chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Nyie ndo mumechemka. Leo mliokua mnayaita makombo ndo mnaanza kuyaomba msamaha kiujanja? Hahaaaa you better guys take a chill pill loh.Endeleeni kuhangaika na Kiba kwa sababu mnafanya mashindano eeeeh.
Hatuombi msamaha aiseee haiwezekani nlichokiona ni wema anajutia alichofanya yaaan kaumia afu ukizinhatia Kiba haku show any recommendations kwake too bad ajifunze kusema asante
Hongera zake Kiba ana mikakati hatari anajua kutumia fursa
Hata wewe unaruhusiwa kutumia fursa mana ndo capitalist tendencies. Hujanyimwa as long as huvunji sheria za nchi you can do it.
Hatuombi msamaha aiseee haiwezekani nlichokiona ni wema anajutia alichofanya yaaan kaumia afu ukizinhatia Kiba haku show any recommendations kwake too bad ajifunze kusema asante
Yaani amewachezea akili sana Wema!alingoja ashinde ndipo na yeye apate UJIKO wa kujitangaza zaidi!kwa maana nyingine anamaanisha kwamba bila yeye bongo hapa msanii hawiki!
Yaani Madame ameua Band kinyama!!
Awe anasema asante akishasaidiwa sasa
Awe anasema asante akishasaidiwa sasa
Hahaaaaa loh hamuombi msamaha wakati ndo mnaomba kiujanja ujanja kwa kutumia visingizio. Timu mond mna mambo aisee muombeni tu hadharani madame msamehe bila hvo ndimu zitawahusu mwaka huh. Si mulijifanya kumlambisha ndimu eeeh virse versa is true.
Rafiki hivi domo hana jina lingine.? Mbona wengine umewataja kwa majina yao why domo au ndo jina lake?
We ni nani kampangia cha kusema. Teh teh unaomba msamaha kiujanja eeeeh.
hahahahaha ni utaratibu kwa walostaarabika namkumbusha tu
Kajipatiaje maujiko sasa yaaan bila yeye Kiba si kitu teh teh teh madame ni noma
Tuambie nani mshindani wa Kiba au yeye anaenda tu bila dira maana dira ya mafanikio ni waliokuzidi.idawa unaandika mno hisia na ushabiki umejuaje kiba anashindana na huyo domo wenu.
Acha upofu Diva Kiba ndio anayeyatafuta mafanikio ya Diamond. Labda umuulize hana wasanii wengine wa kujipimia zaidi ya Diamond.Acheni kuwa vipofu kwani mwanamziki na Ali kiba tu anaimba.
Tuonyeshe kushuka kwa Diamond, au unatumia tuzo za juzi za wanaoonewa huruma.?Hahaaaa mnachekesha kweli msitafte mchawi wa mtu kushuka ni yeye mwenyewe.
Sawa Diamond atashuka ila sio kwa matakwa yenu.wacheni afanye yake kijana. Domo atashuka tu kwa wakati wake.
Subirini ashuke kwa wakati wake sio kwa kampeni zenu.Tatizo hamtaki kukubali daily visingizio mtu anataka kushushwa. Kama dola ya Rumi ilipotea Uingereza kupoteza uwezo wake kama nchi iliyowahi kuongoza uchumi duniani sembuse mtu. Mpeni mwenzenu mda afanye yake sio kumtaftia visingizio. Jifunzeni kukubali japo ukweli unauma loh!
Mbna bado wanazilamba tena kwa spid ya hatari wanatia huruma aiseee imebidi ajikoshe et ataesema mondi hajui mziki anamshangaaa
Kwani we ni nani umejuaje ka hawajaongea private. Hahaaaa mnifurahisha sana leo mlivoanza kushobokea Wema kiujanja ujanja aisee loh!
Mbna bado wanazilamba tena kwa spid ya hatari wanatia huruma aiseee imebidi ajikoshe et ataesema mondi hajui mziki anamshangaaa
Ye mwenyewe alijua bila hao asingeweza ndo maana akakikimbiza inbox kujipendekeza
Bora we umekubali promo ya Wema ilichangia sio uwezo wa Kiba binafsi