Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Enyi, munaojiigiza mashabiki wa Kiba hoja iliopo mbele yetu ni KIBA KAMUOMBA MSAADA WEMA ILI APAMBANE NA DIAMOND ina maana kwamba Kiba kawadharau nyinyi mashabiki wake munaosema kwamba yeye anasauti nzuri lakini kwa tendo lake hili AMEONA YEYE HAWEZI KUSIMAMA NA DIAMOND KWA LOLOTE
 

Wema, penny na kidoti ndio mafanikio ya diamond, si unaona anavyopiga pua mwaka huu?? Na bado atatumbuiza under age tu hahahhaha kwa kiingilio cha buku tano
 
Nyie bishaneni humuuuu? Ila huko kwwenye real life, dai na kiba wakiwa.jukwaa moja, dai lazima akimbie hahaahahaha chezea kupendwa wewe
 

Wewe mburula sana kila msanii lazima ajikampenie, ni sawa na.kina lina walivyotumia clouds na yeye kaona wema ni channel nzuri, why not!! Mbona dai alikuwa akikampeniwa na jestina blog hahahhahah mwisho wa siku nani kala tuzo??
 

Domo mwaka jana alimtumia sana wema kumuombea tuzo za channel o, hahahhaha na.akafanikiwa, why not kiba, kila mtu anajikampenia kwa namna tofauti kama domo alivyokuwa akikampeniwa mwaka jana hahahahha, kwa nini inawauma sana kiba akikampeniwa hahahahahha wema weka na za ktma bebe tubebe tuzo
 
Nakwambia wamerudi walikotoka!Kutoka kufanya collabo na R-kelly mpaka kuomba kura kwa Wema!sasa hivi wanafurahia kiba kufanya kazi na Bella,huku wakipinga anguko lake!

FROM HERO TO ZIRO!

Tuzo moja watu wamepagawaaaaa hareeeeee
 
Kisasi ni cha Wema kuachana na Diamond na Diamond kuendelea na maisha yake na Zari wala sio kisasi cha Wema kua fan wa Kiba!!!!

Angeendelea na maisha yake angeendelea kumtajataja kwen nyimbo?? Bila wema na davido, diamond ni nothing, and he knows that
 

Kazi za kiba unazijua sana usijichetue binti hahhahah jaman campaign lazima why not??! Mwaka jana domo alitumia watu wengi kumkampenia ndo mana mashabiki mwaka huu wakamuuliza, domo mbona hatuoni matangazo baba??!! Hahhaha kiba rusha matangazo kwa chanzo chochote kile watu tujue code zako na tupige kura, tuzo moja inawapeleka mirembe hahahha! Laana ya davido inawatafuna, si mlifurahia tuzo za davido channel o nyinyi, sasa zamu yenu
 
hahaha hawa wanafurahisha kinoma.

Alaf video vipi? Au zile hela wezi waliyopita nazo kwenye uvamizi juzi kati ndio alikua anadunduliza?

Hatuna haraka na video mzee, si unaona audio tu inawapeleka puta??? Nyie hii hii audio inawatosha hahahahahha unataka tutoe video chapchap halafu zisipigwe trace kama ile taarab hahahahahah! Rahaaaaaa kiba kimbizaaa
 

alafu utawakuta wakijishauwa sasa tumepiga kuraa sisi ni familia,die hards funs, nawaangaliagaaaaaaa, naona kama nipo pale mirembe kwenye ward ya new admission ambao bado hawajaaza dozi,kuchamba kwiiiingi mwishowe ni unatoka na ma..vi, kila kukicha kujiongeleshaa, pumba tupuuuu hakuna support yoyote wanayotoa kwa matonya wao mpaka, king kabwela wa watu akajionea hapa mtoto wa kiume naumbuka, mbona toka nimekuja na zile mbwembwe za kufuta vumbi sioni dalili ya kutoboa, ikabidi ajiongeze akaona hawa wanaojesebedua kwa kujiita die hard funs hawana lolote sasa nifanyeje, jibu likawa moja tuuuu, ngoja nikopy na kupaste mbinu za RAIS, nyambafuuuuuu unaleta jeuri mbele ya le presidaaaa????? hahahahahahahahaaa NI LAZIMA UFUATE NYAYO ZAKEEEEEEEE AND YEEEEEESSSSS U DID IT, nyonyonyoooo eti kiba anakipaji, embu mwelezeni apeleke kipaji chake BSS huku dunia ni kaziii tuu ndio inayowaweka wanaume mjini.
 
na ifike mahali watu wajue kutofautisha kati ya milango na madirisha! unaweza kumcompare kiba na DAIMOND kweli??? hilo kahaba nalo ni halina kazi, lina hamu leo kesho lilirudiwe na DAIMOND, MWENZIE NDIYE YULEEEEEEEEE!

Ofcourse mondi hawezi mrudia wema kwa sababu yuko na kahaba international now,, zarina
 

Haaaaaaaaaa haaaaa umeua
 

Nyota ya diamond, anayo wema na davido mkuu, manyimbo yote saiv anatoa yanadoda tu, hahahaha apige tu matamasha mana tuzo.hamna tena
 
Nyota ya diamond, anayo wema na davido mkuu, manyimbo yote saiv anatoa yanadoda tu, hahahaha apige tu matamasha mana tuzo.hamna tena

Utasemaje nyimbo anazotoa zinadoda wakati ntampata wapi imeshika sana chat kwenye vituo vyakimataifa. Ndo shida za kuangalia tu clouds tv EA mlimani tbc
 

Technically mnakubali kuwa nassib alikua anatembelea nyota ya Wema sio?
Ndio maana mana Wema akasema nassib alizika beberu mzima mzima ili atembelee nyota ya Wema
So Wema kuombwa support imewakera sana ninyi?
Mbona mnakuwa wazandiki sana?
Afu mnaandika migazeti mireeefu mnajaza server tu....mnajiashua si kidogo.
 
Wema, penny na kidoti ndio mafanikio ya diamond, si unaona anavyopiga pua mwaka huu?? Na bado atatumbuiza under age tu hahahhaha kwa kiingilio cha buku tano

Exactly! Thats their point!
Na kwa sasa ukisema Zari ndio mafanikio ya Dai utakosea?
Etu wanasema Ali kiba anakomaa na wanawake wa WENZIE!
Absurd! Childish!
So Diamond alipopigiwa promo na team Wema kipindi kile it wasnt a big issue kabisa, ila now kwa vile ni Kiba imekuwa aibu?
Jamani unafiki ni gonjwa baya sana.
Inaonekana raisi anatetereka kwa kukosa mass support ya Wema Sepetu....na bado, mpaka anywe damu ya paka mwaka huu.
Nasema iviii, go kiiing! Hata ukijipa marketing kwa matangazo ya show zako insta watasema umegeza....
 

Inawauma kwa sababu wanajua wanampenda kwa midomo tu ila praxtically hawana time kupiga kura.Walizoea ukarimu wa mashemeji.
Kwani ni Wema na kidoti tu ndio walimsapoti Kiba?
Kweli walizoea nyota ya Wema hawa....mbona mimacho imewatoka kama wamebinywa mapu.mb.uu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…