Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Tuzo weeeeee
Hahaaaaa hyo picha imenichekeshaje jamani. Huyo mtoto ni mu cute aisee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo weeeeee
Ebu kwenda zako uko kafie mbali.
Hahaaaaa hyo picha imenichekeshaje jamani. Huyo mtoto ni mu cute aisee.
Mashabiki wa Diamond tunaraha sana. Meneja wake Salem kasema wiki hii kuna kitu kikubwa kitatokea tusubir. Haha wengine wanasubiri video ya King mwezi unaenda wa4 tangu ngoma itoke
Yaan kiba ndo ana pressure hatari chezea kuomba kwa wema sema tu uwezo hana angekua nao mbona ingekua balaa mijini
Sisi teamKiba ni kupiga kura kwa kwenda mbele nyie subirini tu hizo tuzo za BET na channel O hahahhaha
Yaan kiba ndo ana pressure hatari chezea kuomba kwa wema sema tu uwezo hana angekua nao mbona ingekua balaa mijini
Mamaaa ule uzi umefutwa alafu umeblokiwa...labla wafungue upya wachezee vichambo
Hahahahaha ka vle nakuona ulivopanick pole ww
Sisi teamKiba ni kupiga kura kwa kwenda mbele nyie subirini tu hizo tuzo za BET na channel O hahahhaha
Hyo ya Wema ndo imekua defence mechanism yenu baada ya kukosa tuzo eeeeh pole sana. Na nyie mwambie ndomo akamwombe Wema msamaha ili awaambie team yake wampigie kura. Endelea kujifariji tuzo hairudi ng'o hata mtambikie angani.
Asante mpendwa ulale unono
Tuzo ambayo mtachukua ni nyimbo bora ya mwaka tu" coz inadeserve ana kale ka category mlivyolainishiwa pia.
Usiniambie kua ule Uzi umefungwa next time tuna u report wa emerge I'd ili wakome kuwa na vi I'd vya kutukana na kushambulia watu.
Sisi hata bila tuzo tunasurvive hatuendeshwi kwa matukio ya mara moja kwa mwaka Diamond are forever aisee
Mutoto ya mfalme wew unamwonaje kiba? Bonge la hb kinoma sio huyu mnyama pori kivutio cha watalii
aahaaaa!!!nakwambia mzigo huu haubebeki!
hawapati kitu hawa
Wwe unawashwa nenda kajikune na kokoto mpaka uote sugu sehemu nyeti....nyoooo eti nimeoanic uliepanik ni wew usie na haya. Kiba kumbizaaaaaaa
Ndio chezea vichambo wee