Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Nyie ndo mumechemka. Leo mliokua mnayaita makombo ndo mnaanza kuyaomba msamaha kiujanja? Hahaaaa you better guys take a chill pill loh.Endeleeni kuhangaika na Kiba kwa sababu mnafanya mashindano eeeeh.

Hatuombi msamaha aiseee haiwezekani nlichokiona ni wema anajutia alichofanya yaaan kaumia afu ukizinhatia Kiba haku show any recommendations kwake too bad ajifunze kusema asante
 
Hatuombi msamaha aiseee haiwezekani nlichokiona ni wema anajutia alichofanya yaaan kaumia afu ukizinhatia Kiba haku show any recommendations kwake too bad ajifunze kusema asante

Hahaaaaa loh hamuombi msamaha wakati ndo mnaomba kiujanja ujanja kwa kutumia visingizio. Timu mond mna mambo aisee muombeni tu hadharani madame msamehe bila hvo ndimu zitawahusu mwaka huh. Si mulijifanya kumlambisha ndimu eeeh virse versa is true.
 
hawa sasa inabidi wagawane mmoja apigie kampeni CCM mwingine UKAWA, halafu tuone nani atashinda octoba
 
Yaani amewachezea akili sana Wema!alingoja ashinde ndipo na yeye apate UJIKO wa kujitangaza zaidi!kwa maana nyingine anamaanisha kwamba bila yeye bongo hapa msanii hawiki!

Yaani Madame ameua Band kinyama!!

Kajipatiaje maujiko sasa yaaan bila yeye Kiba si kitu teh teh teh madame ni noma
 
Hahaaaaa loh hamuombi msamaha wakati ndo mnaomba kiujanja ujanja kwa kutumia visingizio. Timu mond mna mambo aisee muombeni tu hadharani madame msamehe bila hvo ndimu zitawahusu mwaka huh. Si mulijifanya kumlambisha ndimu eeeh virse versa is true.

Mbna bado wanazilamba tena kwa spid ya hatari wanatia huruma aiseee imebidi ajikoshe et ataesema mondi hajui mziki anamshangaaa
 
Kajipatiaje maujiko sasa yaaan bila yeye Kiba si kitu teh teh teh madame ni noma

Nakwambia tulichambwa ndani humu kwamba Naseeb anasafiria nyota ya Wema!kumbe na wao wanapita humo humo!

Watu wanamambo wallah tena!!khaa!yaani mpaka umuombe Wema akupe promo ndio ushinde???kwa maana nyingine ni kwamba Kiba Hajiamini licha ya kujaaliwa kipaji!!.
 
idawa unaandika mno hisia na ushabiki umejuaje kiba anashindana na huyo domo wenu.
Tuambie nani mshindani wa Kiba au yeye anaenda tu bila dira maana dira ya mafanikio ni waliokuzidi.

Acheni kuwa vipofu kwani mwanamziki na Ali kiba tu anaimba.
Acha upofu Diva Kiba ndio anayeyatafuta mafanikio ya Diamond. Labda umuulize hana wasanii wengine wa kujipimia zaidi ya Diamond.

Hahaaaa mnachekesha kweli msitafte mchawi wa mtu kushuka ni yeye mwenyewe.
Tuonyeshe kushuka kwa Diamond, au unatumia tuzo za juzi za wanaoonewa huruma.?

wacheni afanye yake kijana. Domo atashuka tu kwa wakati wake.
Sawa Diamond atashuka ila sio kwa matakwa yenu.

Tatizo hamtaki kukubali daily visingizio mtu anataka kushushwa. Kama dola ya Rumi ilipotea Uingereza kupoteza uwezo wake kama nchi iliyowahi kuongoza uchumi duniani sembuse mtu. Mpeni mwenzenu mda afanye yake sio kumtaftia visingizio. Jifunzeni kukubali japo ukweli unauma loh!
Subirini ashuke kwa wakati wake sio kwa kampeni zenu.
 
Last edited by a moderator:
Mbna bado wanazilamba tena kwa spid ya hatari wanatia huruma aiseee imebidi ajikoshe et ataesema mondi hajui mziki anamshangaaa

Loh! Nonsense aisee yani umeni quote umejibu out of content aisee ndo ndimu zimekuzidia nini? Endeleeni na CD ya chuki na kushushwa ndo mnaloweza tu. Visingizio havifai eeeeh. Ama kweli mkuki kwa nguruwe .....................
 
Kwani we ni nani umejuaje ka hawajaongea private. Hahaaaa mnifurahisha sana leo mlivoanza kushobokea Wema kiujanja ujanja aisee loh!

Asinge mblast ivo aisee mbona alikua tu kimya mdada wa watu mpaka hapo alipogundua Kiba hana shukrani.
 
Mbna bado wanazilamba tena kwa spid ya hatari wanatia huruma aiseee imebidi ajikoshe et ataesema mondi hajui mziki anamshangaaa

ahahaaaa!yaani kwa maana nyingine anamshangaa kiba na wasanii wengine wanaomponda chibu!yale yale niliyosema kwaba kuna watu mandumilakuwiri!Wema anang'ata huku anapuliza!
 
Ye mwenyewe alijua bila hao asingeweza ndo maana akakikimbiza inbox kujipendekeza

Bora we umekubali promo ya Wema ilichangia sio uwezo wa Kiba binafsi

Nyie kapigeni kura acheni longo longo ndo ishakuwa ivyo sasa hamtaki mnaacha....kiba ndo kiboko ya domo nani asiyejua...
Kiba anamfanya domo analala akiwa amesimama chezeiyaaaaaa
 
Back
Top Bottom