nisaidie na wewe kushangaaaa, yeye si anasauti nzuri jamni si anakipaji jamni? yeye si hapendi show off jamni? yeye si hategemei wanawake kuwika jamni??? sasa ghafla mbona na yeye kaanza kutumia wanawake CHA AJABU KULIKO VYOOOOOTE ETI WANAWAKE WALE WALE AMBAO DIAMOND ALIKUWA ANASHUTUMIWA KUWA ANAWATUMIA ILI KUPAAA KIMZIKI, yaani this sound sooo weird aiseeee, alafu wasikilize thiz ze mbururaz wanavyoipoonza, NOW they dare to say hawaoni ubaya wema kumsupport kiba, but hapo kabla wakati dai akiwa na wema walikuwa hawakomi kumtukana dai kuwa anategemea kubebwa na wema, hivi ninyi team kiba hamuoni aibu mnavyojikaanga na mafuta yenu wenyewe kama dagaa wa kigoma tena kwa mambo ya wazi wazi kaa haya????? mtaacha lini kuropokwaaaaaa????? mliyokuwa mnamkejeli nayo dai si ndio haya anayofanya kiba sasa????? ptuuuuuuuuuu!!!! aibu gani hiiii!!????