ku'set higher standards na kupambana kuzifikia, miongoni mwa faida zingine nyingi.

HAKUNA TUZO YA MTESEKAJI BORA, MATESO NA MATATIZO ULIYOYAPITIA WEWE MWANAO HATAKIWI KUYAPITIA. BINAFSI HII NDIYO MAANA YA KUWA MZAZI.

Upo sahihi kwa kiasi kikubwa sana mdogo wangu. Nimependa sana unavyo jenga hoja. Ni generation z wachache sana ambao wanaweza kuwa na uwezo wa kujielezea kwa hekima wewe.

Itoshe kusema kwamba wewe ni Great Thinker.

Maxence Melo Muangalie huyu kijana ana kitu ndani yake.

Nakubaliana na hoja zako kwa kiasi kikubwa but kuna maeneo machache kuhusu hoja zako nataka kuyatolea ufafanuzi kidogo.

9. Sababu nyingine ya Life expectancy kuwa chini miongoni wa Genetation Z ni pamoja na poor life style kama vile ulevi, ngono zembe, utumiaji wa mihadarati n.k.

8. Life style ya Generation Z ipo heavily influenced with celebrities life style . Some of them are just smoking and drinking because they have learnt that their favourite celebrities are smoking and or drinking . Mfano Konde Boy etc. They think it is okay to smoke and drink kwa sababu favourite celebrity wao ana drink na ku smoke.

7. Poor health ni kwa sababu ya poor life style.( pia hapa sio tu kuwa blame generation z kwa sababu kama nilivyo sema kwenye bandiko langu awali life style ya Generation Z imekuwa programmed. So poor health inasababishwa pia na mambo mengine kama vile aina ya vyakula mfano G.M.Os na gadgets etc.

5.upo sahihi kabisa u guys are very reckless. Ur lives are moving in the direction of " I don't give a https://jamii.app/JFUserGuide" mentality.

3. Upo sahihi kabisa homosexuality ipo tangu Zamani lakini u guys tend to be more tolerant towards it.

Miaka ya 2000 mwanzoni vijana tulitoka Kinondoni kwenda Temeke kutafuta mademu sasa hivi unasoma mitandaoni vijana wa Gen z anajitangaza mtandaoni wanatafuta mabwana.

Kuna mtu mmoja alikuwa anasema kwa utani siku moja kwamba huu mmomonyoko wa maadili among Generation Z ni laana ya wazazi wa kizazi cha miaka ya sabini, themanini hadi tisini mwanzoni. Wazazi wetu walikuwa wanatuambia ; 1. Msivute bongi, tukawa hatusikii now Generation Z mnavuta unga. Wakatuambia acheni zinaa . Msifanye sex kabla ya ndoa( uhuni na umalaya)hatukuwasikia now Gen Z ni ushoga na usagaji. Msisikilize muziki wa Rap hatukuwasikia now Gen Z mnasikiliza Singeli na Amapiano.

Akasema laana ya Gen Z watoto wenu watakuwa wanauana kwa Risasi kama South Africa au Marekani... na nyie mtakuwa mnalalamika kwanini watoto wenu wanauana kwa sababu za ovyo
 
Kuna wengne tumezaliwa generelation z but tunajitambua hatupelekeshwi na hayo ulosema tumekulia kwenye mazingira ambayo yanakufundisha maisha automatically kwa waliolelewa na bibi zao hawawez pagawa kwa issues hizo ila uloyasema yana ukweli ndani kizazi hiki hakijitambui
Hongera
 
Ila mleta mada upo sahihi kabisa. Kizazi cha hili kundi si mabinti si vijana ni weupe sana kichwani aisee.

Yaani unaweza zungumza kwa kukemea ushoga unakuta wanabishana na wewe na kukushangaa kwann unaona mashoga watu wa ajabu mbona ni watu poa kabisa. Wanamalizia kwa kukwambia kila mtu ana haki ya kufanya mambo yake ili mradi havunji sheria.
Ni kweli kabisa mkuu. So disgusting
 
Mbona ameongea kwa kunyoosha maelezo vema kabisa labda kama umemuelewa kwa mtazamo wako. Ameongea kuwa watoto waliozaliwa kuanzia mwakan1997 mazingira wanayokulia yanakuwa influenced sana na mitandaoni na yanawatoa katika uhalisia wa maisha yetu ya kiafrika na kitanzania.

Sasa ili kuwalinda kashauri uchague wewe kama mzazi umpeleke shule za English medium ambapo atakutana na mazingira ya malezi ya mifumo ya kimagharibi au umpeleke shule za st kayumba ambapo atakutana na watoto wa kienyeji wenzake na walimu wa kienyeji ambao watamlea na kumkuza kwa muktadha wa mazingira ya hapa hapa afrika.
Nakazia
 
Heshima yako mkubwa.

First off I'd like to acknowledge that most of what you said is about too correct, but what you've failed to point out is the influence millenials have in this mess.

Me ni Gen-Z pia na ninatambua kuwa sifa moja wapo ya mtu asiejielewa ni kulaumu watu wengine kwa matatizo yake mwenyewe lakini frankly speaking, makosa na matatizo yetu mengi yamesababishwa na millenials. As a matter of fact, kila kizazi kina mchango mkubwa katika kurithisha mabaya ama/na mazuri kwa kizazi kinachofuatia.

Nitajitahidi kujibu kwa mifano kwa kila point iliyopo kwenye orodha yako kama ifuatavyo;

1. Kuwa the so called "digital natives" and "netizens" has more pros than cons. Sidhani kama kuna haja ya kuzianisha faida za internet.

2. Yes, our behaviours and life styles are utterly influenced by celebrities but who is to blame? Kila mwanadamu anatamani kuishi vizuri, I stand to be corrected, na tunaowaona wakiishi vizuri ni hao celebrities. Najua wapo watu kutoka profession zingine wenye pesa na maisha mazuri zaidi ya celebrities na socialites lakini tunashindwa kuwa'idolize kwakua jitihada ya jamii kuwapa hadhi hiyo ni ndogo sana.

Nikiwasha TV content nyingi ni za celebrities na socialites ambao nawaona wamevaa wamependeza, wanaendesha magari mazuri, wanasafiri sana, kazi yao inawapa freedom ya kufanya biashara zingine, wanathaminiwa na jamii, yaani they are living the dream. Inaweza kuwa wana'fake lakini as long as the media only shows us the good sides, kwanini tusishawishike?

Nimegraduate last year na bachelor's degree yangu, nimefaulu vizuri, nina akili timamu, naongea lugha 3 fluently, yaani qualities zote kasoro working experience ila hata internship vacancies sasa inakaribia mwaka toka nihitimu napambana kutafuta ila sipati. Nimetulia ndani nalala njaa ghafla namuona Baba Levo anajaza pages kwenye passport tu. Nafukuzwa kodi ninapokaa mara namuona Rayvanny yupo zake Dubai ana enjoy. Tell me why shouldn't I look up to them?

3. Homosexuality and all the other forms of modern sexual tendencies are not actually modern. Sexual deviance has been there for ages ila inakua amplified zaidi kwenye generation yetu and you're out here blaming us? In fact ukiangalia kiundani utagundua prominent figures wanao'lobby hii kitu ni Gen-X na millenials, Gen-Z are mere victims.

4. Suala ya Mungu naomba nisiliongelee kabisa brother nisije kuibua hisia kali za wanajukwaa lakini binafsi imani yangu imeteteleka kwasababu ya mengi mno ambayo hayana uhusiano na third party yoyote.

5. Kuhusu bad decisions, everyone makes their own sio tu Gen-Z, it's part of being human. Ila ukija kwenye kizazi chetu, most of us make reckless decisions kutokana na umasikini brother. Nimeshawahi kukaa siku mbili na masaa matano (53 hours) nakunywa maji tu, maji tu bro. Sitaki hata kueleza all the nasty ideas I had that day.

6. Kuhusu kusema IQ ya Gen-Z kuwa ndogo nadhani hapa umekua biased mkubwa. Nijuavyo, IQ ya mwanadamu inakua with time kwahiyo kwa mantiki hii, umekosea.

Kuhusu EQ hapa naungana na wewe. EQs zetu ziko chini na ndio maana matukio ya kujinyonga, kujiliza, kulalamika, kutukanana, kukata tamaa na mengineyo yamekuwa mengi tofauti na kipindi cha nyuma. Hata hivyo, yote haya yanatokana na ugumu wa maisha na mmomonyoko wa maadili ambao pia umechangiwa na nyie wa vizazi vya nyuma.

7. Kuhusu sisi kuwa na poor health sitaki kukubali wala kukataa kwakua sina elimu wala takwimu sahihi kuhusu hili ila nina mashaka sana na hili.

8. Kuhusu matumizi ya sigara, ulevi na madawa ya kulevya me nadhani hii inahusiana na mtu kukosa elimu tu na wala haina uhusiano na umri, period.

9. Life expectancy kuwa ndogo ni matokeo ya umasikini. Zitaainishwa sababu zingine zote ila lazima zita'lead kwenye umasikini. Tunashambuliwa sana jamani. Advancement ya science na technology imesababisha kwa kiasi chake pia.

Lakini katika hili naomba kuuliza, LIFE EXPECTANCY INAKADIRIWA KWA VIZAZI?

Ushauri wangu kwa wazazi: Jitahidi sana kuwekeza katika elimu ya mwanao. Katika dunia hii yenye ushindani mkubwa katika soko la ajira, andaa mazingira mazuri ya mwanao kuwa na vitu vya ziada kama vile kujuana na marafiki kutoka familia nzuri ambao wengi atawapata kwenye shule nzuri, kujua lugha na kuwa na uwezo wa kujieleza (nawajua wenzangu wengi wenye elimu ila wakiongea ni aibu), akutane na watoto wa rika lake wanaotoka kwenye familia nzuri ambayo hii itamsaidia ku'set higher standards na kupambana kuzifikia, miongoni mwa faida zingine nyingi.

HAKUNA TUZO YA MTESEKAJI BORA, MATESO NA MATATIZO ULIYOYAPITIA WEWE MWANAO HATAKIWI KUYAPITIA. BINAFSI NAONA HII NDIYO MAANA YA KUWA MZAZI.
Umejitahidi kujitetea kwa niaba ya Gen Z
 
Kizazi kitakachofuata baada ya Generation Z kitaitwa Generation Alpha
Tupo Generation Alpha inayoishia 2025 (2010-2025) hawa ndio balaa ya wote hao Generation Z wakasome

Alafu kuna Generation Beta 2025-2039 hawa wameprogramiwa wote wawe mashoga na wasagaji kuanzia wakiwa tumboni mwa mama zao

Yaan wameplan ikiwezekana wabuni mradi wamama wanyweshe vidonge vya kuwafanya watoto mashoga (unajua unameza vidonge kuzuia mimba kumbe unatengeneza mazingira ya kuzaa shoga) au wapigwe sindano za kuwafanya watoto wote wa kiume wawe mashoga hiki kizazi Generation Beta ni balaa
 
Tupo Generation Alpha inayoishia 2025 (2010-2025) hawa ndio balaa ya wote hao Generation Z wakasome

Alafu kuna Generation Beta 2025-2039 hawa wameprogramiwa wote wawe mashoga na wasagaji kuanzia wakiwa tumboni mwa mama zao

Yaan wameplan ikiwezekana wabuni mradi wamama wanyweshe vidonge vya kuwafanya watoto mashoga au wapigwe sindano za kuwafanya watoto wote wa kiume wawe mashoga hiki kizazi Generation Beta ni balaa
Ni hatari sana mkuu
 
Kinaitwa New age movement.wazee wa suti wamefaulu kutengeneza watu bandia kizazi robot kisichokuwa na ubunifu wowote
 
Heshima yako mkubwa.

First off I'd like to acknowledge that most of what you said is about too correct, but what you've failed to point out is the influence millenials have in this mess.

Me ni Gen-Z pia na ninatambua kuwa sifa moja wapo ya mtu asiejielewa ni kulaumu watu wengine kwa matatizo yake mwenyewe lakini frankly speaking, makosa na matatizo yetu mengi yamesababishwa na millenials. As a matter of fact, kila kizazi kina mchango mkubwa katika kurithisha mabaya ama/na mazuri kwa kizazi kinachofuatia.

Nitajitahidi kujibu kwa mifano kwa kila point iliyopo kwenye orodha yako kama ifuatavyo;

1. Kuwa the so called "digital natives" and "netizens" has more pros than cons. Sidhani kama kuna haja ya kuzianisha faida za internet.

2. Yes, our behaviours and life styles are utterly influenced by celebrities but who is to blame? Kila mwanadamu anatamani kuishi vizuri, I stand to be corrected, na tunaowaona wakiishi vizuri ni hao celebrities. Najua wapo watu kutoka profession zingine wenye pesa na maisha mazuri zaidi ya celebrities na socialites lakini tunashindwa kuwa'idolize kwakua jitihada ya jamii kuwapa hadhi hiyo ni ndogo sana.

Nikiwasha TV content nyingi ni za celebrities na socialites ambao nawaona wamevaa wamependeza, wanaendesha magari mazuri, wanasafiri sana, kazi yao inawapa freedom ya kufanya biashara zingine, wanathaminiwa na jamii, yaani they are living the dream. Inaweza kuwa wana'fake lakini as long as the media only shows us the good sides, kwanini tusishawishike?

Nimegraduate last year na bachelor's degree yangu, nimefaulu vizuri, nina akili timamu, naongea lugha 3 fluently, yaani qualities zote kasoro working experience ila hata internship vacancies sasa inakaribia mwaka toka nihitimu napambana kutafuta ila sipati. Nimetulia ndani nalala njaa ghafla namuona Baba Levo anajaza pages kwenye passport tu. Nafukuzwa kodi ninapokaa mara namuona Rayvanny yupo zake Dubai ana enjoy. Tell me why shouldn't I look up to them?

3. Homosexuality and all the other forms of modern sexual tendencies are not actually modern. Sexual deviance has been there for ages ila inakua amplified zaidi kwenye generation yetu and you're out here blaming us? In fact ukiangalia kiundani utagundua prominent figures wanao'lobby hii kitu ni Gen-X na millenials, Gen-Z are mere victims.

4. Suala ya Mungu naomba nisiliongelee kabisa brother nisije kuibua hisia kali za wanajukwaa lakini binafsi imani yangu imeteteleka kwasababu ya mengi mno ambayo hayana uhusiano na third party yoyote.

5. Kuhusu bad decisions, everyone makes their own sio tu Gen-Z, it's part of being human. Ila ukija kwenye kizazi chetu, most of us make reckless decisions kutokana na umasikini brother. Nimeshawahi kukaa siku mbili na masaa matano (53 hours) nakunywa maji tu, maji tu bro. Sitaki hata kueleza all the nasty ideas I had that day.

6. Kuhusu kusema IQ ya Gen-Z kuwa ndogo nadhani hapa umekua biased mkubwa. Nijuavyo, IQ ya mwanadamu inakua with time kwahiyo kwa mantiki hii, umekosea.

Kuhusu EQ hapa naungana na wewe. EQs zetu ziko chini na ndio maana matukio ya kujinyonga, kujiliza, kulalamika, kutukanana, kukata tamaa na mengineyo yamekuwa mengi tofauti na kipindi cha nyuma. Hata hivyo, yote haya yanatokana na ugumu wa maisha na mmomonyoko wa maadili ambao pia umechangiwa na nyie wa vizazi vya nyuma.

7. Kuhusu sisi kuwa na poor health sitaki kukubali wala kukataa kwakua sina elimu wala takwimu sahihi kuhusu hili ila nina mashaka sana na hili.

8. Kuhusu matumizi ya sigara, ulevi na madawa ya kulevya me nadhani hii inahusiana na mtu kukosa elimu tu na wala haina uhusiano na umri, period.

9. Life expectancy kuwa ndogo ni matokeo ya umasikini. Zitaainishwa sababu zingine zote ila lazima zita'lead kwenye umasikini. Tunashambuliwa sana jamani. Advancement ya science na technology imesababisha kwa kiasi chake pia.

Lakini katika hili naomba kuuliza, LIFE EXPECTANCY INAKADIRIWA KWA VIZAZI?

Ushauri wangu kwa wazazi: Jitahidi sana kuwekeza katika elimu ya mwanao. Katika dunia hii yenye ushindani mkubwa katika soko la ajira, andaa mazingira mazuri ya mwanao kuwa na vitu vya ziada kama vile kujuana na marafiki kutoka familia nzuri ambao wengi atawapata kwenye shule nzuri, kujua lugha na kuwa na uwezo wa kujieleza (nawajua wenzangu wengi wenye elimu ila wakiongea ni aibu), akutane na watoto wa rika lake wanaotoka kwenye familia nzuri ambayo hii itamsaidia ku'set higher standards na kupambana kuzifikia, miongoni mwa faida zingine nyingi.

HAKUNA TUZO YA MTESEKAJI BORA, MATESO NA MATATIZO ULIYOYAPITIA WEWE MWANAO HATAKIWI KUYAPITIA. BINAFSI NAONA HII NDIYO MAANA YA KUWA MZAZI.
Wewe generation Z, uko na akili kuwazidi wenzio wengi.

It's a simple fact, kila kizazi kinachofuatia ni matokeo ya vizazi vilivyopita. Generation Z wanaendeleza yale waliyokuta Millenials na generation X wanafanya.
 
Back
Top Bottom