Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Hahahahahah Kiba atajutra kufanya deal na chizi.
Le Promo continues....more votes for Kiba puliiiiiizz!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah Kiba atajutra kufanya deal na chizi.
Mkuu unafaa kuwa professor ameshaelewa tayari sema atahamiaje kule si ataonekana msaliti?
utapata picha vizuri baada ya Collabo ya Dai Na psquare kutoka bila KusahU ile Video ya diamond Ft iyanya ambayo ipo tu inasubiria muda wake wa kwenda mtv , Channel 0 na Trace
Wema kweli kamuumbua kwa kweli, sijui kwanini hakumezea. Ila kama haujapangiwa kung'aa kimwenyewe ndio haya yanakuja labda angelipia tangazo tusingejua. Imebidi nicheke
JF haiachagi kunifurahisha kuna usernames zikijisimamia lazima zingine zisepe kwa kila kisingizio.
Tupo utaona kama mtapata hata 3. Usidhani record aliyoweka diamond kuchukua 7 ilikua kazi rahisi hivo
kichapo ch zile mok zake za karume au nn?
Le promo continues....mpaka stand tutaweka mabango.
Sawa nyie si mnavaa laba za kimarekani, sisi tunavaa za karume na ndizo tulizowachapia kwenye tuzo za,watu na tutaenda kuwachapia kwenye KTMA hahahhaha
Wewe acha kumuwekea Ali k maneno wewe unaongozwa mno na hisia badala ya Ku reason.
Na leta hizo evidence za kiba kushindana na huyo domo wake maana Kiba kaanza mziki kabla ya domo kwahyo asifanye mziki kisa aoge kuambiwa anashindana na domo? That's really nonsense and poor argument kabisa. Think out of box hata kama unampenda huyo domo wengine wasifanye mziki kisa domo.
Biashara ni biashara tu kwani ni wapi palipoandikwa alipopitia domo wengine hawaruhusiwi kupita hahaaaaa acheni kuchekesha nyie. Loh its a free country mwacheni kiba afanye yake mbona akina Wema na Jokate wana watu marafiki wengne , kwahyo wasiwe marafiki kwa kua domo kapita. Hyo sababu ni very low and it doesn't make sense.
Sasa kama si level ya diamond mnahangaika naye nini yeye anafanya yake nyie ndo mnajisumbua kuhangaika naye.
Sawa nyie si mnavaa laba za kimarekani, sisi tunavaa za karume na ndizo tulizowachapia kwenye tuzo za,watu na tutaenda kuwachapia kwenye KTMA hahahhaha
Hahahahaha ila mwisho wa cku Kiba kachemka
Kuwa na kipaji ni jambo moja na kutambua kama unakipaji na kukitumia kipaji chako kujiletea mafanikio nijambo lengine. Ali kiba na diamond wote wana vipaji vya hali ya juu. Ila tatizo ali kiba hajitambui na ameshindwa kutumia fursa alizo pata mwanzo. Ili afanikiwe kama mwenzake 1 aache kuishi nyuma ya kivuli cha diamond 2 atafute management team itakayofanya kazi ya kumpromote na kusimamia kazi zake vizur 3 atengeneze jina lake liwe brand hii itamsaidia kupata show za fedha nyingi kama diamond 4 aongeze juhudi binafsi na ubunifu katika kazi zake asitegemee kipaji tu coz kipaji bila jitihada sawa na bure utabakia kulalamika dogo kakuacha vp. Ni mtazamo tuu msikae na majungu fikirieni njia bora ya kumsaidia msanii wenu anaependwa zaidi ijapokua sina hakika kama anapendwa zaidi.
Kuna vitu hapa mnashindwa kuelewana!!! Mbona mnalazimisha lifestyle ya mtu!!! Hivi kiba ashawahi kuporomoka kwenye mziki?? Kumbukeni enzi za akina mr nice,nature,daz baba na akina muumini mwinjuma, kiba alikuwepo,na leo kaibuka huyu domo!!! Ambaye katumia mbinu zote kuwa hapo alipo,sio kwamba atabaki milele!! Kuna mwingne anajiandaa pia!!! Ila kiba baba lao
Diamond anabahatisha kila kitu coz hajui akae upande upi!! Alianzia kuchana,akaja bongoflava zile,mara kwaito,mnanda,taarabu,mwisho wa siku itakuwa daimondo vs bony mwaitege!!! Hahaha