Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

utapata picha vizuri baada ya Collabo ya Dai Na psquare kutoka bila KusahU ile Video ya diamond Ft iyanya ambayo ipo tu inasubiria muda wake wa kwenda mtv , Channel 0 na Trace

Wala sisi hatuna shida mkuu maana nyie si mpo international zaidi, lakini jinsi dunia ilivyo ya ajabu hizo video zenu mtuletee tena mwakani kwenye tuzo muone jinsi tutakavyowapiga justly kwa video moja tu ya cheketua wala hatunaga mambo mengi.

Mfano si umeona jinsi kawimbo kamoja ka mwana kalivyowachapa bakora na nyimbo zenu zote kuanzia ule mchiriku, collabo la iyanya ile bum bum ambapo kwenye verse nzima ya domo jamaa alisikika akitaja neno moja tu "Michael Jackson tact",
 

Le promo continues....mpaka stand tutaweka mabango.
 
kichapo ch zile mok zake za karume au nn?

Sawa nyie si mnavaa laba za kimarekani, sisi tunavaa za karume na ndizo tulizowachapia kwenye tuzo za,watu na tutaenda kuwachapia kwenye KTMA hahahhaha
 
Huyu naeeeeeee....aghrrrrrr...
Yani wema kila siku kaz kumtaja dai. Bila hvyo hana amani..

Any way its makombo plus plus...
 

Aisee kumbe kiba alianza mwanzo mziki? Duh inachekesha kaja dogo kampita kimafanikio? Huyu kiba si ndo alojiita mfalme na kuanza bifu? Huyu kiba c aliwakuta mwanzo wema na jokate? Ehehehe umemskia ray wa bongo movie? Bila ya kanumba hawezi kwenda, nyota yake imekufa NI KAMA ALIKIBA NYOTA YAKE ANAYO DIAMOND. Najua utapinga ila bila ya diamond sasa ali kiba ni mwanamziki wa kawaida km alivokuwa na anaendelea kuwa hivyi
 
Sawa nyie si mnavaa laba za kimarekani, sisi tunavaa za karume na ndizo tulizowachapia kwenye tuzo za,watu na tutaenda kuwachapia kwenye KTMA hahahhaha

nimeputwa ila mara ya mwisho alikiba si alijitoa KMTA? Nijuzeni amerud tena?
 
Kuna vitu hapa mnashindwa kuelewana!!! Mbona mnalazimisha lifestyle ya mtu!!! Hivi kiba ashawahi kuporomoka kwenye mziki?? Kumbukeni enzi za akina mr nice,nature,daz baba na akina muumini mwinjuma, kiba alikuwepo,na leo kaibuka huyu domo!!! Ambaye katumia mbinu zote kuwa hapo alipo,sio kwamba atabaki milele!! Kuna mwingne anajiandaa pia!!! Ila kiba baba lao
 
Well, kiba hatapaki kuwa kiba na dai hatapaki kuwa dai. hii game ya bongo fleva sasa ni ya kiba vs dangote kwa kitu chochote kile akifanya kiba au dai lazima kipewe mainstream kubwa sana kwenye media.Mashabiki nao wanapromote.NB: Kiba hakumuomba wema msamaha yy alim2mia picha na wema akasema fresh so ww mtoa post umekosea
 
Diamond anabahatisha kila kitu coz hajui akae upande upi!! Alianzia kuchana,akaja bongoflava zile,mara kwaito,mnanda,taarabu,mwisho wa siku itakuwa daimondo vs bony mwaitege!!! Hahaha
 
Kuwa na kipaji ni jambo moja na kutambua kama unakipaji na kukitumia kipaji chako kujiletea mafanikio nijambo lengine. Ali kiba na diamond wote wana vipaji vya hali ya juu. Ila tatizo ali kiba hajitambui na ameshindwa kutumia fursa alizo pata mwanzo. Ili afanikiwe kama mwenzake 1 aache kuishi nyuma ya kivuli cha diamond 2 atafute management team itakayofanya kazi ya kumpromote na kusimamia kazi zake vizur 3 atengeneze jina lake liwe brand hii itamsaidia kupata show za fedha nyingi kama diamond 4 aongeze juhudi binafsi na ubunifu katika kazi zake asitegemee kipaji tu coz kipaji bila jitihada sawa na bure utabakia kulalamika dogo kakuacha vp. Ni mtazamo tuu msikae na majungu fikirieni njia bora ya kumsaidia msanii wenu anaependwa zaidi ijapokua sina hakika kama anapendwa zaidi.
 

Una uhakika gani kama alikiba analipwa fedha kidogo?? Ushawah kuona au kusikia kuwa bila milion kadhaa hafanyi au anafanya show!!! Na je huyo domo una uhakika kuwa kila show analipwa kama anavotangaza!!! Kiba anafanya mziki hatangazi maisha yake tofauti na muziki
 

Eti baba lao!!halafu FA na AY,PROFESA J na JIDE wasemeje???!hatulazimishi lifestyle ya kiba iwe vipi ila tunataka Muache kuudanganya umma na kulazimisha diamond asikubalike!

Sisi wote humu ndani tulikuwa fans wa KIBA!Wakati huo Diamond hatumjui!kiba mwenyewe kwa matakwa yake alikaa chini kwa muda mrefu!!akaibuka na collabo za kuwatoa Underground kina PRINCE SESEME,Na kumwinua mdogo wake ABDU,ALLY akapotea kwa mapenzi yake huku watu wakimuhitaji!!

Narudia tena kusema mziki ni wakati!!wakati wako ukishapita umepita!usikatae kwamba eti Ally hajaporomoka kimuziki unakosea!

Kutoka kufanya collabo ya kidunia ya ONE8 na Kina R-KELLY Mpaka leo hii kuomba Wema amuombee kura ili ashinde!!hili ni ANGUKO la aibu!!!
 
Diamond anabahatisha kila kitu coz hajui akae upande upi!! Alianzia kuchana,akaja bongoflava zile,mara kwaito,mnanda,taarabu,mwisho wa siku itakuwa daimondo vs bony mwaitege!!! Hahaha

Unachekesha kuandika eti anabahatisha, na bado unazisikiliza. Hii tabia yenu ya kuponda wakati mnajua ukweli ndio mnajilipua

sasa umemwandika Diamond vizuri unajua hadi leo anapaa, umeshindwa nini kuandika ya kiba hivi hivi kusifia?

Kila mtu anauwezo wa kupaa akitaka kama amepangiwa na Mungu itakuwa.
 
kusoma haujui hata picha hauoni kwahiyo mnataka kutuaminisha kiba analipwa fedha nyingi kuliko diamond acha kutudanganya. mtakubali tu nisuala la muda tu. # deejay nasmile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…