Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa


Amuulize Dimpoz hyo nyota imemsaidiaje mpaka leo
 
Nyie kapigeni kura acheni longo longo ndo ishakuwa ivyo sasa hamtaki mnaacha....kiba ndo kiboko ya domo nani asiyejua...
Kiba anamfanya domo analala akiwa amesimama chezeiyaaaaaa

Nyota ya mademe ni kali ngoja nae atumia labda atatoka nje ya darslam
 

Hapo sasa wanapita kabisa na kutaka kumshusha bora wangepita kimya kimya

Na kumbe na kwa mwanamke huyo nyota anayo aliyefungishiwa virago na mwenyewe kaamua kukubali sasa akiwa na majuto yamemjaaa kama kawa.

Tusubirie labda watasema karibuni lilioko nyuma ya pazia...labda walikua wana chati chati kama wale wa kuwa wapenzi mara tarehe ya kupiga kura sijui ndio imeyoyoma mtu akaacha kumsaka aliyemuomba msaada....hakuna chezea tapeli maishani....

kila kitu kinawezekana kwa binadamu kama hao full kutojielewa full drama.
 
Asinge mblast ivo aisee mbona alikua tu kimya mdada wa watu mpaka hapo alipogundua Kiba hana shukrani.

Nakwambia pale kwa kiba watu walibeba wakashindwa!!kama unakumbuka zamani kuna gazeti liliandika kuhusu dharau za ANAYEPENDWA!(te!teh!teh)

Hicho ndicho kikwazo kikubwa sana kwa Ally,dharau hata kwa aliyemsaidia kumpigia kampeni??
Wacha tuongee kwa kweli mpaka tuchoke!!
 

Pole sana mkuuu umeandika kwa huruma sana aisee. Ukiwa shabiki lazima uumie sana kwa umpendaye lakini sio sababu ya kukufanya usiweze Ku reason vizuri kwa kitu chenye uhalisi.
Na wewe mafanikio unayapima kwa kigezo gani labda? Na amezidi kwa lipi? Mana Kiba anafanya mziki wake kabla hata ya domo kuanza mziki wewe unayemsemea Ali kiba na mambo yake kuwa anashindana na jamaa ako umejuaje anashindana? Je amewahi kukutamkia hadharani kuwa yeye anafanya mziki kushindana?
Nabaki pale umejuaje kiba anajipima na Domo na kujipima naye. Kwani ni kiba tu anayefanya mziki nchi hii? Sioni mantiki hapo eti anashindana kwahyo unataka asifanye mziki kisa unampenda mond.
Hahaaaa hapo pa kushuka ndo hoja yake aliyesema mwenyewe watu wanataka kumshusha kwa nguvu kwa vile anaonewa wivu na watu wengi. Hata fans wake ndo wimbo wenu huo kua anataka kushushwa. Na mimi nikasema kila jambo na wakati wake na kipindi chake mda wake ukifika atachokwa tu ka wengine hata Michael Jackson alikua so hot enzi zake naye akapita tu. So hakuna cha kushangaa kikubwa ni kukubali tu na kuondoa wasi wasi na kutafta visingizio rahisi vya kushushwa.
 
Last edited by a moderator:

Yaani mpaka aibu!!
 

kiba habebeki hata kidogo ana dharau hatari na atabaki ivo ivo
 
Diva Sijui unajitoa ufahamu au unajifanyisha, hivi kwa akili ya kawaida kati Diamond na Kiba nani yuko juu kwa sasa.


Sawa mi ni shabiki Diamond na wewe ni nani wa Kiba.?

Tatizo mnadanganya Kiba kuwa msanii mkubwa kwa Tanzania bila kuonyesha vigezo vyake.

Naheshimu uwezo wa Kiba ila Diamond yuko juu, napenda kiba apande ila sio kwa mbinu za kipuuzi kama zako.
 
Last edited by a moderator:
Hongera yako kwa ushabiki unaokufanya usione hata kile alichokifanya unayemshabikia ambacho ni KUOMBA MSAADA au unajitoa akili kuwa pia mtu anayeomba msaada anamaanisha nini hujui ???????
 
Nyie kapigeni kura acheni longo longo ndo ishakuwa ivyo sasa hamtaki mnaacha....kiba ndo kiboko ya domo nani asiyejua...
Kiba anamfanya domo analala akiwa amesimama chezeiyaaaaaa

Unajua hata humo ndani kwenu ulipo sasa na kiba unaweza kumgeukia na kumshauri kuwa ajaribu kufanya yake na pia mpe haadi kuwa wewe na wenzako mtamsapoti yeye bila kutumia jina la Diamond platnumz na kumtukana na kumuombea mabaya.

Kiba mwambie aonyeshe kazi zake tuzione au keshaondoka kwenda kurekodi muvi ya cheketutwa? Kumbuka tunaisubiria

D mtoto wa Tandale ananifurahisha hadi raha maadui waliotaka ashuke wanazidi kujitokeza na bado tutawasikia wengi maana hawajui nyota sio pesa tu nyota inakuja na nguvu nyingi jamani.


Kumekucha, wasanii msio Diamond acheni kulala mnaota kupata nyota yake kaeni chini msali na kuombea zenu ziwajie na kumbukeni wakati mnawika yeye alikua anauza mitumba so ana akili ya biashara pia
 
Hongera yako kwa ushabiki unaokufanya usione hata kile alichokifanya unayemshabikia ambacho ni KUOMBA MSAADA au unajitoa akili kuwa pia mtu anayeomba msaada anamaanisha nini hujui ???????

Hahaaaaa nothing new mbona hata wewe umejitoa ufahamu kumshabikia upendacho. Kwahyo na wewe umetoa akili ukatumia matope au? Hahaaaaa teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…