Kumbe Ali Kiba aliomba msaada kwa Wema kumkabili Diamond! Wema atoboa

Mashabiki wa Diamond tunaraha sana. Meneja wake Salem kasema wiki hii kuna kitu kikubwa kitatokea tusubir. Haha wengine wanasubiri video ya King mwezi unaenda wa4 tangu ngoma itoke

Sisi teamKiba ni kupiga kura kwa kwenda mbele nyie subirini tu hizo tuzo za BET na channel O hahahhaha
 
Yaan kiba ndo ana pressure hatari chezea kuomba kwa wema sema tu uwezo hana angekua nao mbona ingekua balaa mijini

Hyo ya Wema ndo imekua defence mechanism yenu baada ya kukosa tuzo eeeeh pole sana. Na nyie mwambie ndomo akamwombe Wema msamaha ili awaambie team yake wampigie kura. Endelea kujifariji tuzo hairudi ng'o hata mtambikie angani.
 
Yaan kiba ndo ana pressure hatari chezea kuomba kwa wema sema tu uwezo hana angekua nao mbona ingekua balaa mijini

ahahaaa leo mashabiki wa KIBA wameamua kubadili dini na kuwa team CHIBU!ID mpya kibao!!yaani ukiona id mpya nyingi jua ni watu walewale walokuwa upande wako wameamua kushabikia kwingine ila tu wanaona noma kubadilika na id zao za zamani wasijekuonekana masnichi!!

Ahahahaha lukelo naye naona kabadili DINI maana simuoni!
 
Mamaaa ule uzi umefutwa alafu umeblokiwa...labla wafungue upya wachezee vichambo

Usiniambie kua ule Uzi umefungwa next time tuna u report wa emerge I'd ili wakome kuwa na vi I'd vya kutukana na kushambulia watu.
 
Sisi teamKiba ni kupiga kura kwa kwenda mbele nyie subirini tu hizo tuzo za BET na channel O hahahhaha

Tuzo ambayo mtachukua ni nyimbo bora ya mwaka tu" coz inadeserve ana kale ka category mlivyolainishiwa pia.
 
Hyo ya Wema ndo imekua defence mechanism yenu baada ya kukosa tuzo eeeeh pole sana. Na nyie mwambie ndomo akamwombe Wema msamaha ili awaambie team yake wampigie kura. Endelea kujifariji tuzo hairudi ng'o hata mtambikie angani.

Sisi hata bila tuzo tunasurvive hatuendeshwi kwa matukio ya mara moja kwa mwaka Diamond are forever aisee
 
Sisi hata bila tuzo tunasurvive hatuendeshwi kwa matukio ya mara moja kwa mwaka Diamond are forever aisee

Teh teh msumari huo umewachoma kote kote pole sana endelea kujipa matumaini safari bado ndefu sana tena ndo imeanza.
 
Wwe unawashwa nenda kajikune na kokoto mpaka uote sugu sehemu nyeti....nyoooo eti nimeoanic uliepanik ni wew usie na haya. Kiba kumbizaaaaaaa

Mkiambiwa team kiba mna matusi mnakataa pole aisee narudia tena sikumaanisha kukupanikisha so plzzz nisamehe sijuagi kutukanana am sory mademe jaman ila mshushuo wa wema umekuingia vizuri nashukuru kwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…